smartphone

  1. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Samsung yaongoza katika soko la 'Smartphones' za 5G

    Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung imekuwa kinara katika soko jipya la 'Smartphones' zenye uwezo wa 5G ikiweza kuzalisha simu za 5G takribani robo tatu ya uzalishaji wote ulimwenguni katika kipindi cha robo ya tatu (Third Quarter) kwa mujibu wa utafiti kutoka IHS Markit | Technology...
  2. Miki123

    JamiiForums Tanzania Simu Bora kwa Mwaka 2019: Ni toleo lipi la smartphone ni bora kupita mengine kwa mwaka huu?

    Nimepita mtandao wa Android Police ambao wameichagua Pixel 3A kuwa ndio simu bora kwa mwaka 2019. Sasa nikiangalia bei yake si ya kitoto halafu sioni kama ina watumiaji wengi Tanzania. Sasa kwa sisi wa watumiaji wa Tecno, Samsung, Xiaomi, Oppo na nyinginezo zilizo na watumiaji wengi Tanzania...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni muhimu ku-restart simu yako angalau mara 1 kwa wiki

    Ni wazi kuwa smartphone zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku kiasi kwamba pale simu yako inapokuwa imezima angalau kwa dakika chache unakuwa na wasiwasi wa kushindwa kufanya mambo yako ya kila siku. Lakini ni kweli kwamba “kila kitu huchoka” nahisi hii ni sababu ya wewe kuendelea kusoma...
  4. Gunther1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vivo, the fifth-largest smartphone maker in the world and the second in Asia, plans to launch a regional office in Nairobi

    India, China in battle for Kenya’s smartphone market by Jackson Okoth Kenya’s bubbling smartphone market is set to be stirred following the entry of Global technology giant Vivo, the fifth-largest smartphone maker in the world and the second in Asia. The Indian firm plans to launch a...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hizi smartphone zimeleta kizungumkuti, ndiyo chanzo kikubwa cha matatizo

    Habari wana JF, Niende straight to the point. Unakuta mgeni amekuja kukutembelea nyumbani kwako/kwenu wote mnakuwa bize na simu kwenye mtandao kati yenu panakuwa hakuna stori zaidi ya salamu na kuitikiana tu ehee. Mwingine anajibu hata kisichoulizwa/ambiwa,dereva naye anachati mpaka anasimama...
Back
Top Bottom