swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO TTCL Corporation, Kum-block mteja Facebook kwa kuuliza swali si sawa

    Kwanza kabisa TTCL ni shirika la umma, linaendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi. Pili, admin wote wa social networks ikiwa ni pamoja na Facebook wanalipwa mshahara kutokana na kodi zetu sisi wananchi, ni watumishi wetu wananchi. Tatu mnatumia social networks zenu kutoa taarifa kwa umma kuhusu...
  2. Kipenzi Changu

    Mchengerwa anamjibu Mamba Dudubaya kuhusu mashine ya MRI

    https://www.youtube.com/live/46Sy9QdFj7Y?is=de5o1xbYrhPjwSgH Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi Naona Dudubaya kachangiwa
  3. M

    Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

    Eti Grace Samia Suluhu! Eti mtoto hujui kesho yake? Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
  4. amarina

    Swali. Unaweza ukastaafu ukaishi kwa kujificha kwa aibu

    Nahisi usipoheshimu siku zote za uhai wako, unaweza kuja kuishi kwa kujifichaficha. Hata ukihudhuria jambo ukajificha kamera zisikuone. Nauliza je ikiwa hali imeshakuwa hivyo nitafanyaje
  5. P

    Swali

    Wajombq hv cozi ya cargo scanner inatolewa chuo gani na vigezo n vp pamoja na ada?
  6. O

    Ni kampuni zipi naweza KUWA reseller na Zenye unafuu vile vile Nina swali Kwa kampuni ya ICT, uendeshajibwake ukoje

    Ndio wadau kampuni ya ICT works inaendeshwa vipi na upatikanaji WA tende ni vitu gani muhimu hasa KWENYE kuoperatr. Kwa Sasa tunafanya heavy printing but tunataka kujua upande huo pia
  7. figganigga

    Swali kwa Wataalam wa Mabasi. Hii ni Happy nation au New Force?

    Swali kwa Wataalam wa Mabasi. Hii ni Happy nation au New Force?
  8. P

    Naomba kujua vigezo gani vinahitajika ili kupata mikopo ya halmashauri

    Naomba kujua vigezo gani vinahitajika ili kupata mikopo ya halmashauri
  9. Mzee Mwanakijiji

    Swali Fyatu: Mbona kama wanajitahidi mno Kujipodoa?

    Na. M. M. Mwanakijiji Wanataka waendelee kututendea kama hawatupendi, lakini wanataka tuwatendee kama tunawapenda. Wamekuwa ni kama yule mwanamke mgomvi ila mrembo. Ukimuona kwa mbali na kwa karibu unaweza kujikuta unasema kama alivyosema Ice Cube na Chris Tucker kwenye ile filamu ya kuchekesha...
  10. Beira Boy

    Nakuuliza swali mama Samia kulikuwa na ulazima gani wa kutaka kulazimisha kuwatawala watu wasiokutaka na kukupenda?

    Aman iwe watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuna mwanamke mmoja hapa mjini posta huwa nampenda sana, kwa kifupi siyo level yangu kwa kweli ni mzuri sana na ni wa kishua kwa kifupi ana maisha Lakin ndugu zangu Kuna siku niliamua nimtongoze huyu dada akawa amenikataa, nikarudia tena...
  11. N

    JamiiAi: Nimeuliza hii Ai swali dogo tu na fupi kuhusu jamiiforums ni nini nimepewa majibu yote historia nzima

    Haya ni majibu ya swali dogo tu la "Jamiiforums ni nini ? hakuna kitu ulicho kiacha nyuma imefunguka kila kitu. Picha ni JamiiAi Screenshot Picha ya pili 2 1re Picha ya tatu 3 Picha ya nne 4 Picha ya tano 5 picha ya sita 6 Muhimu: Ikumbukwe JamiiAi imejengwa kwa teknolojia...
  12. Chizi Maarifa

    Swali la Msingi: Mh. Spika Baada ya Mchango mkubwa wa Mch. Msigwa kwa Samia, Je si vizuri sasa kumkumbuka?

    Mheshimiwa Spika wa JF. kwanza napenda kumpongeza mungu kunichagua mimi kuwa mbunge na kumshukuru mama kunipitisha kwa ushindi wa kishingo. Kwa kweli mama mitano tena. Tumeona maendeleo ambayo amefanya toka uhuru hayajawahi fanyika. Swali kuu. Je baada ya kampeni kali za kumtembeza Mch...
  13. Sifi Leo

    Pascally Mayalla wa jf, na ccm mtaka teuzi alifilisiwa na Hayati Magufuli kisa kumuuliza swali chokonozi, je Samia atamfanyaje baada kumwambia Lisu...

    Pascally Mayalla ALIPEWA free pas ya IKULU siku Magufuli anaongea na vyombo vya habari kutoka Kwa rafiki yake Gereshoni enzi hizo, kilichojili baada kuingia IKULU hakikuwa TU balaa kwake Bali ndo ulikuwa mwisho wake wa KUPIGA fedha za serikali kupitia vyombo vyake na kile kipindi chake cha...
  14. Fene

    Majibu ya Chatgpt baada ya kumuuliza swali hili

    A part from Qur'an which is another anomaly book? Hili ni swali zito na la uaminifu wa kielimu, si la propaganda. Nitakujibu kwa uwazi, bila kuipamba Qur’an wala kudharau vitabu vingine. Kwanza: “anomaly book” tunamaanisha nini? Tukisema anomaly katika muktadha wetu tuliojadili, tunamaanisha...
  15. I

    Mnaofunga CCTV na mnaotumia mnijibu hili swali

    Je, kuna CCTV camera ambazo ukizifunga zinaweza kukupigia alarm wakati ambao wewe ungetaka ifanye hivyo? Mfano usiku, ninalala saa 5, kwa hiyo kuna option ya kuset kwamba kuanzia hiyo saa 5 usiku ninapolala hadi saa 11 alfajiri, akitokea mtu au kiumbe kikapita nje ya nyumba yangu au kusogea...
  16. Natafuta Ajira

    Swali kwa mababa wa kambo

    Ulikutana na mkeo akiwa tayari ana mtoto anaitwa John. Baada ya kuishi pamoja mkazaa mtoto mkamwita George. Je, utamwita mkeo mama John au mama George?
  17. R

    Swali chokonozi: Hivi bungeni Tulia Ackson anakaa kiti gani? Anagonga Meza naye?

    Maenye pichanya bungeni ikionesha alipokaa aniwekee hapa. Najaribu ku imagine alivyokaa huko kajampa nani na kigonga meza! Same like yule atakavyo kuwa amevaa uniform ya jela ya ICC
  18. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Kikwete: Tutamalizaje changamoto za 2025 wakati serikali haitofautishi kati ya 'coercive peace' dhidi ya 'consensual peace' kabisa?

    SWALI KWA KIKWETE: KAMA AMANI YA KUDUMU SIO TUNDA LA HAKI WATANZANIA TUNATOKAJE OKTOBA 2025 NA KUFIKA KWENYE UFALME WA HAKI NA AMANI TUNAKOPASWA KWENDA? Mpendwa Jakaya Kikwete, Rais wa Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tangu 21 Desemba 2005 hadi 5 Novemba 2015. Nakuandikia tena...
  19. R

    Swali la kizushi: USA inaweza ”kuzichapa" Russia na China ikizuka vita kugombea Venezuela?

    China na Russia wana maslahi makubwa Venezuela. Wana biashara ya mafuta. Leo USA amekamata meli za Russia. Suppose China na Russia wanaamua kuingia kwenye vita na USA, nani atatoka mshindi! Denmark anaimudu maana anataka kuinyakua Greenland for security reasons!
  20. Chivundu

    Swali la kizushi: Je, kuna uhusiano gani kati ya madaraka ya Urais na kuzeeka mapema?

    Wanajamvi heri ya mwaka mpya 2026. Baada ya kunywa Balimi zangu kadhaa, nimejiuliza, hivi URAISI una nini hasa kuwafanya watu (Maraisi) wawahi kuzeeka kwa kasi ya kutisha? Je, ni majukumu mazito ya kuelemea mtu kiasi gani kumfanya mtu (Raisi) azeeke kwa haraka? . Uraisi una siri gani mpaka mtu...
Back
Top Bottom