stendi kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kero Stendi Kuu ya Moshi

    Nimesoma taarifa ya kero stendi ya Moshi, mkoani Kilimanjaro na nimeona hao viongozi wa mji ni bure kabisa. Watu wananyang'anywa mizigo, kukatiwa tiketi nje ya ofisi, tena mtu mmoja anakata tiketi kwa mabasi hadi saba, wakiwa wamelewa, wachafu hawaogi, lugha za matusi, kupora pesa abiria...
  2. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa, kuhusu Stendi Kuu ya Dar es Salaam, Tusaidie Watanzania

    Mhe. Innocent Bashungwa (MB) Waziri wa Nchi OR - TAMISEMI, Hongera kwa kazi nzuri unayofanya ya kuendelea kumsaidia Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Mhe. Waziri abiria waliolalamika au kukataa kushuka pale stendi ya mkoa wa Dar Es Salaam wana hoja ya msingi...
  3. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Tumeanza kulazimisha mabasi na abiria kwenda kupakia stendi kuu?

    Sijui niseme ni kukosa hekima au ni makusudi. Baadhi ya makampuni ya mabasi waliamua kukodi ama kujenga vituo vyao binafsi vya mabasi kwa ajili ya urahisi kwa abiria wao na kuepuka usumbufu usio wa lazima kutoka kwa wapiga debe huko stendi na hata wizi. Na naamini kama ni kukodisha ina mana...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Bukoba waendelea kupigwa kalenda stendi kuu ya mabasi, Serikali yasema mpaka itafute fedha

    Pamoja na ukubwa na umaarufu wa Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla, mji ule hauna stendi inayoendana na jina lake, kuna eneo la wazi lenye vichochoro lukuki huku kukiwa hakuna urasmi wapi kwa kuingilia na kutokea pia nyakati za mvua hali ni mbaya. Leo bungeni, mbunge wa viti maalum, Neema...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Naomba picha ya Stendi kuu ya mabasi Moshi nione kama ina tofauti na ile ya Bukoba tujiridhishe na CHADEMA!

    Sina mambo mengi naomba bwashee yoyote mwenye picha ya stendi kuu ya mabasi pale Moshi aitupie hapa. Manispaa ya Moshi kwa muda mrefu imeongozwa na Chadema nataka kujiridhisha na ubunifu wao. Hapa Iringa Chadema walijitahidi wakatujengea Stendi ya kisasa pale Igumbilo ila sijajua kule Mbeya kwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania RC mpya wa Geita ashangaa stendi kuu ya Mkoa kuwa ya matope wakati kuna utajiri wa dhahabu

    Mkuu mpya wa mkoa wa Geita Mheshimiwa Rose amesema ameshangazwa sana kukuta mkoa wa Geita una stendi kuu ya mabasi ya matope. RC Rose amesema stendi ndio reception hivyo hutoa taswira ya mkoa ilivyo kwahiyo ni lazima utajiri wa dhahabu utumike kujenga stendi kuu ya kisasa na siyo hiyo ya kwenye...
  7. ichumu lya

    JamiiForums Tanzania Stendi Kuu Bukoba ni aibu tupu

    Nani aliwaroga Wahaya? Inawezeka aliyewaroga alikufa na ndumba zake, ni lini Kagera itarudisha heshima ya NSHOMILE? Hii ni stendi kuu ya Bukoba. Kwa sasa hali iko ivi ukiingia stendi inabidi ununue mabutusi uvue viatu alafu ukunje nguo yako kwa chini ndio uingie stendi kuu. Niaibu kwa Wahaya...
Back
Top Bottom