taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wawili wakamatwa kuhusiana na taarifa ya raia wa kigeni kutekwa na kupigwa Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa wawili kuhusiana na taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kunusurika kuuawa, kutekwa na kupigwa nyundo kichwani kwa raia mmoja wa kigeni aitwaye Suzan Mary Shawe (75) raia wa Afrika Kusini. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya utekelezaji bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa nusu mwaka 2024/2025

    Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzava Januari 23 2025 imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba 2024. Katika kikao hicho...
  3. JamiiForums Tanzania Ulikuwa unatoa taarifa nyeti za watu, wengine mpaka leo hatuwaoni wengine ndiyo kama hivyo. Leo unaanza kulialia?

    Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta. Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama? Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena? Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Wanu Ameir Awasilisha Taarifa ya OACP/EU Kwenye Kamati ya Bunge la Tanzania

    MHE. WANU H. AMEIR AMEWASILISHA TAARIFA YA OACP/EU KWENYE KAMATI YA BUNGE Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Vita Kawawa wamepokea na kujadili Taarifa ya Wawakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Mabunge ya Afrika, Carribeani...
  5. JamiiForums Tanzania RPC Tabora: Tunafuatilia taarifa za Wahalifu kuvamia Watu, kuwajeruhi na kupora katika Mitaa ya Chuo cha Polytechnic College

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya uhalifu maeneo ya karibu na Chuo Polytechnic College Mkoani Tabora, ambapo waathirika wakubwa ni Wanafunzi wa Chuo hicho, Jeshi la Polisi limesema linafuatilia. Awali Mdau alieleza kuwa taarifa ya matukio ya Wanafunzi na raia...
  6. JamiiForums Tanzania Nini Kinachowachochea Watoa Taarifa au Mawakala Kushirikiana na Mashirika ya Upelelezi?

    Nini hasa kinachowachochea watoa taarifa (informants) au mawakala (agents) kushirikiana na mashirika ya intelijensia? Tunajua kuwa kazi ya intelijensia na upelelezi inategemea sana taarifa zinazokusanywa kutoka kwa vyanzo mbalimbali. Ni sababu zipi zinazowafanya watu hawa kuwa tayari...
  7. JamiiForums Tanzania Sipendezwi na wanachama wa Simba wanaotoa taarifa za klabu kabla ya klabu yenyewe

    Hili nitalielezea kwa ufupi sana ila naomba ujumbe uwafikie wahusika na wawajibike. Kuna haka kamtindo na katabia ka baadhi ya wanachama wa Simba, nimewahesabu wawili mpaka sasa ambao wana mtindo wa kujitokeza na kutoa taarifa za klabu ya Simba kabla ya taarifa rasmi kutolewa na klabu yenyewe...
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 TBC na ITV wamechapisha taarifa inayosema 'mazito ya Neema na Kitima yafichuka'

  9. JamiiForums Tanzania ACT yaipongeza Tume ya Haki za Binaamu kutangaza kuchunguza mauaji yaliyotokea Kaskazini 'A' Unguja

    TAARIFA KWA UMMA ACT Wazalendo tunaipongeza Tume ya Haki za Binaamu na Utawala Bora (THBUB) kwa taarifa yake iliyotoa kwa umma kwamba inafuatilia matukio mawili ya mauaji yaliyotokea hivi karibuni hapa Zanzibar, tukio la kwanza lililotokea Kidoti, Wilaya ya Kaskazini 'A' Unguja tarehe...
  10. JamiiForums Tanzania Nani kamuelewa Mwamakula? Kuna mada anasema kuna baadhi ya taarifa enzi ya JPM zilikuwa classified, asingeweza kuzitoa, alijuaje? Hebu avue kinyago

    Kuna uzi hapa umeandika mambo ya enzi ya JPM kwamba Mwamakula alikuwa anapata baadhi ya taarifa, na hata wakati mwingine alitumiwa mtu na JPM. Hoja yangu imejikita pale aliposema baadhi ya taarifa zilikuwa classfied (za siri) asingeweza kuzitoa. Classified information zinalindwa na sheria ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi vyama vya siasa vinawajibika kutoa taarifa ya mapato na matumizi kwa umma? Vinakaguliwa na CAG?

    Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG?
  12. JamiiForums Tanzania Tuwe na utaratibu wa kuziweka wazi taarifa kificho muda unapofika

    Wazungu kuna kitu wanaita classified information! Hizi ni taarifa kificho zinazofahamika kwa kaliba fulani ya watu ndani ya mamlaka ya nchi.. Hizi huwa ni taarifa za siri zinazowahusu viongozi wa nchi mambo yahusuyo nchi ambazo kama zikivuja kwa wakati huo nchi inaweza kuingia matatani Huitwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

    Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam. Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wakili Mbedule ataka wananchi Ikuvilo kuhakiki taarifa zao

    Wananchi wa Kijiji cha Ikuvilo, Kata ya Luhota, Wilaya ya Iringa Vijijini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuhakiki taarifa zao ili waweze kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao. Hayo yamesemwa na Mdau wa maendeleo na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wakili Sosten Mbedule mara baada ya kuhakiki...
  15. J

    JamiiForums Tanzania TRA yatoa taarifa ya kuvuka lengo mwezi Desemba 2024

    Dar es Salaam, 01 Januari, 2025: Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 (Oktoba – Desemba 2024) imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Trilioni 8.741, sawa na ufanisi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania NMB MLIMANI CITY WAMESITISHA HUDUMA LEO BILA TAARIFA/MAELEKEZO. WATEJA WANAPATA SHIDA HAPA.

    Nipo hapa mlimani city Iko shida kwa wateja wengi tuliopata usumbufu. Wafanyakazi waache kutoa huduma kwa mazoea.
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hii kauli ya Wenje, Msajili Ashurutishe Vyama Vya Siasa Kuchapisha Taarifa zao za Kifedha Haraka Sana

    Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa umma wa watanzania, kuna viongozi wanastahili kufunguliwa kesi za matumizi mabaya ya fedha za umma...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Jeshi la ufaransa lafanya mashambulizi makubwa kwa kutumia makombora ya masafa marefu syria wakilenga waasi wa Dola la Kiislamu

    Wadau hamjamboni nyote? Msako magaidi duniani kote unaendelea Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: December 31, 2024 France says it carried out missile strikes against Islamic State in Syria By Reuters Today, 12:19 pm France carried out missile strikes in Syria, targeting Islamic State...
  19. JamiiForums Tanzania Taarifa sherehe za kufunga mwaka 2024

    Napenda kuwajulisha kuwa, katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya, tarehe 31 nitachoma nyama ya mbuzi nyumbani pamoja na familia yetu. Pia kutakuwa na cocktails pamoja na vinywaji mbalimbali. Kama utakuwa free unaweza ukafanya hivi pia nyumbani kwako Ahsante
  20. JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa maji Tabata, DAWASA hawatoi taarifa yeyote; kwako Aweso

    Naandika haya malalamiko rasmi kwenda kwa Rais wa Januhuri Muungano wa Tanzania na Waziri wa maji, kuhusu kukosekana kabisa kwa usambazaji wa maji eneo la Tabata kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa Kukosekana kwa maji kwa muda mrefu kumegusa maisha yetu ya kila siku na kumeunda hatari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…