soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Sasa ni zamu ya masoko kuungua, Soko la Katoro laungua moto

    Sass hivi kila siku utasikia soko la eneo flani limeungua, soko la wafanyabishara wadogo eneo flani limeungua. Siku hizi haipiti siku mbili masoko ya wafanyabishara wadogo hayajaungua. Leo soko la katoro, mji mdogo mkoa wa Geita limeungua. Ajali za moto za masoko zimekua nyingi sana, shida ni...
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soko la kuuza mahindi Kenya

    Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo
  3. JamiiForums Tanzania Suala la Wamachinga: Uongozi Dar es Salaam ukajifunze Jijini Arusha

    Suala la udhibiti wa Wamachinga linaonekana kufanikisha kwa kiasi nikubwa Jijini Arusha. Mitaa na maeneo yote Ingekuwa kusafi na wananchi pia wametii maagizo ya viongozi wao. Suala hili lineinekana kupwaya sana ndani ya Jiji la Dsm na ninashauri uongozi ifanye safari ya kikazi ata ya siku Moja...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Soko la China ni kigezo cha kupima ubora wa maua ya Kenya

    Na Tom Wanjala China imetajwa kuwa mwamuzi mkubwa katika soko la kimataifa la maua yanayotoka Kenya. Meneja mauzo wa kampuni ya maua ya Redlands Roses, Bi. Dorcas Gathura anasema kuwa China imesaidia kampuni hii kupanua mauzo yake katika mataifa mbalimbali. Anasema kuwa kinyume na mataifa...
  5. JamiiForums Tanzania Tunduma: Soko la Manzese lateketea kwa moto

    Soko la manzese lililopo tunduma mpakani mwa TANZANIA na Zambia limeteketea kwa moto. --- Tunduma. Soko la Manzese lililoko katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma mkoani Songwe linawaka moto muda huu. Moto huo ambao chanzo chake bado hakijajulikana umeanza leo Jumanne Novemba 16, 2021 asubuhi...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegele aja na Temeke Gulio-Soko la Makangarawe limekamilika

    MKUU WA WILAYA WA TEMEKE MHE JOKATE MWEGELO AJA NA TEMEKE GULIO - SOKO LA MAKANGARAWE LAKAMILIKA Rasmi sasa Tarehe 19/11/2021 ndani ya Soko Letu La Makangarawe WanaTemeke tunaenda kuandika Historia kwa namna ambavyo wafanyabiashara wadogo wadogo walivyoitikia wito wa kuhama maeneo yote yasiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Majibu ya Tume uchunguzi wa moto soko la Kariakoo

    Salama Watanzania wazalendo, hapa nahitaji tujiulize matukio ya moto kwenye masoko ni ya kujirudiarudia kuna maswali je, ni njia ya watu kupiga pesa kwenye ujenzi. Tume iliyoundwa kuchunguza chanzo cha moto imebaki na majibu kimya kwenye makabati hawaoni umuhimu kutoa majibu hayo, inaundwa...
  8. JamiiForums Tanzania Duru za biashara za mtandao: Kuna dalili za watu kulizwa huko kwenye soko la forex, wajuzi wa haya masuala njooni huku

    Wakuu hii nawaletea baada ya dogo fulani kunitafuta huku amefura analalamika ameingia kwenye biashara ya kudownload pesa na kampuni fulani inaitwa 360 Capital na kushindwa kutoa pesa zake. Nikazama kwenye mitandao ya kijamii na kuitafuta kiundani maana jina lake ni kama niliwahi kulisikia...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri: Soko la Karume waangalie vibaka wanaojificha kwenye udalali hapo sokoni

    Ushauri kwa uongozi wa soko la ilala karume kuchukua hatua za haraka kuondoa watu wanaojifanya madalali wakiona mteja kukuchukua na kukupeleka kununua kitu yaani kwanza wasumbufu wengine wananuka pombe vibaka tupu waondolewe pale haraka hakuna mtu ujui unaenda kununua kitu gani ukiwa umetoka...
  10. JamiiForums Tanzania PICHA Ya Muonekano wa Soko jipya la Kariakoo Huu Hapa

    Picha za jengo jipya la Kariakoo zimeachiwa mapema leo, jengo hilo jipya linakusudiwa kugarimu shs za kitanzania 26.2 bilioni.
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta soko la Vanila Tanzania

  12. L

    JamiiForums Tanzania Makampuni barani Afrika yatumie CIIE kufungua soko la China kwa ajili ya bidhaa zao

    Na Caroline Nassoro Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa Nje ya China (CIIE) yamefunguliwa rasmi Novemba 5, 2021. Ikiwa ni awamu ya nne, Maonyesho haya yameendelea kuandaliwa kwa ufanisi zaidi, kitaalamu zaidi, na pia kwa njia ya kidijitali zaidi. Maonyesho haya yamevutia washiriki...
  13. L

    JamiiForums Tanzania CIIE: Fursa nyingine kwa nchi za Afrika kutangaza na kuuza bidhaa zao katika soko la China

    Maonyesho ya Kimataifa ya Uingizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE) yameanza mjini Shanghai, China, na nchi kadhaa zinashiriki maonyesho hayo na kutangaza bidhaa maalum za kipekee zinazopatikana katika nchi hizo ili kuweza kuvutia wateja nchini China. Nchi za Afrika ni miongoni mwa nchi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tulilalamika ununuzi wa ndege nje ya bajeti, Soko la Kariakoo litajengwa kwa bajeti iliyopitishwa Bungeni?

    Naomba wanaojua Kama fedha za kujenga soko jipya Kariakoo zipo kwenye bajeti au zimetoka kwa Mhe Rais. Kama zinatoka kwa Rais je yeye anazitoa wapi? Au tunaendelea kuwa taasisi inayopanga namna kinyume na Bunge Kama ilivyokuwa awamu ya Tano? Auditing yake itakuwaje? Value for money itapimwaje?
  15. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu la Jumamosi: Hili Soko la Bilioni 32 litakuwa na Vitu Gani Ndani?

    Soko la Kariakoo litajengwa upya; inakadiriwa na kudaiwa kuwa serikali itatenga bilioni 32 kulijenga upya. Hili si jambo baya. Ila naomba kuuliza kwa hizo bilioni 32 Watanzania watarajie nini kwenye soko hilo kubwa na maarufu zaidi nchini... Japo hii bilioni 32 kwenye hela yetu inaweza kuwa ni...
  16. JamiiForums Tanzania Historia ya soko la Kariakoo

    Soko la Kariakoo ambalo Rais Samia Suluhu anakusudia kulifanyia mapinduzi makubwa kwa kukarabati jengo lake la zamani na kujenga lingine jipya ambalo litapokea machinga zaidi ya 2,000, lina historia ya kipekee. Soko Kuu hilo lipo katika kiwanja namba 32 eneo la Kariakoo, katikati ya makutano ya...
  17. JamiiForums Tanzania Soko la Mbeya liliungua miaka zaidi ya kumi na halijajengwa, ila la Kariakoo limeungua juzi tu limetengewa bilioni 34

    Hii imekaaje. Ni kwamba serikali inafanya miradi yake kwa upendeleo?
  18. JamiiForums Tanzania Kuliko Bilion 34 kujenga soko Kariakoo bora soko lihamishwe

    Inaonekana watu wa mipango miji wamelala na viongozi wetu akili zimeganda. Nimeona leo kwamba soko la k'koo litajengwa upya kwa Billion 34, leo siyo mwaka 1970 jamani kwanini pesa zote zitumike kujenga soko tena eneo lenye tatizo la msongamano wa watu badala ya kulihamisha soko pembezoni mwa...
  19. JamiiForums Tanzania Masjid Rawadha na Soko Mjinga Kisutu

    MASJID RAWDHA NA SOKO MJINGA KISUTU Masjid Rawdha ni huo msikiti kushoto ambao zamani ulikuwa ukijulikana kama Masjid Badawy na hili ndilo jina nililolikuta mimi wakati napata akili. Kulia ni soko maarufu likijulikana kama Soko Mjinga. Majengo yote hayo yamebadilika kwa kuvunjwa yale ya zamani...
  20. JamiiForums Tanzania Iringa: Moto wateketeza sehemu ya eneo la soko la Mashine Tatu

    Usiku wa jana tarehe 26 Oktoba moto umerindima na kuunguza sehemu ya soko la Mashine Tatu. Inasemekana moto huo ulianzia katika moja ya vibanda. Chanzo bado hakijajulikana. Pole sana kwa waliopoteza mali zao.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…