WATER PUMP ZA SOLAR
Ndugu mkulima, je wewe ni miongoni mwa wanaotumia zaidi ya elfu 50 kwa siku kununua mafuta ya kuendesha pump kwa sababu una shamba kubwa. Hapo ukipiga hesabu ndani ya miezi 3 ni zaidi ya million 4
Tambua kuwa pump za solar na pump za mafuta tofauti yake ni moja tu, hii...