soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mikataba ya TACTIC ya ujenzi wa Barabara, Kituo Kikuu cha Mabasi na Soko Kuu la Jiji yasainiwa Mbeya

    Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameishukuru Serikali kwa kusikiliza kilio cha Wananchi wa Mbeya kwa hatua ya kuanza kuboresha miundombinu mbalimbali katika Jiji la Mbeya...
  2. JamiiForums Tanzania Stamina Shorwebwenzi ana matatizo ya saikolojia au amelifuma soko lake?

    Kwa muda mrefu sasa huyu mwanamuziki kila nikikutana na nyimbo yake analalamikia mapenzi tu, sana hasa yanayohusu upande mmoja tu wa mke au mwanamke. Sina uhakika kuna nyimbo nyingine alizoimba ambazo sio ulalamishi wa kupigwa na mwanamke katika mapenzi na mimi ndiye sijakutana nazo ila huyu...
  3. JamiiForums Tanzania Hukumu ya wanaodaiwa kuchoma Soko la Karume yasogezwa mbele hadi Agosti 2, 2024

    Hukumu iliyotakiwa kusomwa leo Julai 26, 2024 katika kesi ya jaribio la kuchoma soko la wafanyabiashara la Karume, Kesi Namba 313 ya Mwaka 2023 inayomkabili Christina Elisha na mwenzake Mashauri Ulomi imesogezwa mpaka Agosti 2, 2024. Hukumu hiyo iliyotakiwa kusomwa na Hakimu wa Mahakama ya...
  4. JamiiForums Tanzania Vilabu vyetu vya Tanzania vinazidi kufeli kwendana na kasi ya soko la kuzinduwa jezi mpya za msimu husika

    Tunaendelea kuviona Vilabu vingi vya mpira hapa Tanzania vimekosa kuwa na jicho la ziada katika Jezi mpya katika msimu husika kuzitoa mapema hata kabla msimu mpya kuanza. Eneo la Jezi ni moja ya sehemu ya kupata mapato ambayo yatachangia kwa kiasi kizuri kuendesha klabu katika matumizi yao ya...
  5. JamiiForums Tanzania Naitaji mtu wakumsaidia kuwekeza kwenye soko la mbao

    Karibuni
  6. JamiiForums Tanzania DED Makete Awahakikishia Wakulima wa Ngano Soko la Uhakika

    DED MAKETE AWAHAKIKISHIA WAKULIMA WA NGANO SOKO LA UHAKIKA Halmashauri ya Wilaya ya Makete Julai 23, 2024, imesafirisha Tani 32, za Ngano, ikiwa ni awamu ya Pili ya Ununuzi wa Ngano baada ya hapo awali kusafirisha kiasi cha Tani 30, ambazo zote zimenunuliwa na Kampuni ya Bakhresa iliyopo...
  7. JamiiForums Tanzania Sababu 20 Kwanini Unatakiwa Kumiliki Nyumba Ya Kupangisha Kwa Kuzingatia Mahitaji Ya Soko Mahalia

    Kujenga nyumba ya kupangisha kulingana na mahitaji ya soko la mtaa husika ni mbinu bora inayoweza kuleta mafanikio makubwa katika uwekezaji wa mali isiyohamishika. Hapa chini kuna sababu 20 za kwa nini unapaswa kuzingatia mahitaji ya soko la mtaa husika wakati wa kujenga nyumba za kupangisha...
  8. JamiiForums Tanzania Byabato, Nape waibukia soko la Kashai usiku, wazungumza na wafanyabiashara

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stephen Byabato wametinga katika Soko la Kashai mjini Bukoba, usiku wa Julai na kushiriki kikao cha wafanyabiashara wa soko hilo. Wafanyabiashara wa soko hilo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nippon Paint Yazindua Kampuni Tanzu Afrika Mashariki, Ikilenga Kutoa Bidhaa na Huduma Zenye Ushindani Katika Soko Hili Linalokua

    (Kushoto Kwenda Kulia) Mheshimiwa Bw. Rohit Vadhwana, Kaimu Kamishina Mkuu wa India, Sharad Malhotra - Makamu wa Rais Mkuu, Nipsea Group, Hardev Singh- Rais na Mkurugenzi (Idara ya Kiwanda), Nippon Paint India, Arun Mishra - Meneja Biashara, Nipsea Paint Kenya, Jamil Virjee, Mkurugenzi Mtendaji...
  10. JamiiForums Tanzania Balozi Ami Mpungwe, kuwadi maarufu wa soko huria aliyepitwa na wakati

    Balozi Ami Mpungwe ni moja ya makuwadi maarufu wa soko huria akianza awamu ya Mwinyi, Mkapa, Kikwete. Ni mtu ambaye anajihisi ana ukubwa wa tembo, na kuna watu wenye akili kama zake wanamuona gwiji. Alianza kufanya ukuwadi wa Tanzanite yetu wakati akiwa balozi wa Tanzania Afrika Kusini. Baadae...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa wenye nia ya kuwekeza na soko la hisa D.S.E

    Za asubuhi wananchi wenzangu na watafutaji wenzangu... Leo nimeamua ku-share na ninyi Kikotoo changu changu nilichokiunda kwa kutumia Program ya Microsoft excel kwa ajili ya kunisaidia kudadavua taarifa za kifedha za makampuni yote ya ndani yaliyo orodheshwa kwenye soko la hisa la Dar. Mimi si...
  12. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maoni juu ya kurekebisha miundombinu ya kiafya (vyoo na takataka)katika mosoko ya jumla Dar-es Salaam, hasa Soko Kuu la Ilala

    Tanzania, kama nchi ambayo ukuaji wake wa kiuchumi unategemea sekta mbalimbali basi Masoko ya jumla yana nafasi kubwa na chanya katika pato la Taifa, kwani ukusanyaji wa mapato huwa ni kwa kiasi kikubwa katika masoko kulingana na shughuli mbalimbali zinazofanyika. Pamoja na faida kubwa ambazo...
  13. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo na muundo wa elimu ya kitanzania uboroshwe kuendana na fura za kujiajiri na ajira duniani

    Utangulizi Tanzania imekua miongoni mwa nchi ambazo imekua ikukumbwa na janga la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo, vijana na wananchi wengi kiujumla, na tatizo ni kwamba wasomi wamekua ni wengi lakini mahala pakufanyia kazi pamekua ni pa achache au kwa ufupi ajira zimekua finyu lakini...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Soko la kanga

    Naomba kuuliza ntapata wapi soko la uhakika la kanga wa kienyeji?
  15. JamiiForums Tanzania Ajira za wakusanya ushuru na wafanya usafi soko la feri

    Ajira za muda za watoza ushuru na wafanya usafi soko la feri, vijana muombe mshahara 300,000 kwa mwezi si haba
  16. JamiiForums Tanzania Asome kozi gani kati ya hizi ili kuendana na soko la ajira la sasa hapa nchini

    Habari wanaJF, Natanguliza shukrani. Kuna mdogo wangu kwenye haya matokeo ya mwaka huu mwezi wa pili ya kidato cha nne alipata ufaulu wa DIV 2 YA 18(CIVICS: C, HISTORY: B, GEOGRAPHY: C, KISWAHILI: B, ENGLISH: C, LITERATURE: C, CHEMISTRY: C, BIOLOGY: B, MATHEMATICS: D, PHYSICS: D). Alipangiwa...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Kosa Litakaloliangamiza Taifa Miaka Mitano ijayo

    Mashuhuda wa ajali wanasema kwamba, eneo ajali ilipotokea ni hatari na huenda kukawa na jini ambaye anasababisha ajali zitokee mara kwa mara. Wanadai kwamba, inawezekana jini huyo ndio sababu ya kutokea kwa ajali hii kubwa na hatari, ajari iliyoondoa roho za watu 65 huku watoto chini ya miaka 18...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Kozi za Mtandaoni na vyeti vya mtandaoni vipewe kipaumbele kuendana na soko la ajira kwa Tanzania

    Maono ya Kibunifu kwa Kozi za Mtandaoni kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Katika ulimwengu wa sasa unaoendeshwa na teknolojia, elimu ya mtandaoni imekuwa njia muhimu ya kuwapatia watu ujuzi na maarifa. Hata hivyo, Tanzania bado inakabiliwa na changamoto katika kutambua na kukubali...
  19. JamiiForums Tanzania Taka zimemwagwa Mtaani Msimbazi B, hii ni hatari sana kwa Watumiaji wa Soko la Kariakoo

    Hali halisi ya Mtaani wa Msimbazi B Kariakoo Kwa hali hii watu tutaacha kupata magonjwa ya tumbo, kuhara au hata kipindupindu? Uongozi wa Soko hauoni hii hali na kushughulikia?
  20. JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata soko la mahindi?

    Habari wapambanaji wenzangu! Samahani nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata soko la kuuza mahindi! Natoa mahindi Handeni Tanga! Nilikuwa nina mpango wa kukusanya na kuuza mara moja au mbili kwa wiki hivyo naomba kujua soko ambalo liko reliable! Natanguliza Shukurani!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…