Mzee unaogopa coding?Habari wana JF,
Naomba kufahamishwa vizuri kuhusu hii kozi ya Bachelor of science in information system inayotolewa UDOM pale CIVE Ina deal na vitu gani hasa?
Na je koding ipo sana kwenye hii kozi? Fursa zake kwa sasa mtaani baada ya kuhitimu!!
Napenda nuende pale CIVE sasa nimesoma PCB hizo kozi ulizozitaja vigezo vinakataa vinahutaji PCMMzee unaogopa coding?
Kama unapenda computer kasome yoyote kati ya zifwatazo..
1. Computer science
2. Software engineering
3. May be Computer engineering
Hata computer science?Napenda nuende pale CIVE sasa nimesoma PCB hizo kozi ulizozitaja vigezo vinakataa vinahutaji PCM