taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Waziri Bashe, wauzaji wengi wa pembejeo za kilimo hawana utaalamu wa kilimo na mifugo

    Mh Bashe , wewe ni miongoni mwa mawaziri mnaochapakazi na zinaonekana, hongera sana. Ombi langu kwako nalielekeza kwenye maduka ya pembejeo za kilimo na mifugo...kwakweli kumejaa makanjanja wengi sana. Wauzaji wao wengi hawana utaalamu wa kilimo au mifugo. Na wale walio na wataalamu basi ni...
  2. Unapomtaarifu mwanamke kuwa mume wake ana mahusiano pembeni unamuharibu kisaikolojia

    Kuna dada mzuri nikisema mzuri ni mzuri kweli. Aliolewa na mume mwenye kipato cha kawaida na waliishi maisha ya kawaida. Nikimaanisha hakutumia usafiri wa wote mume wake alimnunulia gari, shopping ya nguo za kazini akifanyiwa. Kwakua alikua mzuri alipendeza sana. Sasa kuna mazee mafisi...
  3. Ulinzi wa Data: Sheria zinalenga kuwapa watu binafsi uwezo wa kujua jinsi Taarifa zao zinavyotumiwa

    Faragha ya Data/Taarifa limekuwa suala muhimu siku zote, lakini kadri Taarifa zetu zinavyozidi kuwekwa kidigitali na kutolewa zaidi Mitandaoni, umuhimu wake umezidi kuongezeka Kampuni moja inaweza kuwa na Mamilioni ya taarifa za wateja ambazo inapaswa kuzilinda. Sheria za Kulinda Taarifa...
  4. N

    Ni kweli Luteni Urio alitoa taarifa ya tukio au baada ya kushtukiwa mpango wake akawageuka?

    Kuna kila dalili Luteni Urio alikuwa na mpango wa kula hela za Mbowe kupitia wale vijana na wakati huo huo alikuwa na matarajio kuwa CHADEMA ingeshinda angepata ukubwa Jeshini. Hilo lina asilimia kubwa ya ukweli. Luteni Urio baada ya kuona mambo yamebadilika aliamua kugeuka ingawa inavyosemwa...
  5. Udhaifu wa taarifa ya askari aliyejinyonga Mtwara

    Aliyeandaa ile taarifa kama hakukurupuka basi ana agenda ya siri ama hakuwa timamu kiakili, tangu kuiandaa mpaka kuisoma na pengine sasa anajutia makosa ya wazi yanayoacha shaka kubwa! Jamii, wazazi na ndugu wa marehemu wana hamu ya kujua ni nini hasa kilimaliza uhai wake! Baadhi wanatuhumu...
  6. Kujiuzulu kwa Ndugai: Bunge ladaiwa kufuta taarifa kwa umma ilizochapisha katika tovuti yake na ukurasa wake wa Twitter

    Kufuatia kuibuliwa mahakamani kwa barua ambayo inadaiwa iliandikwa na Job Ndugai aliyekuwa spika wa bunge kwenda kwa Katibu wa Bunge ikimtaarifu kuwa anajiuzulu uspika kuanzia tarehe 06.01.2022, bunge la JMT limefuta taarifa kwa umma iliyozitoa tarehe 07.01.2022 kukiri kupokea nakala ya Barua ya...
  7. Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

    Akiongea na Azam News, Baba mzazi wa askari aliyejinyonga anasema hajaridhishwa na taarifa za kifo cha mwanae! Anasema alipigiwa simu na kuambiwa mwanao tumpeleke akazikwe wapi? Akawaambia mleteni nyumbani kwangu Tabata, Dar Ea Salaam. Pia soma Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa...
  8. Ulinzi wa Data: Wakusanya taarifa wengi hawana namna nzuri ya kuzitunza

    Wakati mwingine Taarifa hukusanywa kwa nia njema, lakini Changamoto ni kwamba wengi hawana namna ya kuzitunza Kwa mfano, mara nyingi unatakiwa kusaini kabla ya kuingia Ofisi mbalimbali. Je, taarifa zako zinahifadhiwa wapi? Kuwepo Sheria ya Ulinzi Wa Data kutasaidia kufahamu taarifa...
  9. U

    Taarifa kwa Umma: Rais Samia Kufanya Mahojiano na TBC Januari 27, 2022

    Salaam Wazalendo Wote Tafadhali soma Taarifa yote Kama ilivyoambatanishwa hapo chini
  10. Ni kweli CHADEMA hulipana posho za mamilioni kila wanapohudhuria kesi ya Mbowe?

    CHADEMA sasa ni kama haina uongozi, imekatwa kichwa, Mwenyekiti Yuko gerezani, Makamu anakula kuku ubeleji. Kuna taarifa kwamba viongozi hulipana posho za mamilioni Kila siku wanapohudhuria kesi ya Mbowe, kama taarifa hizi ni za kweli, basi Kuna ubadhirifu mkubwa sana unaendelea. Nashauri...
  11. Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

    SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI. - Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan. - RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza Chanzo Cha Moto. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameruhusu...
  12. J

    Ufafanuzi wa taarifa potofu kuhusu COVID-19 na Chanjo zake

    Kadiri janga la Virusi vya Corona (COVID-19) linavyoendelea, ndivyo pia wingi wa habari zinazohusiana na kusababisha kile kinachoitwa "infodemic'’ unavyoongezeka. Taarifa potofu na za uongo kuhusu COVID-19 zinasambazwa kwa haraka sana mtandaoni na zinaweza kuathiri watu wengi. Hakuna chanzo...
  13. U

    Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa Kufanya Ziara Zanzibar kuanzia 24-27 Januari 2022

    Wazalendo Wote Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Taarifa imeambatanishwa Chama kipo kazini Kazi Iendelee
  14. Taarifa binafsi huweza kuleta madhara zikiwa mtandaoni pasipo kulindwa

    Taarifa binafsi kama Jina lako, Namba ya Simu, Anwani na zile za malipo ya kifedha huweza kuleta madhara zikiwa mtandaoni pasipo kulindwa, kwani ni rahisi kudukuliwa Kuwa makini unapofungua tovuti au 'Links' ambazo kwenye "https" hakuna 'S' yaani inasomeka "http" pekee. Weka nywila (Password)...
  15. Epuka kujitibu mwenyewe kwa taarifa za mtandaoni. Muone mtaalam wa afya kila unapopata dalili mbaya za kiafya

    (Picha: The Sheriff) Umewahi kupata dalili ya afya ambayo haijawahi kutokea hapo awali na ukaanza kujiuliza ni nini kinachoweza kuwa tatizo? Of course, huenda jibu lako ni kama langu pia, "Kabisa!" Sasa basi, inapotokea hivi hatua ya kwanza inayopaswa kufanyika ni kuwasiliana na mtoa huduma wa...
  16. Zimamoto: Taarifa za Soko la Karume kuwaka moto hatukuzipata mapema

    Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto mkoa wa Ilala Elisa Mugisha, amesema kwamba taarifa za kuungua kwa soko la Karume walichelewa kuzipata kwani wangezipata mapema wangeweza kuokoa athari iliyojitokeza. Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 18, 2022, wakati akizungumza kwenye kipindi cha...
  17. Hali ya umeme hapo ulipo ipoje? Tupeane taarifa

    Kiukwel awamu hii hatutaacha kuiona rangi juu yankukatika kwa umeme Pia mods tunaomba thread hii isiunganishwe na uzi wa tanesco Kwan hakuna msaada tuupatao kwa kadhia hii yakukatika kwa umeme Naanza mm muda huu mbezi beach umeme umekatika yaan unakuja baada ya muda fulan unarud Asubuh...
  18. Udhibiti wa taarifa za Ikulu ni muhimu sana

    Mh. Mama yetu Samia Rais Wa Jamuhiri ya muungano wa Tanzania Salaam; Kama wengi wanavyoeleza urais taasisi kubwa na nyeti sana yapo mambo ambayo yanafanyika kutokana na maendeleo ya kitecnologia ambayo kwa umuhimu Wa Taasisi hiyo yanaharibu. Kikao cha majuzi cha kuwafunda baraza la mawaziri...
  19. Taarifa ya Sheikh kutoa muda kwa aliyemuibia Simu infinix yake ya kisasa airejeshe vinginevyo!

  20. Tusiofanya mazoezi kabisa na kubobea tu kwa 'Kitu cha Mkongo' na 'Mundende' nadhani Taarifa hii itakuwa na Maumivu Kwetu

    Asilimia 65 wanawake wanapenda wanaume wenye kufanya Mazoezi ya mwili, Hizi ni takwimu za mwaka 2021 kutoka chuo cha Mazoezi ya mwili kinachoitwa Brown fitness center kilichopo nchi Marekani. Chanzo: marathonioverstz Kwa hili Kudadadeki tutaanza Kupigana Vikumbo sana huko Gym na katika Fukwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…