smart

SMart is a British CBBC television programme based on the subject of art, which began in 1994 and ended in 2009. The programme was recorded at BBC Television Centre in London, previously it had been recorded in Studio A at BBC Pebble Mill in Birmingham. The format is similar to the Tony Hart programmes Take Hart and Hartbeat. The show was revamped into an hour-long show in 2007; from 1994-2006 it was previously a 25-minute show. From 1994–2005, the show also featured Morph, originally from Take Hart. It has 199 episodes. CBBC last aired SMart on 11 August 2011.

View More On Wikipedia.org
  1. Nifanyaje ili Flash yenye ukubwa wa 64 GB iweze kusoma kwenye Flat TV tena (Hisense Smart TV)?

    Wana jukwaa habari ya muda huu, naomba kuuliza kwenu kwanini Flash yenye ukubwa wa 64 GB au kuanzia 64 GB huwa hazisomi kwenye TV? Na je, nifanyaje ili iweze kusoma kwenye TV?
  2. B

    Wanaume wengi "smart" wenye hela, hawajiamini kwenye mahusiano

    Hello, Nina washkaji zangu ambao kwa level za kibongo bongo kwenye swala la pesa unaweza sema wametoboa kiasi, wanaendesha magari mazuri, wana biashara kubwa kiasi, wana umri mdogo, siku moja tulikaa mahali, mwamba alitumiwa sms na mpenzi wake, mdada alituma sms ya kuomba kuzaa na mmoja wa...
  3. Natafuta kioo cha TCL Smart Frameless Inch 65

    Habari wakubwa kichwa cha habari chajieleza, napesa mfuko wa shati laki 6 nashida na kioo cha TV Tajwa hapo juu, Deler kaniambia kinauzwa 1.1M kwa kweli nimeshindwa. Kwa mwenye nacho hata cha mchongo isizidi laki 6 anicheki asante.
  4. Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Wadau nilikuwa na smart TV 4 K nchi 50 wale wajaa laana wakasepa nayo. Nina Samsung Hd nchi 32 ilikuwa chumbani ndio nimeileta sebuleni yani tofauti ni kubwa sana. Sasa nimeokota pochi la mzungu nataka ninunue TV ya kweli nirudi kwenye modern life. Karibuni kwa ushauri.
  5. Msaada: Star X smart TV kuunganisha na simu

    Habari za weekend wataalamu Nimenunua TV aina ya star X naomba kujua namna ya kuunganisha na simu yangu kwa wireless ili niweze kushare music na video. Kabla ya hii nilikuwa na TCL ilikuwa rahisi tu
  6. Wajuzi naomba utofauti wa hizi tv wanaita smart 4K na hizi smart za kawaida

    Hasa kwa upande wa Hisense tv, nana bei ya 4k ni tofaut na bei ya smart ya kawaida, nini cha ziada?
  7. NAUZA SIMU INFINIX SMART 5

    wakuu nauza simu infinix smart 5. Simu haina tatizo lolote.RAM 2, Storage 32 GB, MAH 5000 price yake 150,000 Location nipo Mbeya
  8. Big Pharma wants you and your children to become lifelong pharmakeia customers,be smart and say no

    If the pharmaceutical drug cartels get their way, every human over the age of twelve in the planet will soon be advised to get screened for symptoms of any kind of anxiety ,mental health problems and emotional illness. The U.S. Preventative Services Task Force (USPSTF), one of the most...
  9. Paul Makonda kwenye suala la kutatua changamoto za wananchi alikuwa the best kuliko wakuu wa mikoa wote Tanzania

    Nimetoka sebuleni na kuja kwa kitanda kujipumzisha, sasa nikawaza hivi inakuaje mji kama Dar es salaam usikalike eti kwa ajili ya panya rodi? Ndipo mke wangu akamkumbuka Paul Makonda na kunikumbusha laiti angekuwepo madarakani hawa mapanya road ingekuwa historia. Viongozi wengi wa sasa...
  10. Computer4Sale Nauza home appliances (tv, refrigerator, music system na air conditioner)

    Karibuni
  11. Kwanini Balozi Mulamula alikuwa anaonekana smart sana na kuheshimika huko Ugenini?

    Nimeshangaa sana yeye ni kwanini alikuwa anapafa fursa hizi? Jamaa yangu mmoja yupo USA. Anasema huyu dada alikuwa anaheshimika sana na walikuwa wanamwona very smart hata katika maongezi. Anasema ni nadra sana kwa mtu ambaye haheshimiki kuonana na akina Obama na Biden namna hii. Kuna watu tena...
  12. Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

    Kuna kasumba naona imezidi kushamili kuwa mtu aliweka status kwenye simu ni mtu ambaye sio smart maana mwanaume au mwanamke mwenye heshima zake humkuti na mambo ayo ya status kwenye simu au kuwa online mara kwa mara au pia kuwepo kwenye magroup. Je, hili lina uhalisia wowote?
  13. Nahitaji infinix smart 6 used

    Habari wakuu, mwenye simu tajwa hapo juu , nicheki kwa 0713 039 875
  14. Smart pub banana kumetulia ila hakuna piskal

    Haka ka pub sikaelewi kiukweli kinoma ila hakuna piskali inauma sana napoteza hela !
  15. Smart kitochi cha kampuni gani ni rahisi kutoa lock na kuweka laini nyingine ya kampuni tofauti?

    Wadau naomba kufahamishwa kuhusu smart kitochi ya kampuni gani ambayo nikiinunua itakuwa rahisi kutoa lock na kuweza kuweka laini ya mtandao mwingine wowote tofauti.
  16. Mtandao gani naweza kutumia kwenye Smart Tv hapa TZ

    Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani, kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
  17. Mtandao gani naweza kutumia kwenye Smart Tv hapa Tanzania

    Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani. Kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
  18. Agost 23, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa ili kuiwezesha Serikali kujipanga kimipango mkakati ya SMART, kutuletea maendeleo.

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa Jumapili ya leo
  19. A smart and matured lady

    If you are a lady with these attributes: 1. Smart (Intelligent) 2. Matured 3. Financially independent 3. Ambitious 5. Caring And you need someone to spend quality time with, a man who is: 1. Smart (Intelligent) 2. Matured 3. Financially independent 4. Ambitious 5. Caring.. Hit my inbox 😊
  20. Mkitaka kuzaa watoto smart tumieno njia hii. Mtakuja nishukuru baadaye

    Inawezekana kabisa siku hizi kuna watu wengi hawana uelewa mzuri kwa sababu ya aina styles zilizotumika wakati wazazi wao walipokuwa wanafanya mapenzi. Watoto wa siku hizi wengi hawana akili vizuri. Chukulia ile style ya "Kalunguyeye" ... Mtoto atazaliwa anaakili za namna gani? Au mkwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…