"Samahani kwa kuuliza, lakini naomba kujua kama Tanzania kuna Atheist Society au jamii yoyote rasmi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu? Kama hakuna, kwanini jamii kama hii haipo hadi sasa wakati nchi nyingine zina uhuru wa imani mbalimbali? Je, ni kwa sababu ya mazingira ya kijamii, sheria, au...