sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Honda wamezindua 4th Gen Insight: Sasa hivi ni full EV sio tena hybrid kama matoleo ya nyuma!

    Najua inawezakua ni habari mbaya kwa wengine. Ila ndio hivyo. Honda wamezindua generation ya nne ya hybrid yake pendwa Honda Insight, ila sasa wameachana na hybrid moja kwa moja wameenda EV. Kwahiyo Insight EV jina jingine itaitwa Honda e:N2 kwa masoko ya China na Thailand. Kwa kuanza...
  2. JamiiForums Tanzania Sio Mungu tu tuliyemkataa

    Another Sunday, another boredom, another weekend. Nimeamka Salama namshukuru Mungu. It got me thinking, when was the last time going to church? Je namshukuru Mungu kweli, au naongea tu Kwa vile ni msemo wa Kila siku(jumapili especially!) je huyo Mungu WA kanisani nisiyemuamini Kwa nini bado...
  3. JamiiForums Tanzania Sio Biblia sio Quran iloitaja umri wa mwanamke kuolewa hiyo 18 mmejitungia tu

    Mm nasema hamna kama kuna mwenye aya au ushahidi wowote aje nao nimpe 300,000 usiku huu Muhammad (60) kwa Aisha ilikua sahihi Na Joseph (63) kwa bikira Maria ni sawa Hiyo 18 ni mbwembwe za waja, kama unaushaid iweke mbele weka lipa namba
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof Issa Shivji: Watanzania sio wajinga. Kiungo kati ya AMANI na HAKI ni UWAJIBIKAJI. Hatuwezi kupiga hatua bila viongozi wakosaji kujiwabika!

    https://youtu.be/0niFxKMdOSI?si=AQnb1lDVaELvbk05 ANASEMA: Nchi hii si mara ya kwanza kushuhudia ukatili na mauaji ya watu (raia) wasio na hatia uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama chini ya usimamizi wa viongozi wa kiraia ma RCs, DCs au Mawaziri Tofauti na wakati ule, katika matukio ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ongezeko na video za shughuli za wadada kushereheshwa na mashoga sio ishu ya bahati mbaya, ni mpango mzima wa kudhalilisha uanaume halisia.

    Kumbuka zile shughuli zinafanywa na masingo maza, michepuko ya watu, wadada wanaojiuza, wadada wasio na kazi, etc na watu wa aina hii adui namba moja wao ni mwanaume kutokana na kila mmoja aliathrika vp na mwanaume katika pita pita zake. Sasa ikitokea kuna mashoga wanawafahamu wanahakikisha...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Uchochezi sio demokrasia kemea uchochezi

    UCHOCHEZI DEMOKRASIA yai vurugaa CHADEMA, makundi yaendelea Kukemea Siasa za Vurugu wananchi wadai Tanzania haiwezi kuongozwa kwa maandamano ya taharuki za migogoro kuharibu amani na uchumi NA MWANDISHI WETU WIMBI la kukemea siasa za vurugu, uchechezi na kuchochea migogoro ya kisiasa...
  7. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wenza kupost vijembe WhatsApp status mnapotofautiana sio nzuri

    Yaani mwenza anapost vitu ambavyo unaona kabisa kakulenga wewe kufuatia mkwaruzano uliojitokeza. Mimi nachukia hii tabia ambayo wanawake wanayo zaidi. Kupost status ni kuwapa faida watu wengine. Mapenzi hayahitaji third party kabisa. Kuhusisha watu wengine kupitia watsapp status ni...
  8. JamiiForums Tanzania Ongeza thamani yako; Sio unahangaika kuomba kazi kumbe kazi yenyewe hata ukipata utaishia kulipwa laki 3

    ONGEZA THAMANI YAKO; SIO UNAHANGAIKA KUOMBA KAZI, KUMBE KAZI YENYEWE HATA UKIIPATA UTAISHIA KULIPWA LAKI 3. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Binti na kijana wangu. Umri wa miaka 10-25 ni umri wa kujijenga hasa kiujuzi, kielimu, kiuzoefu na kimaarifa. 2. Umri wa kuongeza value yako. Utu...
  9. JamiiForums Tanzania Njia inayotumika kutatua mgogoro wa Iran ( Hormz) sio sahihi,mimi naweza kuutatua kwa masaa 2 tu.

    Kuna haja ya hawa viongozi wa dunia kujitafakari na kufanya maamuzi yenye faida kwa dunia . Mgogoro mkubwa umejikita hasa kwenye kumiliki silaha sasa kama ni hivyo lazima watumie balance kumaliza vita . Mfano unapoamua kuamua ugomvi wa watu wawili walioshika mapanga ,,hatua ya kwanza ni kuchukua...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Upinzani sio kukosoa kila kitu

    Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shida sio hela ya matunzo ya mtoto bali ni baadhi ya baby mamas kuitumia kula bata na kumkomoa anaetoa.

    Shida kubwa inaanzia hapo, Pesa ya matunzo anaitaka ihudumie lifestyle yake ya mawigi, abaya, vifurushi vya data, n.k. anajiona hastahili kufanya kazi wewe ndie uwe unamtimizia kila kitu kwa mgongo wa matunzo ya mtoto. Pili ni kukukomoa, hapendi kukuona ulivyo move on na una familia yako...
  12. JamiiForums Tanzania BARUA ZINATEMBEA HAPA OFSINI SIO POA, NIOMBEENI, BOSS ANADAI HALI MBAYA, SINA RAHA KABISA, SIKIENI TU, OMBENI YASIWAPATE

    Kama Kuna mtu Nisha mkosea, naomba nisamehewe, mana Kuna uwezekano nikawaangukia any time nipate pakujishikisha, wakuu samahan kama Nisha wahi kumkosea mtu humu, tusamehane sisi ni ndugu. Watu wanatakiwa wapunguzwe, acheni tu Zachariano alexido
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bei sio kigezo tena cha kutambua bidhaa original, Bidhaa feki zimejaa sokoni na tunapigwa kwa bei original

    Bei haionyeshi ubora tena, feki na original vinauzwa sawa sokoni Zamani ilikuwa rahisi kutambua biashara ya bidhaa feki. Wafanyabiashara walikuwa wanauza vitu hivyo kwa bei ya chini kabisa, na mnunuzi alikuwa anajua kabisa kwamba anachonunua si original. Ilikuwa kama makubaliano ya kimya kimya...
  14. JamiiForums Tanzania Haya sasa kimenuka kiwanda cha kusafishq mafuta kujengwa Mombasa sio Tanga mapendekezo ya aliko dangote

    Siasa hadi kwenye miradi mikubwa unaposema tunawapiga mikwaju wewe kilaza ulikuwa na maana gani? Kasongo amekuingiza chaka wewe ukajilipua eti nilikuwa sijui ndio nimejua kiwanda kinataka kujengwa Tanga ushuzi kabisa Haya dangote amesema sasa mapendekezo yake ni kujenga Mombasa kenya kwasababu...
  15. JamiiForums Tanzania Sio vibaya kutumia Tsh 2,000,000/= kutoka kwenye akiba yako kumfurahisha mama yako kwenye hii siku yake

    Post za watsapp status, Insta, Facebook na X hazitoshi. Chomoa angalau 2m toka kwenye akiba yako mfurahishe mama. Spoil her Happy mother's day
  16. JamiiForums Tanzania Naona vyuma vya China tutaanza kuvizoea sio muda. Ona ili Zeekr 9X SUV!

    Kuna hii plugin-hybrid (engine + kuchaji) full sized SUV Zeekr 9X kitu cha 2025. Engine yake ni 2.0L turbo i4, battery la 55 kWh au 70 kWh, kwa pamoja (full tank + full charge) unaenda kilometa 1,200+ Ni full SUV, kwahiyo kubwa karibia urefu wa mita 5.2, seat arrangement 2:2:2 so ni nzuri kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana wasio na adabu wachapwe bakora kwa Mujibu wa Sheria na sio utashi binafsi wa viongozi

    Hamjambo! 1. Kuwanyoosha vijana ni jukumu la wazazi, walezi na Mahakama. 2. Msingi Mkuu wa Malezi na kunyoosha Tabia ni kwa Viongozi na wazazi ambao hapa watakuwa role model kwa vijana wao 3. Kama Wazazi na viongozi wanafanya mambo yasiyo na uadilifu wanapoteza haki ya kuwanyooshea vidole...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Anayekataa Chadema sio Chama Kikubwa cha upinzani huyo naye kichwa chake kitakuwa kina shida

    Akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani Kuu na Chief Odema, Mbunge Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chiponda 'Baba Levo' amesema kuwa anaekataa CHADEMA sio chama kikubwa cha upinzani huyo mtu kichwa chake kitakuwa kina shida. Mimi nakiheshimu sana chama cha CHADEMA kimeleta upinzani nchini...
  19. JamiiForums Tanzania Unapojenga kazi kubwa nunua mchanga kwa gari kubwa sio canter kuepuka hasara

    Nitaeleza leo umuhimu wa kununua mchanga kwa gari kubwa kama unaproject kubwa ya ujenzi UMUHIMU WA KUNUNUA MCHANGA KWA GARI KUBWA UKIWA NA PROJECT KUBWA 1. Unaokoa pesa nyingi FAW/Mende trip 1 = TZS 350,000 inaleta 18 cubic metre Canter kuleta 18 cubic metre = trip 6 × 60,000 = TZS 360,000...
  20. JamiiForums Tanzania Uraia wa nchi mbili ni sawa ila sio kwenye uongozi na utumishi wa umma

    Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili. Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…