https://github.com/mhogomchungu/media-downloader
Siku ya jana nilikuwa natafuta software nzuri ya kushusha videos
Baada ya kutafuta hapa na pale nikakuta kwenye majukwaa ya eknolojia ya kimataifa watu wanaishauri Media Downloader
Niliishusha na kuitumia, ni software nzuri ambayo inaweza...
karibu kwa huduma ya repair , service kwa machine zote ya photocopy na printer ,
pia huduma ya kureset inkpad error inapatikana mahali popote ulipo huduma inafanyika .
+255621205202 karibu sana
Wakuu bila salamu ningependa kuuliza/kuomba msaada wa maelekezo najua kwatanzania paypal inazingua kutoa hela ila sina uhakika ikiwa kama inazingua kwenye kuweka.
swali langu ni kwamba je nawezaje kulipia program ya gavana kwa kutumia paypal na je inawezekana kuweka voda visa bila shida kwenye...
Wakuu habari! Naomba maelekezo, nahitaji kupata turnitin software ya plagiarism checking tafadhali. Naona nyingi zipo vyuoni. Ivi hakuna namna ya mtu binafsi kuwa nayo? Natanguliza shukrani.
Baada ya kukutana na mjadala wenye kichwa cha "Mnatumia program gani ku-manage biashara" niliona jibu la mtu aliyesema anatumia programu ya Gavana. Baada ya kusoma maelezo yote kwenye hiyo thread, niligundua kuwa ni matamanio yangu kuendesha biashara kupitia programu maalum itakayoniwezesha...
Huna haja ya kuinstall software kila PC
Ama kama kila mara ku-install software ukibadilisha computer, Hata nikiazima PC ya mtu huwa natumia software zangu kama zilivyo
Kuna life hack ya techies wengi ni
PORTABLE APPS
Portable Apps ni nini?shuka na hii article
PORTABLE APPS Ni version za...
Mimi nimwajiriwa Nina stashahada ya Ualimu (physics & mathematics) nataka kwenda kusoma mwaka huu course ya TEHAMA, Wakuu naomba kujua utofauti wa course ya bachelor in computer science Na Bachelor of science in computer science in software engineering
Kazi gani unayo (Software issues) unahitaji msaada? Nikusaidie.
blog issues
website issues
softwares issues (Windows 10,11)
social media management
Mawasiliano: 0756704145
Eneo: Dar es salaam, Mbezi
Format factory Software (image, audio, video) - 20,000 Tsh
*Sifa zake
Video converter
video downloader
Picture converter
Audio converter
Document manipulation
Mawasiliano: 0756704145
Eneo: Dar es salaam, Mbezi
Unahitaji nini usaidiwe kwenye IT industry? Software, website,blog, ads, email na n.k
Karibu usaidiwe unachotaka kwenye IT kama maswali utajibiwa
Mawasiliano:0756704145
Eneo: Dar es salaam, Mbezi
Kama unatumia vocha kuongeza salio, basi hii app inakufaa sana! Inaitwa Voucher Master inapatikana Play Store – unatumia kamera ya simu tu kuskani vocha na salio linaingia moja kwa moja bila kuandika namba yoyote.
App pia ina sehemu ya Huduma ambapo unaweza
Kuangalia namba yako ya simu...
Wadau ..kwema
bado kumekua na mijadala mingi sana kuhusu Programmers au developers wa Kibongo lakini nitaelezea hapa matatizo kulingana na uzoefu wangu nitaelezea Sababu tatu tuu zinazotufanya developers wa kibongo kuendelea kuwa Maskini.
1.FINANCIAL STABLE
Hili ni tatizo kubwa saana...
Ya DSTV mafundi wanadai kwa sababu ilitumia kitambo ndio maana ilipoteza software, inaandika booting waiting for some times.
kila mara booting, naomba ushauri nirudishe au kama inatibika, nimepiga simu niliko nunua kasema nisikilizie kwanza labda kitaretrive
Habari wadau na wataalamu wa masuala ya software. Mimi ni mwalimu ambaye natafuta Online Examination Software kwa ajili ya wanafunzi wangu kufanya test/mitihani online kwa kutumia Simu au tablet za ndugu zao muhimu TU awe na account yake baada ya kusajiliwa.
Mwalimu aweze kuandaa mitihani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.