software

  1. R

    Game la Drafti - Checkers/Draughts/Dama: Backrow Rush

    Kuna Game la Drafti linaitwa Backrow Rush ni zuri sana. Linapatikana Play store kwa jina Backrow Rush Naomba msaada wa kulijaribu na mnipatie maoni yenu kipi cha kuboresha na kuongeza. Kwa sasa inafanya yafuatayo. Wachezaji Wengi Mtandaoni (Online Arena) – Cheza na wachezaji kutoka sehemu...
  2. S

    Skybooks Software : Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Sahau kuhusu kalamu na daftari

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa urahisi kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  3. REM GROUP

    Skybooks Software : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  4. cocastic

    Mtaalamu wa masuala ya computer science na software engineering anahitajika

    Hey Wana JF Nina uhitaji wa mtu mwenye ujuzi wa computer science na software engineering. Awe na weledi katika masuala haya. Blogs, Apps, Logos designs, Wallpapers, Photography, Broadcasting Network. Muhusika mwenye sifa tajwa na mwenye utayari, naomba aje PM. kwa mawasiliano zaidi. .....
  5. K

    CHADEMA wamepanda mbegu kwa Watanzania, nguvu na pesa hazisaidii

    Hata leo mkifungia Chadema sera zao tayari zimesha eleweka na ndizo zipo kwa Watanzania wengi.!Pesa , uchawa, rushwa haitaweza kubadilisha imani ya watanzania ni kupoteza muda. Ukiwa na genius kama walina Lissu hata ukiwafunga haisaidii maana sera zao ni za kitaifa. Haki ni kitu cha kibinadamu...
  6. M

    Watz tunazidi kupiga hatua, kuna software maarufu ya kudownload videos za youtube na mitandao ya kijamii. imetengenezwa na mtu anajiita Muhogo Mchungu

    https://github.com/mhogomchungu/media-downloader Siku ya jana nilikuwa natafuta software nzuri ya kushusha videos Baada ya kutafuta hapa na pale nikakuta kwenye majukwaa ya eknolojia ya kimataifa watu wanaishauri Media Downloader Niliishusha na kuitumia, ni software nzuri ambayo inaweza...
  7. S

    EPSON INKPAD ERROR Software kwa bei rahisi.

    karibu kwa huduma ya repair , service kwa machine zote ya photocopy na printer , pia huduma ya kureset inkpad error inapatikana mahali popote ulipo huduma inafanyika . +255621205202 karibu sana
  8. N

    Msaada wa malipo ya Paypal kwenye software ya Gavana

    Wakuu bila salamu ningependa kuuliza/kuomba msaada wa maelekezo najua kwatanzania paypal inazingua kutoa hela ila sina uhakika ikiwa kama inazingua kwenye kuweka. swali langu ni kwamba je nawezaje kulipia program ya gavana kwa kutumia paypal na je inawezekana kuweka voda visa bila shida kwenye...
  9. britanicca

    Your antivirus software watching you disabling it to run keygen.exe

  10. Sacsosanct

    Turnitin software jinsi ya kuipata

    Wakuu habari! Naomba maelekezo, nahitaji kupata turnitin software ya plagiarism checking tafadhali. Naona nyingi zipo vyuoni. Ivi hakuna namna ya mtu binafsi kuwa nayo? Natanguliza shukrani.
  11. Hommy

    Mrejesho baada ya kuanza kutumia software ya 'Gavana' kwenye biashara

    Baada ya kukutana na mjadala wenye kichwa cha "Mnatumia program gani ku-manage biashara" niliona jibu la mtu aliyesema anatumia programu ya Gavana. Baada ya kusoma maelezo yote kwenye hiyo thread, niligundua kuwa ni matamanio yangu kuendesha biashara kupitia programu maalum itakayoniwezesha...
  12. G

    ACHA KU-INSTALL SOFTWARE KILA MARA UKIPATA COMPUTER NYINGINE/MPYA

    Huna haja ya kuinstall software kila PC Ama kama kila mara ku-install software ukibadilisha computer, Hata nikiazima PC ya mtu huwa natumia software zangu kama zilivyo Kuna life hack ya techies wengi ni PORTABLE APPS Portable Apps ni nini?shuka na hii article PORTABLE APPS Ni version za...
  13. M

    MCP: Siri Inayofungua Milango ya Software Development

    ..
  14. Netfasta - Web Hosting

    Mwenye adsense akaunti nanunua

    Natafuta adsense akaunti, kama unayo nicheki 0718474600 ili tufanye biashara
  15. E

    Tofauti gani kati bachelor of computer science na bachelor of science in computer science in software softwere engineering?

    Mimi nimwajiriwa Nina stashahada ya Ualimu (physics & mathematics) nataka kwenda kusoma mwaka huu course ya TEHAMA, Wakuu naomba kujua utofauti wa course ya bachelor in computer science Na Bachelor of science in computer science in software engineering
  16. S

    Kazi gani unayo (Software) unahitaji msaada? Nikusaidie

    Kazi gani unayo (Software issues) unahitaji msaada? Nikusaidie. blog issues website issues softwares issues (Windows 10,11) social media management Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  17. S

    Format factory Software (image, audio, video) - 20,000 Tsh

    Format factory Software (image, audio, video) - 20,000 Tsh *Sifa zake Video converter video downloader Picture converter Audio converter Document manipulation Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  18. S

    Internet Download Manager Software - 20,000 Tsh

    Internet Download Manager Software (IDM) ya Windows OS - 20,000 Tsh. Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  19. S

    Unahitaji nini usaidiwe kwenye IT industry? Software, website,blog, ads na n.k

    Unahitaji nini usaidiwe kwenye IT industry? Software, website,blog, ads, email na n.k Karibu usaidiwe unachotaka kwenye IT kama maswali utajibiwa Mawasiliano:0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  20. R

    App ya Voucher Master

    Kama unatumia vocha kuongeza salio, basi hii app inakufaa sana! Inaitwa Voucher Master inapatikana Play Store – unatumia kamera ya simu tu kuskani vocha na salio linaingia moja kwa moja bila kuandika namba yoyote. App pia ina sehemu ya Huduma ambapo unaweza Kuangalia namba yako ya simu...
Back
Top Bottom