Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,466
- 42,603
Kumbukeni mnaotaka kuandamana Bado mnataka serikali ifanye yafwatayo Kwa watoto wenu.
1. January waende la kwanza.
2. January waende form one.
3. January matokeoa ya 7 yatoke.
4. January matokeo ya F4 yatoke
5. Mkale Xmas Moshi nk
6. Mfungue shule.
7. Muda huu std 4 wako mitihani ya taifa.
8. Mwezi march gvt iandae mitihani ya taifa ya form six
9. Rais atangaze Baraza jipya la mawaziri.
10. Aapishwe rais na serikali uanze kutekeleza ilani.
Haya mambo kumi yote mnataka muipe serikali presha halafu sisi wengine tukae kimya?
Tafakari !