Serikali ya Afrika Kusini imeeleza wasiwasi wake kuhusu athari za kuongezeka kwa mtazamo kwamba Wananchi wake wana chuki dhidi ya wageni, ikisema hali hiyo imeanza kuathiri sekta ya sanaa na burudani Nchini humo.
Waziri wa Sheria na Maendeleo ya Katiba, Mmamoloko Kubayi amesema baadhi ya...