soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kiki ya derby ya Kariakoo ndio imebamba ila tunaua soka letu

    Ujio wa NO REFORMS NO ELECTION na kukubalika kwakwe na Watanganyika kulizitikisa sana mamlaka za juu.. Lakini pia ishu ya TAL, Utekaji na mauaji na mengine mengi ya CHADEMA.. Sasa ili kufubaza haya yote ilibidi yatafutwe matukio yatakayokuwa gumzo kwa muda mrefu Kwenye hali kama hizi wasanii...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kama serikali inaingilia mambo ya soka basi hili soka letu halina maana kabisa

    Nimesikitishwa kuona Rais anawaita viongozi wa Simba na Yanga ikulu. Niseme tu hizi timu zimejipa ukubwa wasiostahili. Ikitokea kwa akili yangu nikawa kiongozi wa nchi,siwezi kucheka na aina ya watu wanaotumia nguvu ya watu walio nyuma yao kufanya watakavyo. Nchi inatakiwa kupambana na mambo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa siku TFF itashinda maana ni mamlaka. Hongereni sana Young Africans Sports Club. Hakika nyie ndo wakombozi wa soka hili

    Hakika mwaka huu unaenda kuisha vibaya sana kwa TFF.....wameumbuka haswaaa!! Pamoja na yote, TFF inaenda kushinda sababu mkubwa ni mkubwa tu na lazima "alindiwe" heshima yake ya ukubwa. Hata mtu mzima akitoa mashuzi wakati wa kula basi kibao hulambwa mtoto. Lakini jambo Moja ni uhakika, nalo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kitaua soka la Tanzania.

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tumechoka na hivi visa vya watu kutekwa na kupotezwa. Kwa mfano, aliyerekodi msafara na kuchoma picha ya Rais alikuwa na tishio gani kwa usalama?

    Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??. Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??. Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki. Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka! Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nasoro hamdun..ADHABU za WAAMUZI hatutangaza(wiki iliyopita)..Leo anahojiwa mbona mmemtangaza SASI tumesikia makelele ya wananchi aisee SOKA la Bongoo

    HUYU N Mwenyekiti WA kamati ya WAAMUZI Nasoro hamduni wiki iliyopita kahojiwa mbona watu wanalalamika sana kwa WAAMUZI mbona hamuwaadhibu Akajibu hawana mazoea ya kutangaza ADHABU za WAAMUZI wanawaadhibu kimya kimya Leo kahojiwa huyoohuyoo hahaa anasemaa tumesikia kelele za wananchi zimekuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa faida ya soka letu Yanga Msikubali Kucheza

    Hii itasaidia sana kwa viongozi wa Tff na Bodi ya ligi kuzingatia kanunu na haki. Yanga msicheze
  8. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Kweli Karia minne tena!!yani Leo Tanzania girls ni WA kuwatambia Congo DRC kwenye soka

    Wakuu mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Karia kaboresha sana mpira wa Tanzania huenda vita anayopigwa ni sababu havai kobaz ila kajitahidi sana imagine AFCON team zote zimeshiriki hadi ule mpira wa watu 5 wasichana tumeshiriki na kufanya vizuri Ligi ya under 20 Jana tumeona soka safi na league...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Soka sio mchezo pendwa namba moja Nchini Finland, unaoongoza ni ice hockey

    Wakati Barani Ulaya inajulikana wazi kuwa mchezo wa soka (Football) ndio namba moja kwa kupendwa na kufuatiliwa zaidi na Watu, Nchini Finland hali ni tofauti, wao mchezo wao namba moja ni ice hockey. Mchezo huo unaongoza kwa umaarufu na kwa kufatiliwa na watu wengi Finland, hii inajumlisha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Alex Ngereza mchambuzi wa soka asiyekidhi vigezo. Analazimasha

    Huyu jamaa anapenda sana uchambuzi lakini ukimfuatilia utagundua hakujaaliwa kwa kazi hiyo ndio maana chambuzi zake zote ni ASSUMPTIONS and WISHFUL THINKING. Unapopenda fani fulani ni vema kujitathimini kama unaendana na hiyo fani au laa. Ni kama jinsi Harmonize anavyopambana kucheza...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tusiwe na hofu ! uongozi wa uwanja wa Zanzibar na Shirikka la soka Zanzibar wamejaa viongozi mashabiki wa Simba.

    Hofu ni kwenu tu. Nimeambiwa na mdau wa soka kutoka Zanzibar, Viongozi wengi wa soka na uongozi wa Uwanja ni mashabiki wa Simba,
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Morocco ni mwenyeji wa ofisi kubwa za soka ila fainali inafanyika kwao halafu VAR haifanyi kazi

    Mpira wa Africa una figisu sana. Inashangaza sana kuna wenzetu wanaunga mkono figisu inazofanyiwa Simba au wanatoa vimaneno pale Simba inapofanya kila inachoweza kupata ushindi, hawajui kuna siku kwa unyonge wetu na timu zao zinaweza kuja kuwa wahanga na kuwa harakati za Simba zinafungua njia...
  13. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Abdulrazak Hamza Tapeli wa kisasa katika soka

    Ukimuangalia huyu jamaa kwa jicho la kishabiki , ukiwa shabiki wa Simba sc utasema jamaa ni bonge la beki ila ukiwa shabiki wa Yanga sc utasema jamaa ni mbovu .Lakini ukimuangalia kwa jicho la kiuwanamichizo na kijasusi, utagundua huyu ni tapeli wa soka kama ilivyo wahi kutokea kwa wachezaji...
  14. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Majina na a.k.a za wachezaji soka wa bongo yalliyonivutia zaidi

    Baadhi ya majina ya wasukuma ndinga bongo yaliyokuwa yaliokuwa yakinipa Raha kuyasikia yakitamkwa *MNENGE SURUJA ,Afc Arusha *QUIRESHI UFUNGUO, Simba sc *NGADE CHABANGA DIAMWALE , Yanga sc *GAUDENSI MWAIKIMBA ak.a MWAI NNYA, Yanga sc *KAPUMBU MTEGO, reli kigoma * IDDY MBUZI , toto Africa...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kipa wa Barcelona, Wojciech Szczesny asema anasubiri jibu la mkewe kama asaini mkataba mpya au aachane na soka

    Kipa wa FC Barcelona, Wojciech Szczesny, amesema anasubiri mwongozo wa Mkewe na Familia yake kabla ya kusaini Mkataba mpya wa kuendelea kubaki Klabuni hapo au kuondoka. Kipa huyo wa zamani wa Arsenal, alisajiliwa Oktoba 2024 ikiwa ni Mwezi mmoja tangu atangaze kustaafu akitokea Juventus...
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani

    Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani Lacho ni raia wa Zambia wakati Chawinga ni raia wa Malawi Ukipata mwanamke kama huyu utamuoa?
  17. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la Soka Kenya lahairisha Deby ya Mashemeji.

    Shirikisho la soka nchini Kenya (FKF) siku ya Ijumaa limetangaza kuahirisha mechi ya Ligi Kuu nchini humo "Mashemeji Derby" baina ya Gor Mahia na AFC Leopards ambayo iliratibiwa kuchezwa Jumapili, Mei 11, 2025. Kupitia taarifa iliyotolewa na shirikisho hilo ilieleza kuwa uamuzi huo umefanyika...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania HATUCHEZI..YANGA MUWE NA MSIMAMO KUOKOA SOKA LA NCHI YETU HAWA WANAZI WA SIMBA KWENYE BODI WAAIBIKE

    Niwapongeze YANGA kwa KUW ANA MSIMAMO WA HATUCHEZI NAOMBA NIWAASE TU KOMAENI KANUNI NA SHERIA WALIZOPANGA NA KUSAINI WENYEWE LAZIMA ZIHESHIMIWE HAWA WANAZI WA BODI YA LIGI WANAOSHABIKIA SIMBA NAAPANLAZIMA WAAIBIKE KAMA WALIHONGWA WATASEMA TU MWISHO WA SIKU PESA WALIZOPOKEA NARUDIA...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Leo katika historia ya soka Tanganyika

    Kuna timu ilikula mkono bila majibu.. Ngumi ya kichogo
  20. B

    JamiiForums Tanzania The bigwigs in early payouts are the talk of the town in betting

    In Sport betting, early payouts mean a bookmaker settles your bet as a win before the event is officially over—usually because your selection is in a strong position. For example: In football, if your team goes 2 goals up, the bookmaker might pay your bet out early, even if the game isn’t...
Back
Top Bottom