suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Linapokuja suala la IMANI, Waafrika wanampigania Mungu. Likija suala la Haki zao za msingi, wanamwachia Mungu awapiganie!

    Imani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika. Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote wakitetea dhana ya kufikirika ambayo hawawezi hata kuithibitisha uwepo wake. Tena unakuta wanaipigania...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kuna utafti naufanya kati ya waliochomwa chanjo ya covid katika suala zima la uaminifu katika ndoa na hasira nitareta mrejesho

    Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia! Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano! Naangalia uaminifu katika Angel ya uaminifu katika ndoa ukoje baada ya kuchoma covid, umepungua au umeongezeka, Tabia za kihisia (Moody)...
  3. econonist

    JamiiForums Tanzania TRA wanajichanganya sana kwenye suala la Tegeta

    TRA wanajichanganya Sana kwenye suala lililotokea Tegeta la wanaodaiwa wafanyakazi wake kushambuliwa. 1. Kwanza, wanadai gari aina ya BMW T229 DHZ limeingia nchini kinyemela hivyo walikuwa wanalifukuza Hilo gari ili walikamate. Swali ni je Hilo gari liliingiaje nchini Kama sio hao hao TRA...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania TFF iangalie suala la hawa wachezaji wa Simba kuonesha hii ishara. Msije sema sisi Yanga wabaya

    Ni uhuni hawa mikia. Wanaonesha ishara ya kuwa sisi Yanga tunajidunga kwenye mshipa. Hili jambo walizusha Azam naona mikia wamelibeba. Yaani walikosa pose nyingine mpaka kutuoneshea sisi huu uhuni?ndo maana jerseys zao mbaya....sijapendq kabisa wao kutuoneshea kuwa sisi tunajidunga madawa.
  5. Mayala B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachungaji watumishi wa MUNGU wametengwa suala la uokozi kariakoo

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Serikali ikiwa inasaini miakataba yake hasa hasa ya kifasidi ambayo wananchi hawajalizika nayo huwa wana watumia sana wachungaji Lakini leo kwenye hili suala la maafa kariako naona serikali imewatenga wachungaji watumishi wa MUNGU Watumishi wa MUNGU...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

    Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya...
  7. prince Rowland

    JamiiForums Tanzania Changamoto hii kwenye mfumo wa ess katika suala la e-loan

    Habari zenu wakuu! Hope mnaendelea poa na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo husika.,,, Katika harakati za kuomba mkopo via Ess napata changamoto, yaan mfumo unaniandikia phone no is invalid wakati taarifa zote ziko sawa ingawa bado sijajua shida nini. Naomba kama kuna...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hoja ya ratiba kubana haina mashiko! Basi hakuna haja ya kusajili wa

    Ebu tuingie Kwa undani Kuhusu malalamiko ya timu kulalamika kuwa ratiba inabana Kwa kucheza Michezo baada ya siku 3. Kila Timu inatakiwa KUSAJILI wachezaji 30. Wenye mpira Wao sio wapumbavu kwa kutaka kila Timu isajili hiyo idadi ya wachezaji. Inapotokea Timu KUSAJILI idadi ya wachezaji chini...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Tafuta pesa familia yako iishi vizuri, Suala la kutafuta pesa nyingi ili kumlinda mke ni ushamba.

    Umemkuta mke wako akiwa na zaidi ya miaka 25, kubali usikubali ninyi wote mna historia na siri zenu nyingi, Ni mawazo ya kishamba sana kuhangaika utafute pesa ili mke wako aishi vizuri ukidhani ni kinga ya yeye asichepuke, Mwanamke ni kiumbe chenye hisia za mapenzi na mapenzi ni fumbo kubwa...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Suala la watu 87 kati ya 100 Tanzania kuwa tegemezi linavunja moyo sana wakuu

    Hii taarifa tangu nilipoiona, kama inaukweli basi nchi yetu ni masikini wa kutupwa. Inaonuesha uhalali wa kupigwa mizinga popote utakapopita. Inaonyesha vuguvugu la uchawa ni harakati za watu waliolemewa na utegemezi wa kifikra uliokithiri. Hali hii wenda ndio imepelekea ongezeko la ukahaba...
  11. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la mapenzi na wanawake, wanaume wa JF tuache tabia ya kung'ata na kupuliza. Mnatuponza wengine

    Mpaka nimekumbuka ile kauli ya akili za kuambiwa, unatakiwa kuchanganya na zako Ukitembelea mjini MMU utakutana na nyuzi kibao za kuwaponda wanawake, watoto wa kike, vitoto vya 2000, nyuzi za kupinga ndoa (kataa ndoa), uanachama na wanachama wa Kataa Ndoa n.k Kila mtu anamsemea mwanamke kwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Maoni: Kwenye suala la utaalamu Uzalendo weka pembeni

    Timu ya Taifa Leo imepokea kipigo. Hii timu tatizo kubwa ni benchi la ufundi. Hao wenye dhamana ya kuajiri benchi la ufundi inawezekana nao hawana huo utaalamu wa kuajiri. Huwa wanaweweseka Sana wakati wa kuajiri makocha kwani huwa wanasikiliza Sana kelele kutoka Kwa watu ambao wengi Wao...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la utekaji kwa watoto wadogo ndani ya Tanzania ni dalili ya uwepo wa biashara haramu ya binadamu kwenye taifa letu

    Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto. Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe hili suala la mikataba ya siri sio Tanzania tu na bandari zetu, huko Kenya raisi anahusishwa na kutaka kutoa Jomo Kenyatta Airport kwa siri!

    Karibu viongozi wote wa Afrika wana tabia moja inayofanana - kujitajirisha binafsi kwa kuingia mikataba ya siri inayoumiza nchi zao, huku wakidanganya umma mikataba hiyo ni kwa faida ya nchi zao. Mtu yeyote mwenye akili atajua kwamba mkataba ambao kweli una nia ya kuinufaisha nchi hauwezi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM na kauli kinzani kwenye suala la utekaji, wananchi wabebe lipi?

    Salaam, Shalom! Sintofahamu inaendelea katika vyama vya siasa, wakati huu ni chama cha kijani. Katibu Mkuu wa chama cha kijani ametoka mbele na kukubali kukaa meza moja na kupata picha ya pamoja na katibu mkuu mwenzie wa chama cha bluu, akaenda mbali zaidi kwa kukemea mauaji ya wananchi...
  16. Blender

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuzaliwa kwa Muhammad ni suala linalotokana zaidI na masimulizI ya kihistoria na ya kidini, kuliko ushahidi wa kisayansi

    Chanzo kikuu cha taarifa kuhusu maisha ya Muhammad ni Hadith (masimulizi ya matendo na maneno yake), pamoja na Sirah (wasifu wake) zilizoandikwa baada ya kifo chake. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kisayansi, kama vile maandiko ya kisasa ya kihistoria au vielelezo vya kianthropolojia...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

    TAARIFA YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TABIA MBAYA ZINAZOHATARISHA USALAMA WA MAISHA YA WATANZANIA NA MALI ZAO Ndugu wanahabari nimewaiteni hapa, kuwaombeni kwanza; muisaidie Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuwataarifu Watanzania wote na kuwaomba sisi sote tushirikiane...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Yanga tusitumike kufunika suala la watu kutekwa na kuuawa

    Naona tunakazana sana sababu tunajua mitanzania mingi haina uelewa. Itajikita mambo ya Simba na Yanga na kusahau ya msingi. Hili limesukwa na kuja changamsha vijiwe huku mtaani watu wote wanazungumzia mbuzi kagoma. Simba na Yanga na sijui nini Lengo ni kuwatoa watu kwenye Reli.
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Bashe kaletwa kututoa kwenye reli suala la utekaji na mauaji ya watu wasiyojulika pamoja na kesi ya afande, tusitoke kwenye reli

    Wakuu Salaam, Mtakuwa mmekutana na vijembe kvya Bashe na Mpina, tena naye kaanza kutumia vichambo kibasaaa, na Millard eti kaweka kaweka kichwa cha kimbea, soma hapa - Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo Hapa anajua lazima Watanzania...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hili suala la dola kupaa litafutiwe ufumbuzi wa dharura

    Kwa tunaofanya malipo kwa dola ya Marekani hali imekuwa tete sana. Hata bajeti huwezi kupanga maana hujui kesho itakuwa Tsh ngapi. Tufanye kitu ikae sawa. Wenzetu Kenya waliwezaje kuokoa pesa yao iliyokuwa kwenye free fall?
Back
Top Bottom