simu

  1. JamiiForums Tanzania Tuambie kwanini huwa unazima simu usiku?

    Habari machalii… Leo nazungumza na jamaa zangu mnaozima simu ikifika usiku. Kwanini unapenda kuzima simu ikifika usiku? Ikitokea dharura watu wakitaka kukujulisha usiku huo watakupataje? Haya tuambie kwanini unapendelea kuzima simu?
  2. JamiiForums Tanzania Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie

    Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie, wakaamua kutu-actia. Maana sasa hivi ukiwa na bundle ni kama uko kwenye uhusiano wa long distance—upendo upo, mawasiliano hayapo! Unaamka asubuhi, unacheki simu: “Huna salio la kutosha kutuma ujumbe huu.”...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Pakistani tokea alipoenda kujificha kwenye handaki bila simu hadi leo hajulikani alipo.. Zawadi Nono atakayetoa taarifa.

    Katika usiku wa Mei 9 na 10, kwa kulipiza kisasi dhidi ya mvua ya drones na makombora ya Pakistan yaliyoelekezwa India, New Delhi ilizindua mashambulizi ya kulipiza kisasi, ikilenga mifumo kadhaa ya anga nchini Pakistan, ikiwa ni pamoja na msingi maarufu wa ndege wa Nur Ali Khan, ulioko karibu...
  4. JamiiForums Tanzania Nimepiga simu NIDA makao makuu wananiambia kitambulisho kimeshatoka ila meseji sijapata

    Aisee hii nchi sijui inaongozwa Kwa akili Gani yaani nimepiga simu nikaambiwa kitambulisho cha nida kimetoka ila mijitu haijatuma sms tunaenda kufuata vitambulisho vyetu tunaambiwa mpaka sms wakati Mimi ndio muhusika wa hicho kitambulisho na sura yangu inaonekana sio kwamba sionekani sura na...
  5. JamiiForums Tanzania Kupotea au kutekwa kwa Mdude: Njia 7 za kumtafuta kidigitali-jinsi minara ya simu za mkononi inavyoweza kutumika kumtafuta mtu aliyetoweka au kutekwa

    Katika dunia ya kisasa, teknolojia imekuwa chombo muhimu katika kusaidia juhudi za usalama na utafutaji wa watu waliopotea au kutekwa. Mojawapo ya teknolojia inayotumika sana ni minara ya simu za mkononi (cell towers). Minara hii inaweza kuwa msaada mkubwa katika kufuatilia harakati za mtu kabla...
  6. JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu aliyeolewa kanipigia simu

    Kwanza ngoja kwanza nicheke, Ujue haijapita hata wiki maana kaolewa jmosi iliyo pita Mambo ni hivi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kuwa Mtumwa wa Simu Kila Siku

    Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kua Mtumwa wa Simu Kila Siku Utangulizi Karibu kwenye zama mpya za biashara za mtandaoni, ambapo teknolojia inaweza kufanya kazi kwa niaba yako 24/7 — hata ukiwa umelala! Ikiwa umechoka kujibu inbox kila saa, kufuatilia malipo...
  8. JamiiForums Tanzania Tozo ni kilio cha wengi; zifuatazo ni njia ambayo ntatumia kuondoa au kupunguza kabisa tozo kwenye miamala ya bank na simu

    Msisitizo utakuwa kwenye kupunguza informal sector
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nilivyonasa kwenye mtego wa simu za mkopo

    Baada ya simu yangu ya tecno kuharibika sikuona haja ya kupoteza hela kuipeleka kwa fundi kwa sababu nilikuwa nimeitumia kwa miaka mitatu hivyo nikaona ni bora tu nikatafute simu nyingine mpya ya kutumia...
  10. JamiiForums Tanzania JINSI PESA INAVYOIBWA KWENYE SIMU ILIYOPOTEA KUTOKA KWENYE MTANDAO AU BANK

    Unapo poteza simu na kuacha ku block ile line kinachofanyika yule aliechukua simu iliyopotea anatoa line kisha anaenda kwa mtu anae sajili line ambao tumewaona wengi sana mtaani na mashine zao, anampa ile line ya simu ili waweze kupata taarifa za usajili wa NIDA wa line husika. Kisha baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa na Crypto (Mwaka 2025 - Mwongozo kwa Watanzania)

    Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako. ✅ Crypto ni...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nashangaa mzazi mwenzangu bado ana number yangu ya simu mpaka leo.

    Aliondoka nyumbani hapa na watoto na kila kitu chake tena kwa nyodo,akajiapiza hatokaa anitafute kwa lolote na number yangu ya simu anafuta. Sasa leo ktk kuperuzi huko whatsapp nakutana na status yake kaweka vifungu vya biblia, nijuavyo mtu kama hana number yako akiweka status wewe huwezi...
  13. JamiiForums Tanzania Kila mpenzi wangu akishika simu yangu, anazidisha mapenzi na heshima kwangu

    Kuna muda ni kama analeta kunizoea, ila akishika simu akiangalia social media ninavyotongozwa, anajua kumbe yuko na " Dhahabu" Yenye thaman sana. Unakua sometimes wapenzi wetu wanatuzoea af wanatuchukulia poa sana. Ila wakiona kua tunahitajika, akili zawakaa sawa. Sometimes she forget that...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Huawei waliishia wapi na ndoto zao za kutawala soko la simu duniani, Huawei bila Playstore ni kama chapati bila mafuta,

    Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore. Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa Harmony OS wakiapa kupindua meza na kutawala soko la simu duniani. Hali imekuwa tofauti sana...
  15. JamiiForums Tanzania Apps za simu kwa ajili ya afya (Tanzania 2025)

    Apps za Simu kwa Ajili ya Afya (Tanzania 2025). Katika zama hizi za kidijitali, simu janja zimekuwa zaidi ya mawasiliano—zinasaidia hata kwenye afya zetu. Hizi hapa ni baadhi ya apps mpya au maarufu zinazotumika Tanzania kwa ajili ya huduma za afya: 1. AfyaTrack – App hii ya Kibongo...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi content creator walivyoniharibia simu yangu.

    Ilikuwa hivi. Niliingia instagram jamaa akasema zima vitu vifuatavyo kwenye simu yako kuimarisha ulinzi wa taarifa zako. Ingiza settings Zima Google password manager Nikazima. Nikaenda settings nikazima payment method Nikaenda privacy and policy Access payments method ni kazima. Baadae...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini unatumia mtandao wa simu ulio nao?

    Wakuu, Kwanini unatumia mtandao wa simu Ulio nao sasa? Ni criteria zipi zilikufanya Uchague namba ya simu ya mtandao fulani kama namba yako kuu? Je incase ume attain Popularity una handle vipi Mawasiliano yako yani unakuwa na Multiples simcard au unafanyaje? Mimi natumia line moja tu ya simu na...
  18. JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA,IPO KUNDUCHI BEACH,BEI NI BILLION 2,MAONGEZI YAPO, SIMU 0758844717

    GHOROFA YA KIFAHARI SANA HII INAUZWA IPO KUNDUCH BEACH ROOMS 6 ZOTE MASTER SEBULE KUBWA JIKO,STOO DINING, PUBLIC TOILET PLOT SIZE SQM 1720 INA HATI MILIKI SAFI YA WIZARA 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu yeye na Simu yake ataki niishike hata kidogo. Na siku aliyoumwa aliikumbatia kama mtoto

    Hapa Dar kila mtu yuko busy sana na maisha. Mwaka juzi mke wangu alipata changamoto ya kiafya kiasi simu yake hakuweza kuwasiliana. Nikalazimika kuchukua likizo ili kumuuguza. Lakini pamoja na kuwa na hali mbaya kiafya bado hakubanduka na simu yake. Tatizo lilitokea ambalo simu yake ilitakiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la simu kusumbua chaji ni langu peke yangu?

    Eti wakuu Nina kama mwezi hivi ninanunua vichwa vya chaji na cable karibia laki imenitoka nikibadilisha kichwa hasa cha oraiomo ndo naona vinapatikana sana madukani vinafanya kazi baada ya week kinaanza kuzingua pia hata cable nabadilisha zinazingua baada ya muda. Naombeni uzoefu wenu watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…