soda

Simona Šoda (born October 24, 1974) is a former Croatian female professional basketball player. She began her coaching career in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge agawa bagia na soda kwa wakaazi wa Mbeya Mjini

    Naona lengo la ccm kuwapumbaza watanzania linaenda kutimia. Angalieni jinsi baadhi ya wana Mbeya wanavyo kimbilia kupata mgao wa bagia na soda kutoka kwa Mbunge wao kupitia ccm.
  2. JamiiForums Tanzania Ile gas kwenye soda wanaiwekaje? Aisee daah nna alosto na kile kagas wallah daah

    Siwezi kulala kama sijanywa kinywaji chenye gas na uzuri kinipalie daah Yaani watu wajuzi sana aisee yaani maji yanachakatwa yanatiwa gas na ukinywa unapata radha nzuri pamoja na kubeua yaani nna alosto na Ile taste ya gas Hivi ni gas hii hii kama inayochimbwa mtwara au kama sio Ile huwa...
  3. JamiiForums Tanzania Siri ya soda ya coca cola na funzo kwa maisha

    Hivi unajua kuwa viwanda vyote vya Coca-Cola duniani (ikiwemo hapa kwetu Tanzania) havijui fomula halisi ya kinywaji hicho? Hapa ndipo akili kubwa inapopiga pesa duniani kote kupitia mbinu hizi: Viungo vyote vya siri vinachanganywa na kupikwa Marekani pekee ili kutengeneza kioevu kizito...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbegu za habbat soda au black seeds dawa ya haraka ya acid reflux

    Habari za weekend ndugu zangu Anayesumbuliwa na acid reflux atafute hizo mbegu kiswahil zinaitwa habat soda English zinaitwa black seeds....nimbegu ndogo ndogo nyeusi tii kama mkaa ukiziona haraka haraka utahis ni punje za mkaa....hiz mbegu nzur sana kwa acid reflux mimi binafsi zilinisaidia...
  5. R

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown

    Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown. Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m. Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Soda ya sprite (Baridi) ni tiba baada ya kung'oa jino

    Wakuu nimekutana na hii, "Soda ya Sprite (ya baridi) tunayoambiwa kusukutua nayo mdomoni baada ya kung'oa jino huwa ni tiba ya kweli ya maumivu au ni imani?"
  7. JamiiForums Tanzania Waya hauwezi kutoka NIDA kwenda bank accounts za CCM na sisi tupate ya soda?

    Ni dhahiri sasa huu uchaguzi sio tena kwa ajili ya kuchagua wawakilishi wa wananchi. Ni dhahiri sasa hawa CCM hawapo tena kuhakikisha ustawi wa Tanzania. Wewe umeona wapi mtu anatumia gharama kubwa na mbinu za aibu eti kwa ajili ya kutaka kukuwakilisha? Huu ni uchaguzi kwa ajili awamu nyingine...
  8. JamiiForums Tanzania Hunywi pombe ila unakunywa soda? Usimcheke mnywa pombe

    Uzi tayari. Mods edit header hiyo
  9. JamiiForums Tanzania Mgeni hataki soda anataka mia saba yake

    Ab
  10. JamiiForums Tanzania "Ninunulie basi soda" ukiona mtu anakuambia hii kauli muogope

    Wakuu habari! Kutoa ni moyo, tenda wema nenda zako, ukimpa mtu kitu usitegemee malipo. Kila mtu anajua hizi kauli za kijamii Lakini ktk maisha watu ni wabinafsi sana na hawana huruma, wao chao ni chao chako ni cha wote Mtu asikukute unakula atabeba chakula chote kama vile kanunua yeye na...
  11. JamiiForums Tanzania Unafiki wa mitandao,na nguvu yao ya soda

    Ukiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu. Kila...
  12. JamiiForums Tanzania Caustic soda inahitajika

    Ndugu wana wanajukwaa habari yenu. mimi mjasliliamali nahitaji CAUSTIC SODA kwa bei ya jumla, ya utengenezaji wa sabuni. Wauzaji wa jumla anichek 0758327174 chap ziite.
  13. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mshindi mpya wa Bongo Star Search Moses Luka siyo kwamba Soda yake haina Gesi kwa jinsi anavyoongea na kujilegeza?

    Kila nikiziangalia Interviews zake baada ya Kutangazwa Mshindi ninaona ni kama vile labda Soda yake haina Gesi kabisa.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Wanywa soda Bar wengi wambea

    Wakuu Kuna ukweli wote hapa?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Imefikia mahali kunywa juice za dukani ni hatarishi kwa afya yako kuliko kunywa soda!

    Watu wangi hatutambui kwamba tatizo kubwa la kunywa soda kama Pepsi, Coca Cola nk, ni kwamba zina sukari nyingi sana ambayo si jambo zuri kwa afya yako. Sasa utakuta watu wengi sana wamekuwa na mawazo kwamba ni vema kunywa juice za dukani (processed juice) kuliko kunywa soda, na hata wengine...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta crate za Soda Pepsi na Coke

    Natafuta crate tupu za Soda kampuni ya Pepsi na Koka
  17. JamiiForums Tanzania Januari yamoto sana, kuna mgeni amekuja kwangu nilitaka nimuagizie soda amegoma amesema nimpe tu hiyo 600. Nimebaki na mshangao sasa

    Na nyie wenzangu mmeshawahi kukutana na jambo kama hili, yaani mgeni anazua mia sita kweli jamaani yaani ameona soda ni anasa kabisa kitu cha mia sita. Nimeshangaa sana. Halafu mwenye hana presha wala wasiwasi with confidence kabisa. Iseee huu mwaka 2025 umeanza kiajabu kabisa.
  18. JamiiForums Tanzania Soda za pepsi zimekuwa na ladha mbaya

    Peps imegeuka soda ya hovyo ladha mbovu mdomoni chumvi km sio chumvi,kidonge km sio kidonge peps wamepatwa nn au wanatumia maji ya bahari kujaza kwenye chupa
  19. JamiiForums Tanzania Mbuzi kunyweshwa tena soda

    Yeeeerrrrreeeeh! Soko la korosho duniani limechanganya balaa. Na hapa nchini bei imepanda kwa hadi 4k huko. Sasa yale yele ya mbuzi kunyweshwa soda kipindi kile soko lilipochanganya baada ya wakulima na wafanyabiashara kupiga hela ndefu na kukosa pa kuzoeleka na kuanza kukufuru kwa kuwanywesha...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Fahamu matumizi mbalimbali ya Baking Soda

    Wote tunafahamu kuwa Baking Soda hutumika katika uandaaji wa vyakula kama keki na mikate. Lakini huwa na matumizi mbalimbali ya nyumbani ikiwemo kuwa mbadala wa kusafishia kinywa kwa kuwa na uwezo wa kuua bakteria. Pia, baking soda ni nzuri kwa kuondoa madoa sugu. Inaweza kuchanganywa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…