Amepachikwa jina la utani: "Shetani wa Waarabu", kutokana na uovu wake alioueneza nchi zote za Kiarabu. Mohammed bin Zayed, anapumulia mashine, na taarifa nyingine zinasema "kisha kitoa". Ulimwengu mzima wa Kiarabu uko katika shamra shamra za kufurahia, hata kama haijathibitishwa rasmi kifo...
Hii ni tahadhari kwa watu wenye roho mbaya, roho za kichawi.
Iwe unamchukia mtu kwakuwa alikutendea jambo baya, au alimtendea mtu mwingine jambo baya au umeamua tu kumchukia kwasababu za kisiasa au unamchukia mtu kwasababu ya ujinga uliokukandamiza.
Yaani haupaswi kumchukia mtu.
Nyie...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Tingi, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za kumchoma mke wake tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya kugundua kuwa Mke wake alikuwa anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) kwa siri...
Dalili za mtu aliyewekewa sumu kwenye chakula hutegemea aina ya sumu iliyotumika, lakini kwa ujumla dalili kuu zinazoweza kuonekana ni:
1. Dalili za Haraka (dakika hadi saa chache):
Kichefuchefu na kutapika sana
Maumivu makali ya tumbo
Kuharisha (wakati mwingine damu ikitoka)
Kizunguzungu au...
Yes habari za masiku ndugu zangu na poleni nyote Kwa kadhia tuliyoipata kwa kusimamishwa Kwa muda Kwa platform yetu pendwa ila hope now tupo sawa.
Happy new year pia nawatakiwa kila lakheri katika huu mwaka mpya wa 2026.
Binafsi nimekaa nikafanya utafiti wa historia mbali mbali na kutafakari...
Watu maarufu, hasa viongozi wa kisiasa au wanaharakati, huwekewa sumu mara nyingine kwa sababu ya misimamo yao, ushawishi mkubwa, au kuwa tishio kwa maslahi ya watu fulani wenye mamlaka au maslahi ya kisiasa, kiuchumi au kijeshi.
Hapa kuna sababu kuu zinazochangia hali hii:*
1. Migogoro ya...
Kifo cha Kim Jong-nam mwaka 2017
Kim Jong-nam, ambaye alikuwa kaka wa kambo (nusu kaka) mkubwa wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, aliuawa tarehe 13 Februari 2017 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kuala Lumpur, Malaysia.
Alikuwa akiishi uhamishoni tangu mwaka 2003 baada ya...
Nimekuwa na unene kiasi nina kitambi kuna mtu kanishauri niende nikatoe sumu kwa Wachina ile unakiweka miguu halafu miguu inalowekwa kwenye beseni halafu kuna mashine Iko kama kafriji na kawaya flani wanakaweka mikononi.
Hii kitu ilianza miaka ya mwishoni ya 2000 nikiwa kijana ila Sasa ni mtu...
Ni msemo niliuona mahali kwamba onyesha sumu yako mapema nyoka asingekuwa na sumu watu tungemgeuza kamba!
Kilicho tokea wakati wa kutangazwa mawaziri na manaibu wao alionyesha sumu yake mapema kabisa ili tujue yeye ni nani na kwamba si muoga wa maneno ya watu matamko na mijadala yao...
Wakati vita baridi ikianza kupamba moto miaka ile ya 1950s na 1960s, shirika la kijasusi la CIA lilianzisha program kadhaa zilizohusisha utengenezaji wa silaha za kibayolojia au tuseme silaha za sumu. Silaha hizi za sumu zilijumuisha utengenezaji na utumiaji wa kemikali za kudhibiti akili za...
Kuna tetesi za kuwawekea sumu wananchi kupitia mabomba ya maji kuanzia kesho,
Nimepokea hii taarifa kutoka kwa ndugu zangu walio Magomeni.
Na watu wengine wanne tofauti, kwakuwa ni jambo linalohusiana na afya ya watu Tunaomba liangaliwe kwa upana zaidi
Hello..
Popo wamekua ni changamoto kubwa sana kwa mazingira yetu ya majumbani na mazingira yanayotuzunguka.Popo husababisha madhara na uharibifu katika nyumba zetu kama
1. Uchafuzi wa nyumba zetu kama madari na ukuta
2. Kelele nyakati za usiku
3. Popo ana uwezo wa kubeba virusi vya magonjwa...
Hio ilikuwa mbinu yake tu ya kutafuta huruma na kuudanganya uma! Lakini silku watanganyika wakiujua ukweli wanaweza kumfuturu bila vinegar wala kachumbari
https://x.com/TanzaniaLeaks/status/1971890010950607137?t=HWkfFY_B8gMCBa-hQJwSFg&s=19
Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo.
Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi?
Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda?
Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu...
Tuliokuwa wakubwa miaka hiyo tunakumbuka sana. Tunakumbuka nini kilitokea na sababu ilikuwa ni nini. Ndo muone kuwa hili genge lina fanya kazi miaka na miaka. Siyo jipya.
Mnakumbuka lengo la kueliminate watu kadhaa akiwepo pia na Mwandosya? Haya mambo watu hamyajui wengi mlikuwa either Mbwinde...
Sumu zinazotumiwa na majasusi kuua mtu, hata akiwa kwenye msongamano wa watu, kwa kawaida huwa za hali ya juu, za haraka, na ngumu kugundulika. Baadhi ya sumu zilizotajwa katika visa vya kihistoria na vya sasa ni pamoja na:1. Novichok: Hii ni kemikali ya kulemaza neva iliyotengenezwa na Soviet...
Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM.
Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.