siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania "Shukrani ni zaidi ya asante" siri ya mioyo yenye neema na mioyo isiyojua wema

    Kuna zawadi moja ya thamani isiyolipiwa kwa pesa ni neno...... "SHUKRANI" Ni neno dogo lakini lenye uzito mkubwa. Moyo wa shukrani huonyesha tabia ya mtu hata kabla hajazungumza. Nimeandika hii thread baada ya jana kupigiwa simu na mama mmoja akasema mwanangu DR AM 4 REAL Nakushukuru sana...
  2. JamiiForums Tanzania Kuwalisha njiwa nini siri yake

    Niliona upanga dar magari ya wahindi na waarabu wanaenda pale kwenye njiwa wanarusha mtama wengi sana nikajisemea labda ni mapenzi tu. Wiki ilopita nikaenda zanzibar pale darajan nilikuta watu si chini ya 30+ nilohesabu wakitupa mtama .uwele na mchele wa kabila na rangi zote mbaya zaidi akaja...
  3. JamiiForums Tanzania Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

    Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Watumishi acheni kuvujisha siri za Serikali, ni sawa na kujipiga risasi ya kwenye moyo

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa ofisi yake ya Mwanasheria mkuu wa Serikali itawafuatilia watumishi wenye tabia za kutoa Siri za Serikali na wenye tabia za uongo Mhe. Hamza ameyasema hayo Leo Agost 18,2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza kwenye Baraza la wafanyakazi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uislam na mashahidi wa siri

    1. Mashahidi wa kujificha ni nini? Hii inamaanisha watu wanaotoa ushahidi kwa siri bila kujulikana wazi au bila kuwepo hadharani mbele ya kadhi (hakimu) au pande zinazohusika. 2. Msimamo wa Uislamu kuhusu ushahidi Katika Uislamu, ushahidi (shahada) ni jambo lenye masharti na adabu madhubuti...
  6. JamiiForums Tanzania Walinzi wa mwili wa Putin ‘hukusanya kinyesi chake anaposafiri nje ya nchi na kukirudisha Urusi pamoja naye’

    realratedred Vladimir Putin anakutana na Donald Trump huko Alaska leo kwa mazungumzo ya amani yenye umuhimu mkubwa kuhusu vita vya Ukraine, na inaripotiwa kwamba ameambatana na moja ya hatua zake za kiusalama za ajabu kabisa. Kulingana na waandishi wa habari wa uchunguzi kutoka Ufaransa, Regis...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Duniani hakuna Siri Exodus 2:14; akamwambia Mussa “ Unataka kuniua kama ulivyomuua yule Mmisri?” Wanasiasa someni hiyo

    Wakati Mussa anapigana na yule Mmisri walikuwa Wawili tu hadi alipomuua na kumfukia ardhini Kumbe kuna mtu wa tatu alimuona na akahifadhi ule ushuhuda Moyoni akisubiri wakati sahihi ndio auachilie Haya mambo ya Siasa yalianza Enzi za Agano La Kale Ahsanteni sana 🙏
  8. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA NDOA: Mke wangu anauza supu za mbuzi kwa Siri?

    Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja. Kuna jamaa mmoja akatuma meseji katika simu ya mke wangu akamuuliza, "HIVI HUYO MBUZI BADO YUPO?" Sasa najiuliza, mke wangu...
  9. JamiiForums Tanzania Taarifa nyingi za kinabii hususani za kisiasa zinaonesha upo uwezekano wa siri kuvuja mahali na wao kutumika kama njia salama ya uvujishaji

    Kutokana na uzoefu mdogo nilionao wa kufuatilia hoja na kuunganisha nukta zake huku nikijaribu kurudi nyuma ya misukumo iliyopo nyuma ya hoja nimeweza kubaini kuwa nabii nyingi zinazotolewa hususani za kisiasa hasa hasa kipindi hiki cha karibu na uchaguzi zinatusukuma kushuku kama kuna mahali...
  10. JamiiForums Tanzania Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  11. JamiiForums Tanzania Jiku Tech Tips | Mambo ya SIRI ya TEHAMA

    Kuna Siri nyingi katika Dunia na ulimwengu wote, zilifichwa muda mrefu sana na mataifa machache, lakini muda mrefu ni mrefu kwetu sisi kutokana na ukomo wetu wa muda wa kuishi duniani ila kwa nature (universe ) ni kama usiku na mchana. Siku hizi kuna AI Inakupa hata mambo ya sirini, inakutolea...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini chadema imefanya siri majina ya watu waliochanga fedha za tonetone

    Ni vyema vyama vya siasa vikawa na uwazi kuhusu michango wanayopokea. Najiuliza chadema wana hofu gani mpaka wanakusanya fedha kwa siri kubwa sana?
  13. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali apuuzwe kwa kumsingizia Yericko kuwa shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu

    Huu uzandiki unaofanywa na Chahali ni wa kupuuzwa. Shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu hajulikani kwahiyo kumtaja mtu ni kutaka kumharibia hadhi yake na hata kumhatarishia usalama wake. Ninampongeza Yericko Nyerere kwa kujitokeza hadharani na kupinga. Uongo sio wa kuuchekea...
  14. JamiiForums Tanzania WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

    Inachekesha sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda. Kipindi cha nyuma, kuna askari magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu wakiwa wamevaa kininja. Walim-treat vibaya kwa kudhani kwamba hawatajulikana, lakini nyinyi ni mashahidi. Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu, kuanzia...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua amtuhumu Ruto kwa kushirikiana na Al-Shabaab katika biashara za siri

    Naibu Rais Kithure Kindiki na Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba Murkomen wamemtaka kiongozi wa Chama cha Demokrasia kwa Wananchi (DCP), Rigathi Gachagua aandikishe taarifa na polisi aliporejea nchini Kenya kuhusu matamshi yake kuhusu ugaidi alipokuwa Marekani alikodai kuwa rais William Ruto...
  16. JamiiForums Tanzania Siri za Saikolojia: Mbinu 5 za Kuwashawishi Watu Bila Wao Kujua

    Siri za Saikolojia: Mbinu 5 za Kuwashawishi Watu Bila Wao Kujua Umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya watu wana uwezo wa kuwashawishi wengine kwa urahisi? Sio kwa sababu wanatumia nguvu, bali wanajua siri za saikolojia ya binadamu. Kuelewa mbinu hizi kunaweza kukusaidia katika biashara...
  17. JamiiForums Tanzania Je, nini kimemuua mkuu wa Senior Vibwengo? Polepole episode ya 4 itawafanya WAJUMBE wa Kamati Kuu watizamane. Je, Majaliwa na Mpango watapona?

    Pole pole episode ya NNE Itawafanya kamati kuu kutizamana Je mwajua itazungumzia Nini?. Kikubwa ni chanzo Cha kifo Cha Hayati Magufuli na watatajwa wote walio usika na ushahidi wake All the best Ila Kassimu Majaliwa na Desdory Mpango hawako salama
  18. JamiiForums Tanzania Shahidi wa Siri Bila Msingi: Uvunjifu wa Katiba, Sheria na Akili ya Haki

    Ni lazima tuseme kwa uwazi na kwa msisitizo: hakuna ushahidi wa ‘siri’ uliowahi kuwepo katika muktadha halali wa kisheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni uhalisia wa legal fact, na kinyume chake ni manufactured narrative inayokiuka misingi ya Katiba ya JMT, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe 2015 Warioba angelikuwa rais wa JMT na 2025 angalimwachia Polepole. JK atamtupa Burundi na SHS akamtupa dogo Cuba. Siri kaitoa mwenyewe dogo

    Jana Humphrey Polepole ameweka wazi kile anachokililia ambapo hapo mwanzo hakikueleweka na wengi tukadhani labda akili zimemfyatuka. Polepole ametoa siri ya mpango wa mtandao wao wa kuchukua kiti cha urais wa mwaka 2015 na 2025. Mtandao huo unahusisha vigogo kadhaa kwenye serikali ya JMT na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…