somo

State Organization for Marketing of Oil (SOMO) is an Iraqi national company responsible for marketing Iraq's oil. It is headquartered in Baghdad, Iraq.

View More On Wikipedia.org
  1. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Utangulizi wa java SOMO 1

    Utangulizi wa java SOMO 1 Java Ni lugha ya compyuta maarufu iliundwa mwaka 1995. Hadi sasa inamilikiwa na Oracle na inatumika ndani ya zaidi ya vifaa Billion tatu (3). Java inatumika katika Programu za simu ( Hasa Android Apps) Programu za Kompyuta ( Desktop Application) Programu za wavuti...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Somo Kubwa sana la Kujifunza hapa hasa kwa Washamba na Malimbukeni wa Mafanikio ya Ukubwani na ya Dharula ya Kiuchumi

    Samuel Eto'o kasema kabla hajawa staa mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa ela ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza kupata mshahara mkubwa aliamua...
  3. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Kushika Pesa, Kisha Zipotee Ghafla na Watu Wako Wapotee

    Utangulizi Usimamizi wa fedha ni ujuzi muhimu ambao unaweza kuamua utulivu wa kifedha na ubora wa maisha ya mtu. Nukuu, "Ushike hela, halafu zipotee ghafla na watu wako wapotee, ukizishika tena sidhani kama utakua mjinga tena 😄 Yaani watasimuliana namna umekua na roho mbaya," inafafanua kiini...
  4. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Somo kutoka kwa mbwa mwitu

    Mbwa mwitu ni mnyama mwenye sifa za kipekee ambazo wanadamu wengi wasasa hawana: Kwanza: Ni mwema kwa wazazi wake. Pili: Halali na familia yake kimapenzi, yani; Mama, dada n.k. Tatu: Hupenda kuwa huru, na hufikia mpaka kujiua unapomfungia ndani na kumnyima uhuru wake. Na daima huishi kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Crown media ilivyoajiri. Ni somo kubwa kwa Graduates wanaotafuta ajira. Zama zimebadilika

    Habari wadau. Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inasemekana inamilikiwa na Joseph Kusaga , salim kikeke wakishirikiana na msanii alikiba Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo cloudsfm, wasafimedia etc. Mfumo wa kuajiri uliotumika kupata...
  6. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania SoC04 Upangaji wa uzazi kuelekea Tanzania tuitakaayo

    Kupanga uzazi ni kitendo cha mtu kuamua kuwa na idadi maalum ya watoto kwa ustawi wa familia yake. Wapo wanaotumia njia hizi wakiwa pia hawajabahatika kua na watoto. Kuna aina kuu mbili za njia mbali mbali za kupanga uzazi ambazo ni njia za asili na zisizo za asili. Njia za asili ni njia...
  7. WAPEKEE_

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya movie ya Sisu na somo la kujifunza - by Wapekee

    SISU - Ni neno la asili ya Ki-finland, lisilo na tafsiri ya moja kwa moja, lakini lenye dhima ya kuonesha ujasiri na maamuzi magumu yasiyofikirika. Sifa hii ya SISU hujidhihirisha wazi pale ambapo matumaini yote hupotea. Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara...
  8. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuanzishwa kwa Somo la Sheria, kuanzia shule za msingi mpaka Sekondari

    Jamii inauhitaji mkubwa wa kujua SHERIA mbalimbali muhimu. Kutojua SHERIA sio sababu ya mtu kujitetea dhidi ya shitaka lolote linalomkabili mbele ya mahakama, hivyo kunauhitaji mkubwa kwa jamaii kujua SHERIA. Pia kupitia ufundishaji huo wa SHERIA mashureni, utawawezesha pia watoto kujua haki...
  9. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ili kuwa na familia imara na viongozi bora wa baadae Tanzania ifundishe somo la “Utaifa” kuanzia darasa la awali

    ILI KUWA NA FAMILIA IMARA NA VIONGOZI BORA WA BAADAE TANZANIA IFUNDISHE SOMO LA “UTAIFA” KUANZIA DARASA LA AWALI ILI KULINDA TAMADUNI ZETU NA KUJENGA JAMII YENYE MAADILI MEMA. SHULE AU DAY CARE ZA MITAANI PIA ZISHIRIKISHWE MAANA WATOTO WANASHINDA HUKO. Kabla sijaanza anaomba nitoe Maana ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Somo la mahusiano lifundishwe shuleni ili kupunguza matatizo ya kijamii

    Makazini utakutana na matatizo mengi ambayo chanzo kikubwa ni mahusiano mabovui, Ukija Mtaani pia utakuta kesi nyingi chanzo kikubwa ni mahusianomabovu. Mahusiano ni zaidi ya mapenzi kama wengi wanavyolitumia neno hilo bali hali yoyote ya kimawasiliano kati ya mtu na mtu. Baadhi ya Afisa...
  11. iamwangdamin

    JamiiForums Tanzania SOMO LA MAISHA

    Nekta ya Maisha Halisi: Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake kwa miaka 3, lakini walipoachana, hakumtaka aondoke nyumbani kwake, alikuwa na wasiwasi kwamba angeishi katika kiwango cha chini, kwa hivyo alimwachia nyumba ya ndoa na kwenda kupanga. nyumba ndogo karibu naye. Pia alikuwa...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Somo la unyenyekevu

    Hili ni somo kubwa kwa vijana. Biteko ameonyesha kivitendo, unapopata cheo kikubwa, tusipandishe mabega!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu/Kinana wamuibua Chifu Mwaihojo, ataka somo la Muungano kuanzishwa

    Mbeya, Tanzania Tundu Lissu / Kinana wamuibua Chifu Mwaihojo, ataka somo la Muungano kuanzishwa https://m.youtube.com/watch?v=rsrEtEaFwGg Source : busokelo tv Mwanachama wa CCM Chifu Mwaihojo asema Tundu Lissu anahoja nzito lakini viongozi wa CCM wanajibu hoja za Muungano kisiasa bila majibu...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Jukwaa gani ni pendwa kwako ndani ya JamiiForums?

    Ni lipi jukwaa ambalo limekupa somo au shule ya maana, ushauri, maarifa, ufahamu na uelewa kutosha au kukukwamua juu ya masuala mbalimbali ya maisha, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa?
  15. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rihanna Atoa Somo Zuri kwa Wanawake. Jitahidini Kuishi Maisha Ambayo Hamtajutia Baadaye

    Kuna msemo wa Kiswahili unaosema muda ni mwalimu mzuri. Hili linaonekana wazi kwenye maisha ya wanawake. Labda tuzungumzie mastaa fulani wa kike ambao wanajutia sana maisha waliyoishi miaka ya nyuma. ●RIHANNA Kwenye mahojiano yake ya karibuni alisikika akisema "Huenda ikaonekana ni unafiki...
  16. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naendelea kutoa Somo, vijana msitolee macho pesa za wake zenu

    Tumekuwa tukiwafundisha kila siku, japo mmekuwa wagumu kuelewa lakini hatutachoka kuwaelimisha. Tunaamini mtaelewa kidogo kidogo. kama wewe umeo na una mke let say ana kazi au biashara au shughuli yoyote inayomwingizia kipato basi acha kutolea macho pesa za mkeo. kama hutaki shida na migogoro...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Somo la ki-islamu lazua sintofahamu, Je, Sabato, Katoliki na walokole Imani inafanana?

    Kitendo cha serikali kuweka Somo la DIVINITY kwa wakristo wote ni kuwakosea wakristo,>imani zao ni tofauti sana, wapo wanao abudu sanamu, wapo wanao heshimu sanamu, wapo wakristo wnaopinga kuabudu na kuheshimu sanamu. Wapo wanao amini roho mtakatifu na wapo wanaokataa kabisa, wapo wanaosali...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni lini lugha za kikabila zitakuwa somo kama ilivyo kwa Kiarabu, Kiswahili, Kingereza na Kichina?

    Kwema Wakuu! Ni lini lugha mama zetu, nazungumzia lugha zetu za kikabila zitaingizwa kwenye mitaala kama moja ya masomo ya lugha kama ilivyo kichina, kingereza, kiswahili, kiarabu. Tunampango gani wa kuhifadhi lugha zetu za asili au elimu ya kigeni itafanikiwa kuzifuta Lugha zetu za asili...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kama tungefundiswa somo la madini, tungelikuwa mabilionea

    Nchi ya Tanzania ina madini ya kila aina katika sehemu mbalimbali. Kuna madini mengi sana mkoani Geita, na sehemu nyingine za nchi yetu. Kama watunga sera wa Wizara ya Elimu na mawaziri wote wa elimu wangekuwa na ubunifu mkubwa, wangeweza kuanzisha somo la madini katika shule za msingi za...
  20. Teslarati

    JamiiForums Tanzania SOMO KWA VIJANA: Ijue tofauti ya tajiri na masikini, au tofauti ya millionea na shilingionea

    Unajua haya maisha watu wanaishia kuishi kwa stress kibao sababu hawajijui na hawajui wanachokitaka au wanachotaka kuwa Mfano dogo anataka kuwa tajiri lkn hajui tajiri ni nini/nani. Na hauwezi kuwa tajiri kama ww sio tajiri (najua hujaelewa) Iko hivi, hata kwenye vita yyt ile huwa tunashinda...
Back
Top Bottom