Furaha ya Siri Kwenye Shida Zako

Furaha ya Siri Kwenye Shida Zako

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
636
Reaction score
570
Kuna watu ambao hawakudhuru wao wenyewe, lakini wanafurahi kwa siri pindi wengine wanapokudhuru. Hawakushambulii, lakini hufurahia anapokushambulia mtu mwingine. Baadhi ya watu wenye chuki na uadui hawana ujasiri wa kukabiliana nawe moja kwa moja.✍️
 
Unamchamba shoga yako!?
 
Vp ulisema hii kitu ni fake news..😂
HQk8NdxWUAAauQp.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom