stahiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. data

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi lipeni Stahiki za Walimu. Rais Kaagiza

    Hakuna nyongeza, hakuna madaraja hakuna promotions wala increment... Lipeni stahiki za walimu.. Acheni uhuni na uwizi. Acheni kukaa na hela sio zenu. Mimi ni muhanga ..familia yangu ina wahanga wengi... Lipeni posho zote alizotaja Rais ikiwemo uhamisho na mengine. Waziri mkuu asimamie...
  2. M

    JamiiForums Tanzania UTPC lipeni mishahara bila masharti

    Kwanza nawapongeza UTPC kwa kupata fedha ambazo pia zitatumika kulipa waratibu. Hilo ni jambo jema sana hakika mnstahili pongezi. Lakini kilichonileta hapa ni baada ya kupokea barua kutoka UTPC ikitoa maelekezo kwa sisi viongozi wa Klabu tujaze fomu za maelezo (kama inavyoonekana hapo chini) na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kenneth Simbaya lipa Stahiki za waratibu na ujiuzulu UTPC

    Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara na stahiki nyingine za waratibu wa Press Clubs ambazo zilitakiwa kulipwa hadi kufikia Desemba 31, 2025. Mishahara hiyo ya miezi minne ikiwa imeambatana stahiki zao za kusitishiwa mikataba na michango ya NSSF. Niliona maandiko kadhaa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimefanya kazi Kampuni ya Wachina kwa miaka 10 bila mkataba, wameniondoa kazini bila kosa lolote, nafanyaje kupata stahiki zangu?

    Mimi nilikuwa Mfanyakazi kwenye kampuni ya Wachina inayojihusisha na michezo ya kubahatisha inaitwa BONANZA, ni kampuni maarufu sana na huenda ikawa ya kwanza kuingia nchini, nimefanya kazi takribani miaka 10 na bila mkataba wowote. Niliahidiwa kusainishwa mkataba kila siku zinapoenda mwisho wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taasisi nyingi za kiislamu kama mashule na hospitali zimejaa uzulumaji (Haziwapi Wafanyakazi wake stahiki zao )

    Kwanini Taasisi nyingi za kiislamu kama mashule na hospitali zimejaa uzulumaji (Haziwapi Wafanyakazi wake stahiki zao )
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbulu DC kuna kikundi kinatumia STAHIKI ZA WATUMISHI! Mamlaka chunguzeni

    Kila mwezi halmashauri hupokea kiasi Cha pesa kutoka serikali kuu Kwa ajili ya uendeshaji wa Idara mbalimbali ikiwemo pesa malipo ya mda wa ziada Kwa watumishi, Kuna baadhi ya miezi watumishi hatulipwi pesa ya mda wa ziada. Kuna miezi walisema pesa zimechukuliwa zinaenda kulipa mwenge, mwezi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Niliondolewa kazini CBWSO (Geita) lakini hawataki kunipa stahiki zangu

    Nilikuwa Mtumishi wa CBWSO Kata NKOME kwa sasa inaitwa BUGANDO, Wilaya ya Geita Mkoa wa Geita, niliondolewa kwa shinikizo la Meneja wa RUWASA (W) 28.08.2025. Licha ya changamoto zilizokuwepo ambazo nazo pia chanzo ni huyo kiongozi wangu, stahiki zangu kakwamisha hata baada ya Bodi kuridhia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa afya Babati tunahamishwa kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho

    Watumishi wa afya Babati tunahamishwa sana tena kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho, inatakiwa ulipwe ndio uhamishwe kwenda kituo kingine lakini tunashinikizwa kuhamishwa na hatupewi pesa zetu za uhamisho. Wengine ni miaka sasa ushaomba hupewi wengine wamehamishwa hivi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani na mnajua kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center

    Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini. Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO). Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani, ikizingatiwa sehemu hiyo kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center kinachotoa Huduma za...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Kitete Hospital(TABORA) bado hatujalipwa stahiki zetu

    Kwa muda sasa hatupatiwi call allowance,, Extra duty allowance hali inayopelekea kukosa morali ya kazi. Mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi wa 10/2025 nayo hayo malipo yalikuwa ya extra duty na call allowance za mwezi wa 03/2025. Hivyo hadi sasa tunadai extra na call allowance za miezi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Fountain Gate tuna hali mbaya kiuchumi, Serikali itusaidie tupate stahiki zetu

    Mimi ni mdau wa elimu, naomba ujumbe huu ufike kwenye mamlaka za Juu Serikalini, lengo sio kuchafua taasisi yetu bali ni kutusaidia sisi Watanzania ambao tuna hali ngumu na hatuna mtu wa kutusaidia. Siwezi kuharibu taasisi yangu wakati najua ndio sehemu ambayo Napata ugali wangu na familia...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

    “Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi" "Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Hospitali ya Benjamini Mkapa tunakatwa stahiki zetu bila maelezo

    1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na hazitolewi maelezo. 2. Tunaomba Wizara ya Afya na mwajiri wetu Katibu Mkuu Kiongozi itupe muogozo na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa EROLINK upande wa Call Center ya TANESCO hatuingiziwi stahiki zetu za NSSF

    Mimi na Wafanyakazi wenzangu wa EROLINK hasa ambao tupo upande wa Call Center ya TANESCO hatuwekewi stahiki zetu za malipo ya NSSF zetu licha ya kwamba tumekuwa tukikatwa kila mwezi. Ahadi zimekua nyingi lakini hakuna kinachofanyika, tumekwisha kuongea na Afisa Uhusiano anaeshugulika na mafao...
  15. Holota

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

    Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi serikalini kupitia portal ya ajira. Hata hivyo, kila ninapojaribu kutuma maombi ya kazi ambazo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

    Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mzee wangu alikuwa Askari, hajapata stahiki zake za kustaafu za Mwaka 1987 – 2003

    Baba yangu ni Askari Mstaafu mwenye Namba X_C1611 PC, nyaraka zake zinaonesha aliajiriwa Mwaka 1973, alipostaafu Mwaka 1987 kulitokea mkanganyiko wa cheki yake ya malipo. Cheki ilipelekwa Singida badala ya Kagera, alipokuja kushtuka baadaye akaifuatilia na kubaini hadi muda anafuatilia tayari...
  18. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya ili kutoa huduma stahiki kwa wananchi

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange amesema Serikali itaendelea kutenga na kupeleka fedha kwenye halmashauri zote nchini kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya vituo vya afya ili viweze kutoa huduma stahiki kwa wananchi. Dkt. Duagange ameyasema hayo Bungeni Jijini...
  19. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Karibu SHEBWA MASONRY CONTRACTION ujipatie mafundi ujenzi wenye viwango stahiki vya ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakala wa Vipimo nchini (WMA) washukuru Rais Samia kwa kutengeneza mazingira mazuri ya kufanya kazi pamoja na kutoa stahiki za kifedha

    Wakala wa Vipimo nchini WMA umeandaa Iftar kwa lengo la maombi na Dua ya ufunguzi wa jengo jipya la ofisi baada ya kukamilika kwa ujenzi wake Jijini Dodoma. Iftar hiyo iliwakuwakutanisha wadau mbalimbali, watumishi wa Ofisi hiyo, Viongozi wa Dini na Viongozi wa serikali. Akizungumza kwa niaba...
Back
Top Bottom