M.Rutabo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 881
- 2,097
Yani mwenzenu ni mesuka mkeka Multbet yangu safi timu sita Arsenal vs Psg nikampa Arsenal, Barcelona vs Young boys nikampa Barcelona, inter Milan nikampa kushinda Leverkusen naye nikampa kushinda zidi ya Ac Milan Dortimund naye nika mpa kusinda na Man City nikampa kushinda.
Sasa hadi kipindi cha kwanza kinaisha timu zote nilizo chagua zilikuwa zinaongoza hisipokuwa Match ya Liverkursen na Ac milani walikuwa bado hawajafungana basi nikaendelea na mishe nyingine nakuja kuangalia dakika ya 89 nakuta Liverkursen kaisha funga goli nikawa najisemea kesho watanikoma maana mkeka niliona unaenda kutiki.
Kuja kurudi kwenye mkeka nakuta wameniwekea kwamba nilichagua PSG kushinda dhidi ya Arsenal na nimechagua Ac Milan kushinda dhidi ya Liverkursen.