software

  1. JamiiForums Tanzania msaada remote desktop software

    Msaada ,ninahitaji kufanya kazi za wateja nikiwa mbali kutoka kwenye computer zao. Nahitaji remote desktop software nafuu au cracked. Nawasilisha
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji software ya gharama ndogo

    Habari, Nahitaji software ya gharama ndogo, web version kwa ajili ya kusimamia operation zote za appartment 8 sehemu tofauti na inventory kwenye garage na godown. Pia ya transport na logistic low cost web version. Nawasilisha NB: ikiwa imedesigniwa hapa hapa Tanzania itapendeza pia
  3. JamiiForums Tanzania Software ya kulock whatsapp

    Samahani wakuu Naomba msaada wa kupata software inayofanya kazi ya kulock account ya mtu ya whatsapp ili asiweze kutumia na kuirudisha ktk hali yake ya mwanzo bila ya kuwa na simu hiyo karibu. Asante.
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania tumepatikana, mawaziri watakaokwenda na Rais mpaka 2025 ni kama huyu aliyesaini mkataba wa bil 69 kufunga software Tanesco

    Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati. Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ifanye 'due diligence' mkataba TANESCO kukodisha software kwa Dola 30m toka kampuni ya India

    Chini ya dr Menard Kalemani tuliambiwa tanesco tayari ilikua inajiendesha yenyewe na taarifa ya mwisho ya hesabu shirika lilianza kupata faida. Asili ya tanesco kua mzigo ni kugeuzwa shamba la bibi na wapigaji. Mikataba ya uzalishaji ya kinyonyaji na makampuni binafsi na ubadhilifu wa vigogo...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania System Developers EAC tumelala, huu mchongo wa Tanzania umeenda India, software $30 million USD

    Nawaza hapa kwa nia njema, wadau tunakesha tukiachia software za kishua tu huko nje zinatumika, ina maana hatujafikia kiwango cha kushawishi hizi serikali za ukanda huu, mpka ERP inafuatwa India kwa gharama ya milioni 30 dola za Kimarekani. Hela ndefu sana hiyooo. ========= A statement...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

    Watanzania naona tulisahau kabisa ajenda ya ufisadi wakati wa Magufuli, mpaka sasa kuna ufisadi umefanyika fasta fasta bila ya watu hata kushtuka. Mkataba uliosainiwa baina ya Serikali ya Tanzania (kupitia TANESCO) na kampuni ya Tech Mahindra ya India wenye thamani ya dola milioni 30 ni wa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE All PDF Reader

    App inakuwezesha kusoma PDF faili na pia ina nyenzo nyingi za PDF za bila malipo ambazo zinafanya kazi bila kutumia intaneti Unaweza kufanya yafuatayo Kupunguza ukubwa wa faili la PDF (Compress PDF) Kungeza namba za Kurasa (Add page numbers) Kuunganisha PDF tofauti na kuwa faili moja la pdf...
  9. JamiiForums Tanzania Wewe ni Developer/Programmer Mkali? Nakuhitaji!

    Ndugu zangu, Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako. A quick introduction about the project;- Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake...
  10. JamiiForums Tanzania Project Ni Muhimu Ili kupata kazi kwenye Software Industry

    Unaweza kupata kwa kuwa na "koneksheni" toka kwa anko Unaweza kupata kwa kumpa "chochote" au kuwa "chochote" Unaweze kupata kwa kupambana Kama unataka kupata based on merits, hakuna shortcut! Jifunze, fanya na onyesha! Kwenye kuonyesha tengeneza Project iwe Github au Gitlab na uwaonyeshe uwezo...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada kwa watumiaji wa Microsoft Word au Any text editing software

    Mimi ni mwandishi mchanga wa vitabu, nimekutana na hii document somewhere; naomba kuuliza kwa Anayefahamu jina la font hizo kwenye picha hii
  12. JamiiForums Tanzania National Business Analyst for innovation software prototypes Consultancy in Dar es Salaam at UNICEF

    National Business Analyst for innovation software prototypes Consultancy in Dar es Salaam, TANZANIA. Job no: 545553 Contract type: Consultancy Level: Consultancy Location: United Republic of Tanzania Categories: Knowledge Management UNICEF works in some of the world’s toughest places, to...
  13. JamiiForums Tanzania Hii Mitandao ya simu inatutakia nini wanateknolojia Tanzania?

    Enyi Mitandao ya simu Tz ebu kueni basi na huruma, hata kama ni shinikizo kutoka serikalini kunyonya tozo vilivyo, Onyesheni basi kutujali sisi wateja wenu Sio nanyie kuendelea kutubana kwa kuondoa baadhi ya bando, kuongeza bei za bando nk. Haswa tukiwa tunakimbizana na dunia, kwenda sambamba...
  14. JamiiForums Tanzania SOFTWARE Point of Sale Software: Fahamu mwenendo wa mauzo katika biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako?

    POStanzania
  15. JamiiForums Tanzania Wauza software wa jamii forums na lile neno la 50% OFF

    Kwanini kila wakati mnashusha bei ya bidhaa zenu ? Leo unakuta mtu anauza/kutengeneza tovuti kwa laki nne kesho tatu keahokitwa mbili mara laki na 80 sasa hii biashara haiko stable kiasi hicho au inakuwaje wakati mwingine mtu anauza native app kwa laki tatu n.k , embu tuambie hilo soko...
  16. T

    JamiiForums Tanzania tHL Accounting Software Trainer

    tHL Accounting Live Class: FURSA kwa vijana wenye Degree za Account, Finance, Business Administration, Economics au Procurement. Kupitia tHL Accounting Live Class tutatoa mafunzo ya mfumo wa tHL Accounting online bure kuanzia tarehe 01 October 2021. Jinsi ya kujiunga na mafunzo ingia...
  17. JamiiForums Tanzania Umewahi develop software ama kufanya chochote na window subsystem linux/WSL kama mbadala wa VM na dual boot?

    Huwa siwezi kutumia linux completely kwenye mashine yangu haiwezekani, hivyo huwa nafanya dual boot Kwa Linux na window 10, baada ya kuona mapungufu kadhaa ya VM, ila kuna kipindi Microsoft walitoa WSL ambayo ina version kadhaa nadhani zimefika mbili mpaka sasa. Hii inasifika kwa kuwa na uwezo...
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa ni software ya maisha

    Tunapokea taarifa nyingi maishani mwetu: masomo shuleni stori kijiweni habari magazetini mahubiri ibadani nk. Hizo zote ndizo software zinazoendesha hardware - ambayo ni mimi na wewe. Tunachosikia, kitaamua tutakachotenda. Kama taarifa ni ya kweli; ni sahihi - tutatenda kwa namna...
  19. JamiiForums Tanzania Apple watengeneza programu ya kuzuia udukuzi unaoweza kufanywa kwa vifaa vyake bila ya mtumiaji kubonyeza 'link'

    Apple imezindua programu ya dharura ili kukabiliana na hatari ya kiusalama kwa bidhaa zake kuzuia kile kinachoitwa "zero-click, ikiwa ni baada ya watafiti wa usalama kugundua kasoro ambayo inawaruhusu wadukuzi kuvifikia vifaa kupitia huduma ya iMessage hata bila watumiaji kubonyeza kiungo (link)...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Tips ICT Officer (Software Developer & Sys Admin)

    Wakuu salam kwenu. Niko hapa naomba tips za wapi pa kugusia kwenye written exams za utumishi kada ya ICTO upande wa software developer na Sys Admin. Hii ndo interview yangu ya kwanza utumishi naona kama napapasa gizani. Msaada wenu wadau kitaa pamekaza kinoma.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…