sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jonathan Mabihya, Ateuliwa tena kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Singida , ila sio maadilifu kabisa

    https://www.jamiiforums.com/threads/inadaiwa-katibu-ccm-kilimanjaro-akwapua-mamilioni-ya-fedha-za-kina-mama-moshi.2065675/
  2. JamiiForums Tanzania Sehemu sahihi na sio sahihi kwa wanadamu waliopo duniani ?.Je ni makusudi ya mungu.

    Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k. Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo...
  3. JamiiForums Tanzania Sio tendo la ndoa ni "ngono"

    Kwa nini Watanzania wanaogopa kusema "ngono" au "kutombana" badala yake wanasema tendo la ndoa (act of marriage) ? Unakuta watu hata hawajaoana wanasema walifanya tendo la ndoa! Ajabu ni kwamba ni rahisi kutamka "sex" lakini kwa Kiswahili wanaogopa!
  4. JamiiForums Tanzania Kada wa CCM: Serikali imejenga mochwari ya kisasa yenye vyoo, sio kawaida

    Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii. Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida...
  5. JamiiForums Tanzania DR NCHIMBI NA KANISA:

    Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania. Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania ITV Super brand kwa hili sio sawa!

    Moja ya Runinga yenye watazamaji wengi hapa Tanzania , East Africa na duniani kwa ujumla ni ITV , wazee wa super brand, ila cha kusikitisha baadhi ya vipindi vyake wanaweka watangazaji/mtangazaji asiye na uwezo hivyo kuathiri kabisa uwasilishaji wa taarifa kwa sisi walaji Mfano ni Msomaji wa...
  8. JamiiForums Tanzania VIDEO: Ukishangaa ya Kawe, Utastajaabu ya huyu mwambo hapa. Mind you hii sio comedy show

  9. JamiiForums Tanzania Biashara ya mabasi kama sio mbunge au waziri basi achana nayo.

    Kuna biashara zengine ukiziona kwa kuambiwa au kusikia bila kuingia unaweza kusema biashara ndio hii. Kwa jinsi ilivyo sasa hii biashara ya usafirishaji ilivyo kama sio mbunge au waziri,unaweza kujikuta umefirisika. Kwa nini naeleza ili japo wengi hizi biashara asilimia kubwa wanazani ni watu...
  10. JamiiForums Tanzania Sio kila baba ni mzazi hii pia imepelekea malezi ya single parenting kuongezeka kasi ila lawama zote anatupiwa mama na mama mkwe

  11. JamiiForums Tanzania 🛣️Barabarani sio kila vita lazima ushinde na Upole Sio Ujinga..

    Sometime unakua mpole tu unaacha watu wanapita wanaenda Maisha yanaendelea. Sio wewe kila saa ni ubishi jamaa akisogeza gari na wewe unasogeza. kiongeza speed na wewe unaongeza eti unakaza/unabana sio sawa upole kiasi sio ujinga. . Na mpaka nasema haya nilishuhudia ajali moja ya isiyo ya lazima...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Bwawa la maji la Farkwa, Dodoma sio simulizi tena, kazi inafanyika kuibadili Dodoma na viunga vyake

    https://www.instagram.com/p/DdhhVstAk4m/
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wananchi Sio Maadui: Wajibu wa Vyombo vya Ulinzi

    Kwenu vyombo vya ulinzi na usalama — Polisi, JKT, JWTZ, TISS na vyombo vingine vinavyobeba jukumu la kulinda taifa. Kumekuwa na mijadala na matamko yasiyo rasmi kutoka kwa baadhi ya watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama kutoa kauli zinazoweza kutishia wananchi, kupambana nao au kuwachukulia...
  15. JamiiForums Tanzania Pamoja na kujitahidi kula mara moja kwa siku ila naona ulaji wangu sio wa kawaida, nakula msosi mwingi sana.

    Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
  16. JamiiForums Tanzania Pongezi Prof. Adolph Mkenda, ni Multi Talented, Sio tuu ni Profesa, Mbunge,Waziri na Mwanasiasa, Prof. Mkenda ana Kipaji, ni Bonge la Mtangazaji!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Pongezi kwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda, ni multi talented, Sio tuu ni profesa wa sayansi, mhadhiri wa chuo kikuu, mbunge, waziri na mwanasiasa, Prof. Mkenda pia ana kipaji cha utangazaji, nimemtazama na kumsikiliza leo, katika kipindi chake cha kwanza...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Maasai, Punda haliwi Wala sio mfugo wa Uchumi , Punda hamtii hasara Mmasai, Nyinyi kama MMEUA Simba ili kuwafurusha Maasai semeni tu

    Ni hayo tu, maana mnaweza kufikia Hatua ya kusema Mifugo ya Maasai inamaliza Nyasi na Majani mbugani !!
  18. JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi Lissu kafanya kosa la uchochezi sio uhaini

    Aliwachochea watu wakaenda kutenda walichotenda. Tena sio yeye tu bali chadema yote; ifutwe. Vinginevyo akamatwe tena kwa ushahidi mwingine.
  19. JamiiForums Tanzania Nafikiri yule mdada mwenye tatoo ya kipepeo sio mtu wa kawaida. Ana uwepo wa nguvu fulani ndani yake

    Kufuru anayofanya and force aliyonayo ni mfano aina ya mtu ambae sio energy ya kibinadamu. Nafikiri yupo possessed au connected na element fulani hivi.
  20. JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko. Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi. Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…