WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City katika Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Mradi huo ambao utagharimu shilingi bilioni 14.3 una lengo la kuboresha...
Wakati watawala wa CCM wana design na kujenga stendi ya bus Iringa eneo la Igumbilo walikuwa wana mpango gani kuhusu bus za route ya Njombe na Mbeya kuelekea au kutoka Dodoma?
Inaonekena kuwa ujenzi wa stendi ya mabasi ya magufuli jijini Dar ilijengwa bila kuwashirikisha wadau. Haizingatii desturi, mazoea, utamaduni, uchumi na utaratibu wa wadau.
Ninapotaka kusafiri kwenda au kutoka mikoani hofu yangu kuu ni nitafikaje au nitatokaje stendi ya Magufuli, maana hakuna...
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU HUDUMA YA VYOO KATIKA STENDI YA MAWASILIANO (SIMU 2000)
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa zilizochapishwa na Jamii Forum tarehe 31 Jan 2026 zinazosema "KUSITISHA HUDUMA YA VYOO STENDI YA MAWASILIANO, KUNASABABISHA KERO KWA...
Leo Februari 2, 2026, nikiwa katika harakati zangu, nilipita Stendi ya Daladala Mbezi Luis maarufu Mbezi Mwisho na kushuhudia ukarabati wa vyoo ukiendelea.
Awali, niliwahi kuona andiko hapa JF likieleza changamoto za miundombinu hiyo, hususan baada ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025...
📍MOROGORO - Mkuu wa Mkoa, Adam Malima, amesema hatua zitachukuliwa dhidi ya Watumishi wote wanaokwamisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi ya magari ya mizigo (malori) ya Mikumi, Wilayani Kilosa, unaotarajiwa kuanza hivi karibuni.
Malima ametoa kauli hiyo wakati wa kikao kazi cha...
Leo nipo kikazi hapa ila nimeangalia mji ulivyo hapa kama mjini.
Una stendi nyingi za kwenda sehemu nyengine na cha kushangaza ndio yenye benk nyingi na zengine zinakuja.
Tetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9.
Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa
===========
Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa changamoto huku idadi ya abiria...
Laptop Yako Inapumua Kama viumbe vingine.
Laptop yako inahitaji kupumua kama binadamu na viumbe wengine. Inahitaji kuingiza hewa na kutoa hewa ili iweze kufanya kazi vizuri na kudumu kwa muda mrefu.
Kwa matumizi ya kawaida laptop ilitengenezwa kuweza kupumua juu ya meza lakini unapoiweka...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Bi. Mwajuma Nasombe @mwajumaa_abasy ametangaza Kurudi kazini kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo april 24, 2026.
Amesema hayo Leo, mbele ya Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro...
Leo nimekuta vibanda vyote huko stendi ya daladala Kawe kwa Mwamposa vilibomolewa. Baada ya vilio vya muda mrefu vya wakazi na wapanda daladala, serikali inaanza kuchukua hatua za kuboresha mazingira ya stendi au ni kusimamia kwa kanuni za eneo tu?
Natumaini sana hatimaye maboresho yatafanywa...
Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kueleza kushangazwa na hali ya uchafu ya vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda, kutokana na kujaa maji taka na hivyo kuweka rehani afya za watumiaji ambao wanaweza kupata magonjwa mbalimbali kama UTI, Mamlaka imetoaufafanuzi.
Kusoma hoja ya...
Leo Julai 16, 2025 nilikuwa nasafiri kutoka Mpanda kuelekea Sumbawanga, nikiwa Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda nilienda msalani, jambo la kushangaza na kutisha nimekuta vyoo upande wa Wanaume sio tu vichafu bali vimejaa maji taka hadi juu.
Naziomba mamlaka hususani hasa Mkurugenzi wa...
Kwani Sisi waafrika tuna laana gani jamani?
Hivi ni akili gani pale Morogoro kugeuza kituo cha daladala parking na kuacha daladala zishushe abiria sehemu ambayo hakuna kituo?
Ni nani aliyeturoga jamaniiiiiii!!!!!!!
Kuna wizi unafanywa na mawakala wanaokata gate pass za kukuruhusu wewe abiria kuingia kwenye stendi hiyo. Kawaida ukifika kituo hicho inabidii ukate gate pass yenye thamani ya Tsh 200, na unapewa risiti na kisha unaruhusiwa kuingia.
Tumefika stendi hiyo tukiwa wawili tukatoa 500, wakala akatupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.