Interview ya Zahera E FM imenipa picha halisi ya soka la Tanzania

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,506
18,800
Leo kulikuwa na interview ya Zahera akihojiwa na E Fm na amefunguka mambo mengi yaliyoendelea kati yake na ya Yanga moja kati ya mijadala ya humu yalikuwa yanahusu viongozi wa team kuingilia majukumu ya kocha, hili jambo nilikuwa nasikia Ila sikutaka kuamini Ila Zahera amelisema ndiyo nimeamini ni kweli.

Zahera amesema kuna wakati Mwenyekiti anamuingilia kwenye majukumu yake na akatolea mfano game ya Lipuli dhidi ya Yanga iliyochezwa Iringa, kwamba wakati wameenda dressing room mwenyekiti wa sasa wa Yanga aliingia naye na kutoa maelezo namna gani ya kucheza as if yeye ni kocha, suala ambalo liliwashangaza wachezaji.

Mambo mengine aliyofunguka Zahera ni kugusia maandalizi before ya game inakuawaje Yanga n.k

NB: Kiukweli ameongea mambo mengi sana. Siwezi kuweka mambo yote hapa lakini Zahera amenipa picha halisi ya soka la Tanzania behind the scene.
 
mimi ni mwanayanga.. ila najua yanga hatuwezi fika robo fainali ya caf champions league kwa kuwa na viongozi wenye njaaaa..

mwenyekiti anategemea mshahara wa yanga ili atunze familia.. yanga inategemea michango ya wanachama... yaani hapo hata aje pep guardiola tutamfukuza tu na yeye...

papaa zahera anazingua ila mfumo na uongozi wa yanga unazingua mara 100
 
Mbona hakuongea siku zote anaongea saivi?

Usimpangie aongee nini na lini! Nasema usimpangie Zahera ni Mtu huru hayupo kifungoni.. nasema tena usimpangie!!.. mimi shabiki damu wa papaa zahera na mnyama
 
mwenyekiti alikuwa mchezaji na kocha, kama aliona wachezaj wanacheza hovyo ana haki ya kuwapa maelekezo sahihr, hata Fargeson anafanya hivyo kwa man u
Hana haki kama alikuwa mchezaji na Kocha kwanini kugombea Ukocha Yanga? Ndio tatizo la klabu zinaziendeshwa kienyeji
 
MIJIZI NA MIDHULUMATI NYIE.MPENI PESA ZAKE.DANTE NAYE MNATAKA KUMZIMA PESA ZAKE.MRUDISHIENI PESA ZAKE MAJAMBAWAZI MAKUBWA NYIE.MTU KAISAIDIA TEAM SASA MNATAKA KUMZIKA PESA ZAKE.😁😁😁😁😁😁😁😁😁


Zahera must now shut his dirty mouth. Mbona hakusema siku zote hizi?

I have now lost the little sympathy I had for him.

Kikubwa adai hela zake na ajue hatalipwa miaka dahari
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom