supu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Rachel Dangwa ni supu ya nguru

    Kuna supu ya mawe Kuna supu ya kenge Kuna supu ya umbwa! Hii mchuzi wake hunywewa wa moto Tanga kuna mahali panaitwa mabanda ya papa! Shughuli yake inajulikana wazi Sasa chukua papa(sio kipapa😋) chukua nguru kisha chukua kamongo weka pamoja! Nguru ataibuka kidedea Yuko mstari wa mbele sana...
  2. Mwachiluwi

    Tupike Chapati za mayai na supu ya samaki

    Hell Tupike chapati za mayai za kukanda Kwanza utaweka unga wako ulio chekechwa kwenye bakuri uta weka na blue band then chukua mayai yako yakologe pembeni kisha uweke pia the kanda kama huna blue band una weza weka mafuta ya kupikia ukipata ya alizet itakuwa poa sana Kanda pole pole mpaka...
  3. Gudasta

    Samaki gani wa baharini (maji chumvi ) ni mzuri kwa supu......

    Wataalam wa samaki wa baharini, naomba kujua ni samaki gani wa baharini ni mzuri kwa kupika supu.. Aksante.
  4. D

    MSAADA WA NDOA: Mke wangu anauza supu za mbuzi kwa Siri?

    Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja. Kuna jamaa mmoja akatuma meseji katika simu ya mke wangu akamuuliza, "HIVI HUYO MBUZI BADO YUPO?" Sasa najiuliza, mke wangu...
  5. Mwachiluwi

    Mlo wa mchana supu ya ndizi

    Hell Kwanza niliandaa ndizi zangu vizuri kama unavyo ziona wakat uho nyama ipo jikoni ina ivaa Kisha baada ya nyama kuiva nika weka karoti ya kusaga na ndizi Then nilitenga supu ile ya kwanza supu og ile nzitooo nikaweka mwishoni Ika tokota kidogo tu mambo yakawa bam bam Bashiri kidogo...
  6. Waufukweni

    GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
  7. B

    CAF RELEASES 2025 CLUB RANKINGS: Simba yaongoza Afrika mashariki na kati yashika nafasi ya 5 Yanga nafasi ya 12

    Katika viwango vipya vya Shirikisho la mpira Afrika CAF 2025, simba sc imeibuka kinara wa afrika mashariki na kati huku ikishika nafasi ya 5 barani afrika, wakati yanga sc ikishika nafasi ya 12 kwenye orodha hiyo ya vilabu bora.
  8. Pdidy

    Ali Kamwe hamna supu ya ngamia wa crdb cup huko tujuzeni mapema?

    MH Ali KAMWE TUPE MREJESHO kama kuna supu ya NGAMIA WA CRDB Tena tujiandae mapema NBC mlitupa suprise tukashindwa kuja YANGA Moja daima
  9. jamaikatz

    Yanga wanatoa supu kwa upendeleo~alex ngeleza

    Mchambuzi Alex Ngereza asema Yanga wanatoa Supu kwa upendeleo, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍️ "Yanga wanatoa supu kwa upendeleo,haiwezekani kila mwaka zinatolewa kwa watu wa dar peke yao,wanatakiwa kupewa pia watu wa mikoani kwa kwenda kufanya huko ili kuonyesha ushirikiano kwa...
  10. Mganguzi

    DOKEZO Walaji wa nyama ya ng'ombe kwa sasa tupo hatarini kufa, kupata kansa ya Koo, Kuvimba kongosho na Figo kupoteza uwezo wake !

    Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa ! Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata...
  11. Samia atosha tukutane2030

    Bodaboda ni kazi ya ku take risk sana

    Risk wanayotake bodaboda ni kubwa sana, bodaboda anatake risk kila siku kwa kuotafuta elfu 1. Kwa kila safari moja ya sh. Elfu 1, 2, 3 n.k bodaboda anaweka rehani roho yake.
  12. ELI COHEN

    Nimeuliza AI kama kweli supu ya pweza inaongeza nguvu za kiume

    Source: GROK MAJIBU: SUGGESTION YA VYAKULA: SUGGESTION YA MCHANGANYIKO WA VYAKULA ULIO BORA NA DOZI YAKE:
  13. Allen Kilewella

    Zile supu za jangwani siku hizi hakuna?

    Wazee wa drama na senema zamani walikuwa wanagawana supu Kila baada ya mechi wakishinda. Siku hizi mbona kimya? Kuna jamaa humu anajiita Labani og na Mwenzake ngara23 walikuwa wanakwenda na hotpots kabisa! Injinia wafanyie wepesi watu wako angalau mkiifunga Azam wanywe supu zile ambazo semaji...
  14. Fbn

    Ushindani wa upishi Duniani wajikita kwenye ladha, lakini kwetu supu za kongoro zafanana

    Ukifika pakistani unaweza kushangaa kongoro lilivyo tengenezwa ila hapa kwetu tokea mchaga kugundua ni mfumo ule ule tu bila kujiongeza. Leo hii wali wa wanaijeria ni tofauti na Ghana. Au pilau ya india ni tofauti ya pakistani. Tuje kwenye nchi zinauza chips mfano france,wingereza na USA ni...
  15. K

    Supu nilikula nao kwanini wanishike mkono?

    Abari za muda ndugu zangu Nyumbani naonatu pamekuwa pabovu mno... Toka jana yani Jana nilinunua kilo mbili za nyama, nikamuambia mama mtu anitengee kilo anipikie supu ninywe, kisha inayobaki wale yeye na wanaye wawili kwakua inawatosha Basi nikatengewq mezani. Kwa kua mimi ni baba nikawaita...
  16. Yoda

    Wazungu/West wako mbali sana, wamefikia hadi kwenye supu ya box/kopo!

    Magharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.
  17. GENTAMYCINE

    Tulizoea kila wakicheza na kushinda Asubuhi pale Kwao huwa wanaandaa Supu na Chapati je, baada ya leo Bikira Kuvunjwa na Mgambia itakuwepo Kesho au?

    Bikira ikiwa imenona kulingana na Urembo / Uzuri wa Mwanamke husika hakika ukiivunja tu huwa unasikia Utamu mno.
  18. Mshangazi

    Dawa ya Hang~Over. The Best ..!!

    Wakuu imezoeleka kwamba mtu unapoamka asubuhi na hang_over au mning`inio kwa kibantu basi watu wengi hukimbilia supu ya nyama makongoro au miguu ya wanyama walao nyasi. Kiuhalisia supu ya nyama peke yake haitoi mning`io. Unachotakiwa ni KUTAFUNA NDIZI na kumeza mchuzi wake kwa takribani dakika...
  19. ndege JOHN

    Supu ya utumbo na makongoro ya kitimoto

    Nyumbani kwenu wakichinja kamwananguruwe kisha ukakutana na supu ya matumbo yake na miguu utaigonga?
  20. Scared

    Sio mbaya ya supu nimepata

    Kuelekea kufungua ligi mkamaria nimeanza kama hivi nasemaje ama zangu ama za sporty bet msimu huu
Back
Top Bottom