Dalali mbeya jiji
Member
- Mar 18, 2025
- 66
- 35
Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe, kiwanja kina ukubwa wa sq 2500, kina hati kwa ajili ya matumizi ya kituo cha mafuta Tshs 350m. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050 nyote mnakaribishwa!!
Go to the point. Cjaeleweka wapHapo bado hujaeleweka
Unauza kiwanja tupu au kituo cha mafutaGo to the point. Cjaeleweka wap
Kiko eneo gani hapo songwe?Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe, kiwanja kina ukubwa wa sq 2500, kina hati kwa ajili ya matumizi ya kituo cha mafuta Tshs 350m. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050 nyote mnakaribishwa!!
Bila picha Uzi wako ni batiliKituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe, kiwanja kina ukubwa wa sq 2500, kina hati kwa ajili ya matumizi ya kituo cha mafuta Tshs 350m. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050 nyote mnakaribishwa!!
Tapeli.huyo kituo anasema kiko.mkoa wa songwe haelezi hata sehemu kilipo.hasa yaani mtaa ,kijiji au wilayaBila picha Uzi wako ni batili