soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Anguko la soko la dhahabu

    Habari wana jukwaa, Ni mjadala huru kwa wafanya biashara wa dhahabu nchini, wakubwa kwa wadogo. Ni kama swali hivi, kumekuwepo na kuporomoka kwa soko la dhahabu kwa kipindi cha takribani ya miezi miwili mfululizo na matumaini ya kupanda kwa dhahabu kwa mda mfupi ujao hayaonekani kiukweli, je...
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni Kufahamishwa Soko la Mbaazi

    HABARINI Wadau kwa anayehitaji mbaazi zipo zinapatikana ni inbox kwani natafuta wanunuzi wa mbaazi au kwa anayefahamu soko lake naweza pata wapi wadau nisaidieni.
  3. JamiiForums Tanzania Wamachinga wamkumbuka Magufuli na Antony Mtaka kwenye Ugawaji wa Maeneo Soko jipya la Machinga Dodoma kwa kuwekwa wasiokuwepo na wao kukosa

    Ikiwa zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya soko jipya la machinga linaendelea, ila limegubikwa na sintofahamu tokana na zoezi hili Kipindi cha awali wamachinga wanaofanya biashara soko la jioni Nyerere square waliandikishwa kwa usimamizi madhubuti wa aliyekuwa mkuu wa mkoa Antony mtaka...
  4. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi Nilivyotengeneza Soko Pekee (Lisiloingiliwa) la Bidhaa Zangu

    UTANGULIZI Watu walio wengi kwa sababu moja au nyingine huwa hawawezi kutengeneza fursa za biashara kutokana na kuanza kwa biashara moja kupitia Mnyororo wa Thamani. Fuatilia Makala hii kwa makini uone jinsi unavyoweza kufanya hivyo kwa biashara yoyote. Mnamo mwaka 2019 nilianzisha na kusajili...
  5. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yaendelea kuporomoka kwenye soko la dunia

    Habari zinaeleza kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia inaendelea kuporomoka katika soko la dunia kutokana na wasiwasi wa mdororo wa uchumi. Habari zaidi ipo chini. --- An oil pumpjack operating as another stands idle in Los Angeles, California. Oil prices fell on Wednesday as Covid-19 curbs...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Soko la bidhaa za Kitamaduni za Afrika "African Bazaar" lilifanyika hivi karibuni mjini Beijing China na kuwavutia wageni wengi.

    Soko la bidhaa za Kitamaduni za Afrika "African Bazaar" lilifanyika hivi karibuni mjini Beijing China na kuwavutia wageni wengi.
  7. J

    JamiiForums Tanzania NHIF kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36, pia itatumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo

    Ili kuboresha huduma na uimara wa mfuko NHIF inakusudia kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36. Kadhalika mfuko utaanza kutumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo Kwa taarifa zaidi wasiliana nao hapa hapa Jamii Forums wapo. Source: Kipima Joto, ITV
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la nyanya maji

    Habar Wana Jf, Kama heading hapo juu inavyojieleza, naombeni msaada wa kujua wapi naweza uza nyanya kwa Bei nzuri. Nataraji kuvuna katikati ya mwezi wa tisa, ukubwa wa shamba ni hekari moja, mbegu niliyoipanda ni ASILA F1. Eneo nilipolimia ni Bagamoyo. Karibuni sana
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kuna Soko la pumba Moshi na Arusha?

    Habari za majukumu ndugu zangu, Naomba kufahamu na connection ya soko la pumba Kwa mikoa ya Arusha na Moshi. Ni pumba laini kabisa za maindi na mpunga Mimi na pumba ya kutosha nipo tabora. Mawasiliano zaidi 0658644485
  10. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko ya mfumo wa elimu ili kijana wa Tanzania aweze kushindana katika soko la ajira kitaifa na kimataifa

    nipende kuchukua fursa hii kuipongeza sana serikali ya Tanzania KATIKA jitihadaa zake za kuhakikisha kila Mtanzania anapata elimu angalau ya sekondari ili kufukuza ujinga ,hii Ni baada ya kuifanya ELIMU ya msingi na sekondari kuwa bure, lakini ELIMU ya Tanzania bado haijafanikiwa kumkomboa...
  11. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mambo ya kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa

    Muhtasari: Dhumuni la nakala hii ni kuelimisha jamii kuhusiana na kanuni za kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa. Pia, kutoa hamasa kwa vijana na wajasiriamali mbalimbali kukuza mitaji na utajiri kwa kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam...
  12. JamiiForums Tanzania Ijue historia ya soko kuu la Kariakoo

    Neno ‘KARIAKOO‘, asili yake ni neno la Kiingereza la ‘Carrier Corps’, likiwa na maana ya kwamba mahala hapo ndipo inapomalizikia misafara iliyokuwa ikiwasili kutokea nje ya hapa mjini, wakati huo wa utawala wa Wajerumani na Waiingereza. Misafara hiyo ilihusisha askari pamoja na wapagazi...
  13. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta soko la dunia imeshuka chini ya Dollar 90 Kwa pipa moja Ila EWURA wanasema imepanda

    Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
  14. J

    JamiiForums Tanzania Inakuaje bei za mafuta kwenye soko la dunia zinashuka ila Tanzania zinazidi kupanda?

    Wakuu habari, Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia. Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Nawamegea Fursa ya Kilimo cha Maharage ya Soya kwa ajili ya Soko la China

    Wachina tayari wamekamata fursa na pia Nchini kwao kuna fursa ya soko kubwa. Msije kusema hamkuonyeshwa👇
  16. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya tanzania ni kweli inamuaanda mwanafunzi kupambana na soko la ajira

    Soko la ajira limekuwa gumu sana watanzania wengi hushindwa kustahimili soko la ajira na kupelekea ongeza la watanzania wengi wanaomaliza vyuo kwenye ngazi mbalimbali za elimu kukosa ajira na wenye sifa mbalimbali muhimu kwenye jamii na maendeleo ya nchi . Je changamoto ipo wapi ambayo inafanya...
  17. JamiiForums Tanzania Kafulila amnyang'anya soko la Madini MNEC Simiyu

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila aliwahi kuulizwa na Ayo Tv siku chache zilizopita kuwa haoni anahatarisha nafasi yake ya ukuu wa Mkoa kwa uamuzi wake wa kumnyang'anya soko la madini lililokuwa likiendeshwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu (MNEC), Gungu Silanga...
  18. JamiiForums Tanzania Miundombinu ya Arusha na Moshi inaleta aibu katika soko zima la utalii na uwekezaji

    Katika kipindi hichi cha mwezi wa sita hadi mwishoni mwa mwaka tumeshuhudia kabisa idadi ya watalii ilivo kubwa na inazidi ikiongezeka kadri siku zinavyozidi kwenda katika miji hii miwili ya kitalii. Ni aibu kwa mji wa kitalii kama Arusha na Moshi kuwa na aina ya masoko na vituo vya mabasi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kenya yapanga kuanza kusafirisha Chai Nyeusi kwenye soko la China

    Kenya inapanga kuanza kuuza chai nyeusi kwenye soko la China kufuatia kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa hiyo kwenye soko la China. Nia hiyo ya Kenya imejulikana kwenye ziara iliyofanywa na balozi mteule wa Kenya nchini China Bibi Muthoni Gichohi, kwenye kiwanda cha chai cha Nduti mjini Murang’a...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Soko la dhahabu na Rubby Dar es Salaam

    Ndugu wafanyabiashara, wajasiriamali na wabobezi wa masuala ya uchumi wasalaam! Mimi huwa najishughulisha na uchimbaji wa madini ya Rubby na Dhahabu, sasa naomba kwa mwenye uzoefu wa soko zuri la rubby na dhahabu anielekeze ni wapi kuna bei nzuri au bei ina-range kuanzia kiasi gani kwa gram ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…