soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania BENKI YA CRDB, UNDP zazindua programu kuwasaidia wafanyabiashara kufikia Soko Huru la Afrika (AfCTA)

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria kuzindua programu ya kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati kushiriki fursa zilizopo katika Soko Huru la Afrika (AfCFTA) inayotekelezwa na CRDB Bank Foundation pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Soko la kuku wa kienyeji

    Naomba kufahamu wateja na soko la kuku wa kienyeji Dodoma na mikoa jirani
  3. JamiiForums Tanzania NEMC yasisitiza utunzaji wa mazingira katika Soko Kuu la Kariakoo

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu na kusisitiza suala zima la utunzaji na usimamizi wa Mazingira katika soko kuu la Kariakoo litakalokuwa linafanya kazi kwa masaa 24. Akizungumza katika Maonesho ya uzinduzi wa biashara ya saa 24 katika Soko kuu la...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini mti maarufu soko la Nyasho ukatwe ili kujenga soko? Kwa nini isiwe sehemu ya kuenzi historia? Wachora ramani mnafeli wapi kujumuisha nature?

    Nikifika Mwanza eneo la kapripoint, nafurahishwa na namna jinsi wachora ramani walivyoyaweka majengo yakaishi na nature, bila kuharibu mazingira. Kuna tatizo la ubunifu. Ukiangalia majengo mengi nchini ni kama majengo yanafanana, hakuna utundu. Niliwahi kutoa challenge watu wajadili ubunifu...
  5. JamiiForums Tanzania Kampuni za betting zilizokimbia soko la tanzania

    Katika uzi huu nitataja kampuni mbalimbali zilizokimbia soko la tanzania huku sababu kuu zikiwa, soko kutokuwa na faida , kufeli kwenye operation (wafanyakazi wasio na weledi) kujikita kwenye masoko yenye faida zaidi. 1. Mkeka bet 2. Winprinces (online operation) 3. Princes bet 4. Michezobet 5...
  6. JamiiForums Tanzania Barabara ya mtaa wa swahili karibia soko la Kariakoo inamwagwa lami kwa kasi sababu kuna msafara unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko

    Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja kugundua kumbe kuna msafara wa rais unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko la Kariakoo
  7. JamiiForums Tanzania Serikali Yatoa Maagizo kwa Soko la Hisa na TCB Kuwezesha Uwekezaji kwa Wananchi

    Serikali imeagiza Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na Benki ya TCB kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata elimu ya kutosha kuhusu umuhimu wa kuwekeza katika soko la mitaji kwani ni muhimu kuongeza ushiriki wa wananchi katika uwekezaji wa hisa, ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kusaidia...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Silaa akiri kasoro usajii wa Vodacom katika Soko la Hisa Dar

    Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya hisa zake katika Soko la Hisa Dar es Salaam DSE imekuwa na matokeo mabaya. Slaa ambaye alikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkurugenzi wa Jiji Dar asema Jiji halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi, Ufungaji wa kamera za CCTV katika Soko la Kariakoo kuanza

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Elihuruma Mabelya, amesisitiza kuwa jiji hilo halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi. Tamko hilo amelitoa katika Viwanja vya Karimjee kwenye hafla ya utiaji saini wa miradi mitano muhimu inayolenga kuboresha huduma za jamii na...
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni za condoms kutoa taarifa ya kudorora Kwa soko, hii inaniacha na maswali mengi

    Makampuni ya condoms yamelalamikia soko la condoms kudorora 1. Watu wanajikinga vip dhidi ya Ukimwi? 2. Watu wamepunguza kufanya ngono? 3.Dhana ya kuamini mtu anaishi vyema hata akiwa anatumia ARV? 4. Ukimwi wa Sasa umepungua nguvu? 5. Viongozi wa dini wamefanya kazi Yao vyema? Kwa uzoefu wangu...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halmashauri Singida waidai ahadi ya Dkt. Nchimbi kuwajengea soko la vituguu

    Halmashauri ya Wilaya ya Singida imekumbushia ahadi ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi ya kujengewa soko la vitunguu ambalo litasaidia kuongeza mapato ya halmashauri ambapo imeiomba serikali kutoa Sh.bilioni 2 ili kufanikisha ujenzi wa soko hilo. Mwenyekiti wa Halmashauri ya...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali Yaainisha Mikakati ya Kuwawezesha Vijana Kushindana Kwenye Soko la Ajira

    BUNGE limeelezwa mikakati mitano inayofanywa na serikali katika kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana nchini na namna kumudu ushindani kwenye soko la ajira. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema hayo Februari 10, 2025...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Havard graduate wanalalamika kukosa ajira. Soko la ajira gumu mpaka marekani. Hali inatisha

    Kwa miongo kadhaa, kupata MBA kutoka Ivy League imekuwa ikichukuliwa kama tiketi ya dhahabu kwa ajira popote. Kulingana na Fortune, MBA ya Harvard inachukuliwa kuwa bora zaidi, ikishika nafasi ya juu katika orodha ya shule za biashara 98 za Marekani. Hata hivyo, mwaka 2024, hata digrii ya MBA...
  14. JamiiForums Tanzania Kijana Mwenye kuhitaji kuwekeza kwenye soko la mbao, nguzo za umeme kwa mtaji wa milioni mbili tu nipo hapa nitamsaidia

    Vijana kama unatamani mafanikio na unamtaji mdogo na unatamani kuwa mfanya biashara mkubwa mimi kijana mwenzenu nipo hapa kukusaidia najua kuna wengine mna mitaji hamjui wapi muwekeze na mpate faida ya haraka Karibuni tuwekeze kwenye soko la miti ya mbao pamoja na nguzo za umeme Kwa mtaji...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Habari nauza nguo za mtumba nipo Dar es salaam wapi nikitembeza naweza nikapata soko kirahisi naombeni ushauri wenu

    Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
  16. JamiiForums Tanzania Je, App ya Biashara ya Vipuri Kama BeForward kwa Soko la Tanzania Itafanikiwa au ni Kupoteza Muda?

    Nina wazo la kuanzisha App ya B2B Multivendor ambayo itawaunganisha wauzaji wa vipuri vya magari na wanunuzi nchini Tanzania, kama vile BeForward, lakini kwa soko letu la ndani. App hii itawawezesha wafanyabiashara wa vipuri kuorodhesha bidhaa zao, na wanunuzi wataweza kutafuta vipuri kulingana...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wafanyabiashara mlichoma moto Soko Kariakoo sababu nilizisema changamoto za uongozi uliokuwepo

    Wakuu, Alaaaah, kumbe wafanyabiashara walichoma soko la Kariakoo wenyewe? Hii ndio sababu hatujui ndani ya kilichokuwemo kwenye ripoti rya tukio la moto ule? ====== Moja ya mambo aliyosema mwenyekiti wa kariakoo katika risala yake ni kuhusu ziara ya Samia Kariakoo, ambako alisema Rais Samia...
  18. JamiiForums Tanzania Soko Jipya la Mbuyuni, Moshi Manispaa, lenye thamani ya Tsh 200 milioni kufunguliwa kesho tar 30.1.2025

    Karibuni wananchi wote!
  19. JamiiForums Tanzania Hatifungani ya Azania bank yaorodheshwa rasmi soko la hisa

    Sasa ni rasmi hatifungani hiyo iliyofanikiwa kuvuka lengo la mauzo kwa kufikisha mauzo ya asilimia 210.9 kwa kukusanya sh. Bilioni 63.3, sasa itauzwa kupitia mawakala wa soko la hisa na mitaji.
  20. JamiiForums Tanzania Soko na bei ya madini ya amethyst Tanzania

    Habari zenu wana JamiiForums na wadau wa madini kwa ujumla, Naomba kufahamu ukweli kuhusu bei ya amethyst kwa hapa kwetu Tanzania (soko la ndani) kwa zile zilizo safi ,rangi omekolea na ukubwa kuanzia 3g nakuendelea ,kilo inakua bei gani? Na je ukizalisha soko lipo la uhakika au adi upate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…