Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel.
China ndipo vilipo...
Nna swali kidogo.
Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu.
Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…au ni bora kwa gharama iyo iyo ukanunua flagship (high performance smartphone) ila used ya miaka miwili au...
Teknolojia imefika mbali sana, bro! Unakumbuka zile enzi ambazo simu za mkononi zilikuwa kubwa kiasi kwamba ilikuwa lazima ubebe kwenye begi? Sasa tumefikia wakati ambapo tunaweza kuvaa teknolojia. Ndio, unavaa kabisa kama vile umevaa nguo au saa, lakini teknolojia inafanya kazi zenyewe bila...
Tumeona jana tarehe 09 Apple wamefanya yao kwa kutuletea iPhone 16 series. Same wine, new bottle!
Sasa bwana leo wakali wa hizi mambo Huawei wamefanya yao kwa kuzindua Huawei Mate XT Ultimate ambayo ni simu ya kwanza Duniani kukunjwa mara mbili.
Yaani iko hivi, ukiikunjua full unakutana na...
Salaam ,Shalom!!
Umeshawahi kujiuliza nini kinaweza kukutokea ikiwa utajifunga kitambaa cheusi machoni na kutembea barabara ya mwendokasi?
Katika nyakati hizi tunazoishi, simu ya mikononi inachukua muda, nafasi kubwa sana katika maisha ya Kila siku, ni device ambayo muda wote uko nayo, sisemi...
Wakuu miaka michache iliyopita huko niliwahi pata idea kazaa ya biashara kuhusu teknolojia, sanyansi na Sanaa. Hivyo nimeamua kuchukua hatua Kwa kuanza na teknolojia ni simple idea lakini naona itakua na manufaa Kwa watu wengine.
Hivyo katika kupangilia jambo nimekutana na kipengere Cha jinsi...
Msaada wakuu
Simu yangu ni huawei ni used from china
Simu ina changamoto ya whatsap, nikisajiri number baada ya week inaanza kuandika kama nilivyo ambatanisha hapo chini
Msaada jamani tangu nimeanza kutumia whatsap sijawahi kutumia whatsap ambazo siyo official
Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa...
Habari wanajukwaa,
Leo nimeona niwaelezee smartphone ilivyonipeleka polisi katika kituo ca msimbazi then njkahamishwa hadi kituo cha Mbweni kilichopo Bagamoyo Road, nisiwachoshe ngoja niende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi wetu.
Mimi ni kijana nipo chuo fulani nikiwa najihusisha kuuza...
MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 01 Mei, 2024 amegawa Simu Janja 5 (Smartphone 5) kwa uongozi wa UWT Wilaya ya Kilosa na...
Blackberry na Nokia yameanguka, tena yameanguka sana. Pamoja na kuwa na simu kali zenye kamera nzuri, speed kubwa ila wakaanguka.
Walianguka kwa sababu hawakuwa na viongozi wenye kufocus ulimwengu jinsi ulivyo. Yaani walikuwa katika miaka ya 2000 lakini akili zao zilikuwa zinafanya kazi ya...
Habarini
Natumia simu ya itel A05 mpya tu haina hata mwaka, laini ya voda nayo ni mpya haina mwaka, hili tatizo limeanza juzi, mb nakuwa nazo tena zaidi ya 800, ila nikiwasha mobile data sipati chochote, sasa najiuliza hili tatizo ni kwangu kwenye simu yangu, au ni watoa huduma wa voda Wana...
Wakubwa naomba kwa mwenye uzoefu na hii simu anipe ABC nimeikuta sehemu nimependa tu ukubwa wa betri ila mambo mengine sijajua naomba kwa ambaye ameshatumia au anatumia anipe ubota/udhaifu wake
Bado kuna watu wanaamini ili uwe na exposure lazima uende abroad kwa dunia ya science na technologia unahitaji tu simu yako ya smartphone na bando utajifunza jambo ambalo unalitaka
Sikatazi watu kwenda abroad kama umepata nafasi ni vizuri ila kama hujapata wekeza mda wako kwenye kuperuzi mambo...
Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone).
Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni furaha ya kudumu kwako.
Basi fahamu kuwa kampuni ya ''Energizer'' imekuja na aina mpya ya simu...
Tangu mwaka huu uanze sikumbuki siku ambayo nilikuwa offline, Nina biashara zangu na kazi sio kwamba nipo idle.
Yani uwe na smartphone halafu ukose data waweza kuhisi unakosa mahitaji ya msingi, ukifika hii stage jijue ushaanza kuwa mraibu.
Matumizi ya data napenda kuingia Youtube kufatilia...
Kama Unaishi Morogoro mjini naomba msaada wako wa hali na mali.
Kuna tangazo la nyumba nimelipost Jana watu wengi wanunuzi wanahitaji Picha, lakini ubaya ni kwamba picha zinashindwa kupatikana kutokana na watu kukosa simu zenye ubora...
Ifike mahali tuanze kujiuliza hivi ni akili kumiliki simu janja zaidi ya moja tena huku kila moja ikiwa na line 2? Yaani line 4 kwa wakati mmoja?
Hivi hatuoni huu ni uwendawazimu kabisa hasa simu hizo zinapkuwa ni kwa matumizi ya kawaida tu kama vile kuwassiliana na ndugu, jamaa na marafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.