Habari,
Watu wengi hapa Tanzania tunasubiri kwa hamu ujio wa Starlink ila ni wachache wanaojua matumizi yake ni yakoje pamoja na bei zake.
Ningependa kuzungumzia zaid vitu ambavyo tushavijua kupitia watumiaji wa Nigeria,
Starlink inauzwa $578.93 hivi ni vifaa peke kwa Tanzania ni sawa na...