siti

  1. N

    Mdau Huwa unasalimia mtu unayekaa naye siti moja kwenye daladala au unakaushaga

    Habari wakuu Binafsi mimi huwa na mikausho mikali sana ili kutojipa stress maana wengi kwenye dala dala wanakuwa kama wamevurugwa hivi, unaweza kusalimia mtu halafu akakunyamzia. Vipi Wewe unatabia gani kwenye daladala ? #Oktoba_tunatoka
  2. Abiria wanene Kulipishwa siti 2 badala ya moja

    Shirika la Ndege la Southwest Airlines Nchini Marekani, limetangaza sera mpya ambayo itawaathiri moja kwa moja Wasafiri wenye miili mikubwa ambao kuanzia Januari 27 2026 watalazimika kulipia siti mbili badala ya moja iwapo miili yao haitoenea vizuri ndani ya siti moja. Kabla ya sera hii mpya...
  3. M

    USIKURUPUKIE SITI ILIYOKO WAZI UKAJUA NI FURSA YA KUKAA JUA KWANZA KWANINI IKO WAZI ILIHALI KUNA WATU WAMESIMAMA NA WANAIONA

    Yawezekana kweli hawataki kuikailia ila pia yawezekana yenyewe ndio haitaki kukaliwa hivyo ukiona siti iko wazi usikurupukie . Mganga anakwambia atakupa utajiri wa mabilioni jiulize kwanza kwanini yeye hayataki hayo mabilioni na kwanini ndugu zake hajawapa hayo mabilioni ikiwa yeye hayataki je...
  4. Kuna siti ndani ya basi ukikaa uwezekano wa kufa ikitokea ajali ni mdogo sana. Makinika

    Hesabu hazidanganyi. Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani. •Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni dereva na abiria wa siti za mbele. •Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua...
  5. Tayari siti no 11A imeshatengenezewa simulizi

    Vishwash Kumar Ramesh alinusurika kwenye ajali ya 2025 Air India kutoka kiti cha 11A, kiti sawa na mwigizaji wa Thailand James Loychusak aliyenusurika katika ajali ya ndege ya mwaka 1998. Kama ilivyoripotiwa na gazeti la The Telegraph, James Ruangsak Loychusak, mwigizaji na mwimbaji wa Thailand...
  6. Siti bint Saad Katika Historia ya Bibi Titi Mohamed

    SITI BINT SAAD KATIKA MAISHA YA BIBI TITI MOHAMED Haya ninayoandika hapa nimeelezwa na marehemu Leyla Sheikh mjukuu wa khiyari wa Bibi Titi Mohamed na shoga yake kipenzi. Leila alikuwa anakusanya taarifa katika maisha ya Bibi Titi Mohamed kwa nia ya kuandika kitabu cha maisha yake na pia...
  7. Kujenga uwanja wa siti 32,000 Dodoma, Ni kukosa Maono

    Uzinduzi wa mbwembwe kujenga uwanja ambao upo chini ya viwango vya fifa ni kukosa maono na kufanya siasa chafu kwenye mambo ya maana. Uwanja wa siti 32K ni uwanja wa levo ya halmashauri kama kinondoni walivyo jenga pale mwenge. Ilikuwaje mkapa miaka 30 iliyopita aliamua kujenga uwanja wa siti...
  8. Kusafiri umekaa siti moja na mtu anayependa kula hovyo.

    Habari wakuu, Siku mbili nyuma nilikua safarini kutoka mkoa x kuja mkoa y. Safari yangu niliianza majira ya saa 1 jioni kwa usafiri wa bus. Sasa kuna mtu tena mmama nilikua nimekaa nae siti moja nikashindwa kumuelewa alikua na appetite ya namna gani. Kila bus likipiga break yeye lazima anunue...
  9. Hakuna mantiki yoyote itakayojibu swali la mwanamke la "Kwanini wanaume wanapenda kucheat sana?". Maelezo haya yanaweza kurelate na swali lao

    Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat. Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat. Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au labda mke wake ni pasua kichwa, ila anacheat kwa sababu technically mwanaume ni sex machine...
  10. Kero ya kukuta mtu kakaa kwenye siti yako ya dirishani kwenye Bus.

    Mna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia. Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti na wala hajiongezi kabsa ana jikausha kimya as if hamna kilicho tokea . Binafsi hili jambo lina...
  11. M

    Ukiona siti iko wazi muda mrefu ulizia kabla hujaikali, yawezekana kuna sababu inakimbiwa ✍️

    MPELELEZE KABLA HUJAANZA NAYE MAHUSIANO ILA ASIJUE KAMA UNAMPELELEZA ✍️ Wajuvi husema ukiona siti haikaliwi usikuikurupikie bali peleleza kwa kina kwanini inakwepwa? Ukijua sababu ndio jipime kweli utaweza kuikalia hiyo siti bila kuathirika? Sababu zilizokimbiza wengi hata wewe zinaweza...
  12. N

    Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasiokuwa na Seat (wanasimama)

    Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasio na siti Kuanzia Ally stars BUS wanaoisifia , katarama BUS na Bus zingine nyingi hali hii inafanyia abiria wake. Unakuta umepanda bus kila abiria amekaa katika seat yake ikifika mahali Bus linaruhusu kupakiza...
  13. Hivi ile tabia ya vijana kupisha wazee siti kwenye vyombo vya usafiri huko kwenu bado ipo?

    Hivi ile tabia ya vijana kupisha wazee siti kwenye vyombo vya usafiri huko kwenu bado ipo?
  14. Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

    KATI YA MAMA NA MKE NANI ANAPASWA KUKAA SITI YA MBELE WAKATI UNAENDESHA GARI? Anaandika, Robert Heriel Rafiki yangu Hosea amenipigia simu akaniuliza hivi; Kati ya Mama yake na MKE wake Nani anastahili kukaa SITI ya MBELE ya GARI wakati yeye(Hosea) anaendesha Gari? Nikaona niilete mada Hii...
  15. Upo kwenye daladala anaingia mrembo, unatarajia atakaa vizuri kwenye siti yenu nyie wawili tu, lakini akakupa mgongo

    Nilitafakari sana kichwa cha habari hii. Nipo kwenye basi kama nivyosema hapo, nimekaa zangu siti za double nikiwa dirishani, akaingia mrembo pisi kali ya hatari. Cha ajabu ikanikalia na miracle paaa! Upandeupande. Mishavu ikiwa juu ya mguu wangu paja, nikajisogeza ili asinikalie na baadhi...
  16. Kwanini Viongozi huwa wanakaa siti ya nyuma kwenye magari yao?

    Kuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongozi wengine wakuu wa kitaifa hupenda kukaa siti ya nyuma kwenye magari na sio siti ya mbele? Nini huwa sababu hasa
  17. Hivi wamama /wanawake awasadiani siti kwenye bus wakimuona mama mtu mzima au mgonjwa au mwenye mtoto

    Hii nashuhudia mara nyingi tu wakinamama au wadada wakiwa kwenye siti ya bus awawezi kuinuka na kumpisha mtu awe mzee au mama mwenye mtoto au mgonjwa au mwenye mimba utaona wanaume mara nyingi ndio wanafanya hilo sasa nakosaga jibu kwanini inakuwa hivyo
  18. Niliwasha Moto mahali kwa bahati mbaya ukaunguza nyumba 300

    Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe. Sipendi ujinga. Kisa Cha kwanza. Meya wa mji x aliniita lofa mbele ya watu...
  19. M

    Nimeli-miss sana pilau! Leo nitawahi mapema siti ya mbele!! Chama langu la msimbazi tupe raha leo!

    Kwa kweli watu tumelimiss soka pilau kwa muda sasa, leo tutajikumbushia utamu wa soka pilau toka kwa wekjndu wa msimbazi!
  20. Kilimanjaro: Askari amuua mwenzake kwa ugomvi wa kukaa siti ya mbele

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha askari polisi wa kitengo cha upelelezi Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, aliyetambulika kwa jina moja la Linus aliyefariki usiku wa kuamkia Mei 31, mwaka huu ikidaiwa alipigwa risasi shingoni na askari mwenzake. Alipotafutwa na gazeti hili kuzungumzia suala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…