siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbinu za kujisafisha kwa mataifa mengine zinvyozidi kuonesha udanganyifu wenu serikali ya CCM. Na hili la UN limebuma

    Picha anayoonyesha Kombo baada ya kumbabatiza Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayosema ni ofisini kwa Katibu Mkuu, siyo kweli. HAIKUWA OFISINI kwa maana nyingi, hakuna, Mkutano rasmi wa Kombo na Katibu Mkuu uliofanyika hili alipokea document tu Mazingira ya ofisi za Katibu Mkuu wa UN ni...
  2. Sasa kwanini walifanya siri kumshikilia Geofrey Mwambe?

    Sijui kama ni makusudi, bahati mbaya, au kwasababu ya kelele za mitandaoni? Updates Ameandika Askofu mwamakula JE, NANI ANAMSHIKILIA MHE. MWAMBE? Taarifa zinaenea mitandaoni kuwa aliyekuwa Waziri, Godfrey Mwambe alitekwa na kupigwa sana na Polisi na kuwa anashikiliwa kinyume cha sheria huko...
  3. M

    Jenista Mhagama alikuwa Waziri wa Afya wakati wa maandamano, kaondoka na siri gani?

    1. Wananchi wangapi walipelekwa hospitali kupata matibabu kwa majeraha ya risasi? 2. Wananchi wangapi walikufa kwa risasi? 3. Miili ya wananchi wangapi walipewa ndugu zao? 4. Miili ya wananchi wangapi haikuchukuliwa na ndugu zao? Yeye kama waziri wa afya alijua taarifa hizi? Je, hizi taarifa...
  4. A

    Siri ya mafanikio ya Singapore ambayo Tanzania ilitakiwa kuzingatia sasa na siku zijazo

    Vitu ambavyo Singapore ilizingatia ambavyo Tanzania haizingati Kwa sababu ya kuchagua wasio weza kuwa viongozi.
  5. M

    PostGE2025 Mpango wa kuzima maandamano D9 hautofanikiwa, hakuna uovu mtakaoupanga ambao utakuwa ni siri tena

    Samia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu Watanzania msione serikali ipo kimya kuhusu D9 vichwa vinawauma,sasa mpango wao wa kuzima maandamano uko hivi👇🏽👇🏽👇🏽 Wanajua...
  6. Serikali chutama kama ambavyo mnaleta mashaidi wa Siri basi vumilia CNN kuhoji madaktari Kwa siri

    Msigwa ameumia saana CNN kusema waliwahoji madaktari wa hospital ya Seketule(I am not sure with spelling) Kwa Siri na kutoboa Siri ya madaktari kuambiwa wawaweke mochwari majeruhi ata kama hawajafa. Yaani serikali ilkuwa inaona Sawa kuja na mashaidi wa Siri kwenye kesi ya Lissu, lakini inaumia...
  7. Rehema: Wahudumu wa mochwari waliotoa siri za mrundikano wa maiti wametekwa

    Kama kawaida, wahudumu wa mochwari waliotoa siri za maiti waliorundikana kwenye mochwari zao kufuatia mauaji ya halaiki ya tarehe 29 Oktoba hadi tarehe 05 Novemba wameanza kutekwa mmoja baada ya mwingine. Hii ni baada ya shirika la habari la CCN kujiandaa kutoa dokyumentari inayohusu mauaji haya...
  8. Je ni kweli Samsung ina App ya Siri Ambayo Inakusanya Taarifa za Wateja Wake

    Kumekuwepo Na Taarifa Ambayo Imechapishwa Kwenye Mitandao wa Facebook Ikieleza kuwa Simu za Samsung Zina App Ambayo Inakusanya Taarifa za Wateja Wake..je ukweli wa Taarifa hii Upoje? Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa...
  9. Ulipo wapo, Serikali ipo na mkono mrefu - Ukitaka siri fanya pekee yako (Kwenye Bar, Makanisani, Misikitini, Kokote wapo) Mange mkwanja tu anatoa siri

    Ukishaitambua Serikali ni nini hakika hutaweza kuanza kuleta mawazo mgando. Kona zote za nchi Serikali inafanya kazi, Sasa hivi serikali inaundwa kila kitu kitakuwa mahali pake. Vijana wa Gen Z watashangaa kuona babu zao wanawasaliti. Wataingizwa kwenye mkenge. Wazee wamekaa kwenye migawahawa...
  10. PostGE2025 AFP: Siri yafichuka, Kondo na Mabwepande ndiko yaliko makaburi ya halaiki ilikozikwa maelfu ya miili waliouawa wakati wa MO29

    https://youtu.be/B1QPlZM3_og?si=GqpjmHKa1Z6nkMB6 Wameanza kutajana wao wenyewe na kutoa Siri walizodhania ni siri; Shirika la habari la Ufaransa (AFP) limeongea na baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya serikali ya Samia na CCM na kufichua Siri kuwa, maelfu miili ya halaiki ya waliouwawa...
  11. Siri ilyiojificha nyuma ya nafasi ya Kenya katika kuchochea machafuko nchini Tanzania chini ya kishawishi cha kupigania demokrasia

    Na Dkt. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 uliandika ukurasa mwingine muhimu katika safari ya kidemokrasia ya nchi tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. Mamilioni ya Watanzania...
  12. Redcross kwa siri wanaandikisha majina ya familia zilizopoteza ndugu zao. Huku walio ughaibuni kutafuta msaada.

    Najuzwa hapa kuna nchi mbili jirani watafaidika na kinachoendelea hapa nchini. Nchi moja iko magharibi, nyingine ipo kaskazini. Mtoto wa profesa tayari juzi usiku alitembelewa na watu kutoka nchi za ulaya kwaajili ya mpango usiojulikana. Hayo yakiendelea huko ndani ya nchi Kundi la Redcross...
  13. Siri nyuma ya Vita vya Paka mweupe na Jogoo mweusi

    Vita vya paka mweusi na jogoo mweusi vinapata watazamaji chini ya milioni moja, pambano la paka mweusi na jogoo mweupe hupaa hadi watazamaji milioni tano. Hata hivyo, pambano la paka mweupe na jogoo mweupe hufikia watazamaji milioni 20, lakini ajabu kuu ni vita kati ya paka mweupe na jogoo...
  14. Trump aendelea kuwatia nyavuni wakosoaji wake, John Bolton ashitakiwa kwa makosa ya ujasusi na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri

    Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio yanayohusu ujasusi dhidi ya nchi, umilikaji na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri za serikali.
  15. Makundi yanayo hatarisha sehemu zao Siri kuchakaa

    Wasalaam waungwana wachapakazi na Wazalendo wa Nchi hasa Tanganyika.. Yafuatayo ni makundi yanayo hatarisha sehemu zao za Siri kishughulikiwa na kuchakaa kabisa 1. Wanawake wenye tamaa ya pesa nyingi bila kushughulika. 2. Wanaume wanaopenda kula vizuri kuvaa vizuri bila kutafuta pesa kwa...
  16. Manyara: Mke amjeruhi Mume wake kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba

    Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Veronica Muhale (40), Mkazi wa Kata ya Endagaw, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, anadaiwa kumjeruhi Mume wake Josephati Kasi (45) kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba. Imeelezwa kuwa chanzo cha Veronica kufanya hivyo ni ni...
  17. Siri hadharani: Dawa ya jino linalouma na lililotoboka

    Habari Nimepata watu wengi wanasumbuliwa na jino wengi nimewapatia huduma ila nimeona changamoto ya wengi nikuwa wapo mbali hivyo imekua ni unfair trade kwakua gharama ya dawa ni 2 - 3k tu ila usafiri unaanzia 5k hadi 15k sasa hili limefanya wengi wasipate huduma hii na kuteseka na maumivu...
  18. Je ofisi nyingi za umma zile kubwa ziko bugged na vinasa sauti na kamera za Siri?

    Hapa naulizia swali tu Kwa hapa Ethiopia.
  19. Siri za Masoko: Jinsi ya Kufanya Bidhaa Zako Zinunuliwe kwa Faida Kubwa

    Changamoto kubwa ya kilimo na ufugaji si uzalishaji – ni soko. Wengi hufanya kazi kubwa shambani au bandani, lakini mwisho wa siku bei ni ndogo, wanunuzi hawapo, au madalali ndio hunufaika. 👉 Siri ni hii: Soko si mahali, ni maarifa. Ukiwa na taarifa sahihi za bei na mahitaji, hupotezi...
  20. Kitabu kinauzwa: Gundua Siri za Ndani Yako: Nguvu, Mawazo na Maisha Mapya

    MJUE MWANADAMU NA NGUVU ZILIZOMO NDANI YAKE Kitabu hiki ni mwongozo wa kujitambua, kuelewa nguvu za mawazo, ndoto, mapenzi na nguvu ya tendo la ndoa, pamoja na mbinu za meditation. Kinaeleza jinsi mawazo yanavyogeuka hisia na vitendo, siri za maisha ya ndani na nguvu zilizojificha ndani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…