suluhisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Peter Madeleka: Yaliyotokea Oktoba 29 ni jinai, maridhiano sio suluhisho, hatua zichukuliwe kijinai kwa waliohusika

    Mwanasheria maarufu nchini, Peter Madeleka amesema matukio yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yana masuala ya jinai yanayopaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, akisema maridhiano hayawezi kuwa suluhisho la makosa ya jinai. Kauli hiyo ya Madeleka imekuja wakati Serikali...
  2. JamiiForums Tanzania Asali ya Unga ni suluhisho la magonjwa mengi

    IJUE ASALI YA UNGA ( POWDERED HONEY) Dawa ya asili yenye maajabu ya kipekee. Ni dawa iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa ASALI NA MIMEA (mitishamba au mimea tiba ) NI dawa ambayo imeonyesha mafanikio makubwa kwa kutibu maradhi mbalimbali kama vile: 1.Maumivu ya kichwa , mgongo, kiuno , magoti...
  3. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Stendi Kuu na Vituo vya Makontena (ICD) vya Kimkakati kama Suluhisho la Kudumu la Msongamano Dar es Salaam

    Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano wa magari na foleni za muda mrefu zinazosababisha hasara kubwa ya kifedha kila siku na kuchelewesha shughuli za kiuchumi. Sababu kuu ya changamoto hii ni mfumo wa sasa wa miundombinu unaolazimisha mabasi mengi ya mikoani na...
  4. JamiiForums Tanzania Pata Suluhisho la meno bandia ya kudumu hapa , Usibaki na Mapengo

    Meno bandia ya Kauri Porcelain Fused to Metal (PFM) ni meno ya kutengenezwa ambayo yana msingi wa chuma (metal) ndani na kufunikwa kwa kauri ya porcelain nje. Hutumika kurejesha jino lililoharibika sana au kuchukua nafasi ya jino lililopotea, hasa kama sehemu ya crown au bridge. Faida za...
  5. JamiiForums Tanzania Je, unawahi kufika kileleni?? Suluhisho hilo hapo chini 👇

    Kwanza kabisa, hii ishu imekuzwa, wanaume wengi nguvu za kiume tunazo, tatizo ni stress za maisha, ili kua stress free kabla ya kuchakata masuala Fanya hivi 👇👇 Chukua maji ya baridi unywe Lita Moja, baada ya hapo kunywa 🍺, hasahasa safarilager ndogo 2 au 3, wakat unakunywa unakua unatafuna na...
  6. JamiiForums Tanzania Je, una Changamoto Yoyote Ya Afya Kinywa na Meno!? Ikiwepo kukosa meno !? Suluhisho hili hapa

    😁 Rudisha tabasamu lako kwa meno bandia ya kudumu (Crowns & Bridges)! Je, una jino lililovunjika, lililoharibika au lililopotea? Tunakupa suluhisho la kudumu kwa kutumia Crowns & Bridges zenye muonekano wa asili, uimara na faraja. ✨ Faida zake: 🦷 Hurejesha umbo na kazi ya meno. 🦷 Huboresha...
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Umeme Newala: Ni Wakati wa Kupata Suluhisho la Kudumu

    Nimekuja kikazi Wilaya ya Newala, Kata ya Kitangari, Nilitarajia changamoto za kuzoea mazingira mapya, lakini sikutarajia changamoto kubwa ya umeme. Kwa kweli, hali niliyoikuta imenikumbusha enzi za mgao wa umeme miaka iliyopita, ambapo umeme ungeweza kukatika kwa saa nyingi bila maelezo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kuundwa kwa Serikali ya Tanganyika ni suluhisho la kudumu la kero nyingi za Muungano wetu

    Objection ya CCM dhidi ya uwepo wa Serikali ya Tanganyika ni baseless (or at least outdated). Hapa duniani ipo mifano kadhaa ya nchi ambazo zina muungano unaofuata mfumo wa shirikisho (federal system) na miungano yao haiteteleki. Kwa leo nitatoa mifano mitatu ifuatayo: ◾️Ujerumani: Hili ni...
  9. JamiiForums Tanzania Suluhisho kwa watu waliokosa furaha

    Furaha ni hisia inayojengwa na vitu vitatu kiroho,kimwili na kijamii. Kwa leo nitaeleza ni jinsi gani unaweza kurudisha furaha iliyopotea kwa kuzingatia mlo kamili na mazoezi. Hii itakusaidia kurudisha hamu na mood yako. Sasa twende sawa. Kuna vyakula kadhaa vinavyoweza kusaidia kuongeza homoni...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Suluhisho salama la asili kuhusu bawasiri

    Tunalo Suluhisho Salama na la Kiasili Tunasaidia kuondoa changamoto ya bawasiri bila upasuaji, kwa kutumia virutubisho asilia vilivyothibitishwa ambavyo vinasaidia Kuyeyusha kinyama: Kusaidia kusinyaa na kuondoka kwa kinyama kilichojitokeza (kwa bawasiri ya nje). Kulainisha choo: Kuondoa tatizo...
  11. JamiiForums Tanzania Je, kilimo cha mijini ndicho suluhisho la chakula na biashara ya baadaye?

    Katika dunia ya sasa ambapo miji inaongezeka kwa kasi na gharama za maisha zinapanda kila siku, watu wengi wameanza kugundua nguvu ya “Kilimo cha Mijini” kama njia ya kujitosheleza kwa chakula na hata kujiongezea kipato. Lakini swali kubwa ni: 👉 Inawezekana kweli kulima ukiwa mjini? 👉 Ni mazao...
  12. JamiiForums Tanzania Imenichukua muda kuelewa kuwa kama mwanamke anakuambia kuhusu matatizo na issues zake wala hahitaji suluhisho bali umsikilize na umpe attention

    Na bado ukiishia kuwa msikivu na ukimpa attention anakuuliza "imekuwaje leo umeniskiliza hivi, kun kitu unanificha" Such unpredictable creatures, mehn.
  13. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Muungano wa Tanzania unaweza kuwa suluhisho la kudumu la mgogoro wa Israeli na Palestine

    Siku moja niliwahi kuwaza, hivi pamoja na matatizo ya muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, inawezekana kwamba muundo huu huu unaweza kufaa maeneo kama Middle East katika kupata suluhisho la kudumu kati ya Israeli na Palestine? Kabla haujanicheka au kunishambulia, embu tuwaze wote...
  14. JamiiForums Tanzania Pesa haitaki shida, inataka watu wenye suluhisho

    PESA HAITAKI WATU WENYE SHIDA, INATAKA WATU WENYE SULUHISHO. Pesa ina njia zake. Ina tabia ya kupita mbali na mtu anayelalamika, anayetafuta msaada kila wakati, au anayeomba omba na kulialia shida kila mara. Lakini ina tabia ya kumtembelea kwa ukaribu mtu anayetoa thamani, anayeleta...
  15. JamiiForums Tanzania Wadau , Ni hatua Gani inaweza kuwa suluhisho la kudumu la Ajali barabarani?

    Kila mahali tumezungukwa na hatari za kila aina . Lakini hii Changamoto ya ajali za barabarani limekuwa ni donda sugu.. barabara zetu hizi ni kama zile za kwenye filamu ya kutisha ya Final destination.Watu wanapoteza wapendwa wao kila uchao. Na kinachonisikitisha ni kwamba hapahapa duniani...
  16. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kurudi kumshukuru mtoa mada/comment kutokana na content yake kuwa na msaada, hamasa, hint au suluhisho kwako?

  17. JamiiForums Tanzania Uume unaosimama vizuri ni suluhisho la changamoto nyingi kwenye ndoa/mahusiano

    Wanawake wanakuwaga na changamoto za hapa na pale zisizotabirika ila kupitia uume uliosimama vyema huwa tunawatuliza kupitia lile tendo. Mwenye visirani visivyoeleweka dawa yake ni mtinyama. Piga mashine kisawasawa. Kijana tunza sana afya yako ya uzazi. Jiepushe na punyeto. Kaa mbali na porn...
  18. JamiiForums Tanzania Je unachangamoto meno yako kuoza au Kutoboka na hujui Wapi Utapata Suluhisho!? .

    Meno yaliyooza au kuvunjika yanaweza pata tiba ya kuziba ( kujaza dawa/ kofia jino ) ili kuondoa harufu mbaya kinywani, Maumivu, uvimbe ili kukuwezesha kutafuna chakula vizuri , kuondokana na maumivu , pia uweze kuwa na afya bora ya kinywa na meno Baadhi Ya kazi Za Kuziba meno na kofia...
  19. JamiiForums Tanzania Wasanii na machawa wa CCM wanajipongeza kwa ushindi. Suluhisho ni kuendelea kuwakataa wao na kazi zao zote

    Naona leo wasanii na baadhi ya watu maarufu imekuwa shangwe kubwa sana kwao na kuwananga raia waziwazi. Sasa watu kama hao kimsingi sio wa kujibizana nao, suluhisho ni kuwalia buyu mwanzo mwisho ,hakuna kuwapa attentions. La kwanza kabisa na la msingi zaidi ni ku unfollow, la pili kutocomment...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rasmi, Bunge la Ulaya lapiga kura zote 539 za NDIYO kuzuia misaada Tanzania, wahusika wa kadhia ya Oktoba 29 kuwekewa vikwazo

    Bunge la Ulaya limeitaka Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya kusitisha msaada kwa serikali ya Tanzania na kuwawekea vikwazo wahusika wa ukandamizaji uliofanywa baada ya uchaguzi mkuu. Wabunge wa Ulaya wamelaani vikali vitendo hivyo na kutaka kuachiwa kwa wapinzani waliokamatwa. Wamesisitiza kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…