suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zimekomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

    Je nini kipo nyuma ya pazia, lengo na dhamira yao ni nini? Deep intelligence yao ni ipi? Juu ya suala hili ovu kabisa kuliko chochote kile hapa ulimwenguni. Wajuzi na waona mbali karibuni tuchambue ni kipi kipo nyuma ya pazia kwa wamagharibi hawa, and there deep secret may be hided over this...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA naombeni mulichukue hili suala la urasimu kwenye uhamiaji na Passport

    Wakati wa ukomunisti, nchi za kikomunisti zilibana sana mipaka yake ili watu wasitoke. Ndiyo moja ya sababu ya ukuta wa Berlin. Ndiyo sababu hadi leo kutoka Korea kaskazini ni ngumu mno na hatari. Tanzania nayo kupindi cha ujamaa wetu ilikuwa hivyo. Leo hii dunia ni kijiji, watu wanasambaa...
  3. JamiiForums Tanzania Nimenawa Mikono kwa Suala la Chama. Hersi alikuwa sahihi

    Mjadala wa suala la ubora wa Chama. Umefungwa. Tujadili mambo mengine. Chama ni mchezaji mwenye kipaji cha kipekee sana. Nakumbuka mwenyekiti wetu Hersi alishasema Chama ni classic player ambaye hata Yanga tulipenda kuwa naye. Chama anakupa vitu vingi uwanjani. Yaani una enjoy kumtizama...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunaomba uingilie kati suala la kulipwa posho intern doctors waliopo hospitali za Dar

    Mhe. Rais wa JMT, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, leo ni takribani unaelekea mwezi wa pili kuisha bila kulipwa posho yao ya mwezi kama mikataba yao inavyoonesha hawa madaktari watarajali(intern drs), hasa katika hospitali za Dar es Salaam. Mfano; Temeke, Mwananyamala nk. Ikumbukwe kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeachana na suala la kuoa mwaka huu

    Wakuu habari zenu, mwaka huu mimi member mwenzenu mwizukulu mgikuru (babu) nilipanga huu mwaka usiishe niwe na mimi nimepata jiko. Katika pitapita zangu nikakuta na toto moja zuri la kiarabu na linavaa mavazi ya heshima haswaa, nikazungumza nae tukawa tumeelewana vizuri basi mwisho wa siku...
  6. JamiiForums Tanzania Suala la Maji kukosekana: Tusimlaumu mama Samia, yeye hakuleta ukame!

    Sasa hivi nchi nzima tuna ukame ambao haujakuwpo kwa miaka kama kumi hivi. Ukame huu unaleta athari mbili kuu, ukosefu wa maji ya matumizi ya binadamu na hvile vile kukosekana kwa maji ya kutosha kusukuma mitambo ya kutengeneza umeme. Sasa, ukame unatukosesha maji mijini na umeme kwa pamoja...
  7. JamiiForums Tanzania Suala la moto mlima KIlimanjaro

    Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri. Ni zaidi ya wiki sasa moto unaendelea kuwaka katika mlima Kilimanjaro. Na kinachoonekana ni kujaza watu mlimani ambao wanaitwa kikosi kazi bila kufanya kazi ya kuzima moto,wengi wao wameenda kula na kupiga picha tu (selfie) na kuwa kero hata kwa watalii...
  8. JamiiForums Tanzania Kwenye suala la mahusiano muda mwingine Diamond yupo sahihi

    Ukiwa na hela, hapa naongelea utajiri na hukuwa na mwanamke kabla ni bora ukazalisha mwanamke kama alivyofanya Diamond na ukaendelea kuishi peke yako sababu utapendewa pesa na wanawake. Mwanamke akipata uhakika wa pesa kutoka kwako, atatafuta mwanaume moyo wake unayempenda, hapo ndiyo usaliti...
  9. JamiiForums Tanzania Suala la kujiuzulu Tanzania

    Suala hili la kujiuzulu haswa katika nyadhifa za utawala ndani ya sirikale ya CCM. Hili limekuwa ni mwiba mkali sana kwao maana kila linapotkea jambo lisilokuwa na mashiko na ikatokea shinikizo dhidi ya mhusika kutakiwa kujiuzulu linakuwa ni jambo zito mno haswa kwa viongozi wa sirikale. Mfano...
  10. JamiiForums Tanzania Suala la Law School of Tanzania limeletwa kimkakati wa watu wachache

    Either wakufunzi kutafuta kujulikana ama kuundwa kwa schools nyingi kuwapa ulaji watu wa system.Haiwezekani kamati ya matokeo ikae iamue kabisa kutoa matokeo mabovu kiasi hiki.
  11. JamiiForums Tanzania Niliposema suala hili alilozungumza Kikwete, nilitengwa na kutukanwa sana. Huu ndiyo ukweli kuhusu Yanga

    Mechi zetu NBC L tunashinda kwa michongo; kwa kuwahonga Marefa na wachezaji wa timu pinzani. Hili hapa analisema Kikwete kuwa, tunashinda kwa njia ambazo hazitusaidii kwenye mashindano ambayo hatuna mtu wa kuongea naye. Tunapohonga timu nyingine ziikamie Simba, tunawanoa Simba zaidi na...
  12. JamiiForums Tanzania Bashe ebu ingilia kati mfumuko wa bei za vyakula la sivyo hali itakuwa mbaya zaidi

    Mchele kg 3000 Maharage kg 3000.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu Waziri Mchengerwa atafanya tufungiwe na FIFA

    Kiukweli naona hisia za team yake ya Yanga kuwa mguu ndani nje zimemchanganya sana, haswa ukichukulia Simba ilifanya vizuri ugenini. Kauli alizozitoa jana ukitafakari unaona ni hasira tu, sasa ma hasira yake kuna mambo anataka alazimishe Simba wafanye ku share mipango yao na Yanga, au kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Huwa tunakuwa nao huu Ujinga sana linapokuja suala la Waarabu na Wazungu. Wao wanatuonesha kitu...

    Tena niseme afadhali na baadhi ya waswahili huwa wanaweza wakosoa vizuri tu Wazungu ukiacha wale wajinga wachache ambao nao huwa hawaoni makosa kwa wazungu. Kuna Sisi waswahili wengine wapumbavu choka mbaya hutuambii kuhusu waarabu. Yaani hata kwenye match tukicheza nao wakitufanyia uhuni...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kushindwa kutekeleza maazimio ya Eneo moja la forodha

    6 October 2022 Namanga, Kajiado Kenya KENYA KUSHIDWA KUTEKELEZA MAAZIMIO YA ENEO MOJA LA FORODHA / SINGLE CUSTOMS TERRITORY, KUMELETA KERO KUBWA WaBunge 'wasomi' kutoka Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki, hili nalo kwa kushirikiana na serikali mkalitatue jambo hili la Eneo la Forodha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Maji ni huduma ambayo Serikali inafeli vibaya mno, uhaba na mgao karibu kila mkoa japo mabilioni yanatumika. Rais Samia anashindwa wapi?

    Nilitegemea kwamba serikali inayosema inapigana na kupambana sana kuhudumia watu wake ingefanikiwa sana katika suala la kutoa maji kwa watu wake. Lakini inasikitisha sana kwamba hadi leo Tanzania inafeli sana katika kutoa huduma hii kwa wananchi. Na kinachosikitisha hata zaidi ni kwamba hii ni...
  17. JamiiForums Tanzania Nimemwambia jamaa yangu hili suala akae alitafakari. Hajaelewa. Hajiulizi kwa nini Iwe hivi kwa Wakwe na Mashemeji zake.

    Yaani kajitambulisha week mbili ago. Wakwe zake watarajiwa wanamsumbua kuwa atamwoa mtoto wao lini? Hazipiti siku mbili wanampigia au kumtumia msg kuwa asimsahau mwenzie pale kwao. Mashemeji zake nao wanamwambia shem mchukue dada yetu muanze furahia maisha. Yaani huyu mchumba kifupi pale kwao...
  18. JamiiForums Tanzania Ebu tujadiliane hili suala mara moja wakuu

    Naishi Hapa Dar mtaa fulani, Nina kama mwaka hivi sasa, Na mahali nilipopanga ni pana mazingira mzuri kiasi chake maana mwenye nyumba wetu ni mtu pia anaependa mali zake hivyo basi hayupo nyuma kutuhakikishia tunapata yale mahitaji ya msingi Kama maji kwa haraka zaidi na marekebisho ya dharura...
  19. JamiiForums Tanzania Kwako Waziri Gwajima, suala hili la ukatili wa kijinsia ambalo limekuwa tatizo katika jamii, ndoa nyingi zinavunjika

    Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Niende moja kwa moja kwenye dhumuni ya kukutafuta. Kuna hili swala la ukatili wa kijinsia ambalo limekuwa tatizo katika jamii linalopelea ndoa nyingi kuvunjika kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa hivi karibuni na pia hupelekea magongwa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…