simu

  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa kitabu au notes za veta ufundi simu ziwe pdf

    Naomba kitabu chochote cha ufundi simu haswa smartphone kiwe kwenye mfumo wa pdf
  2. JamiiForums Tanzania KIOO CHA SIMU ZA ANDROID KUWEKA UFA BILA SABABU

    Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu . Ukiangalia kina ufa . Serikali kupitia TBS kwa Nini kuruhusu hizi bidhaa fake. Ukiangalia maduka mengi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kujiondoa kwenye simu iliyounganishwa mtandoni

    Habari. Msaada nawezaje kujiondoa kwenye smartphone niliyounganishwa na mwenza wangu?? Meseji, Voice note zote anazipata kwenye simu yake.Nitajiondoaje Ili asipate taarifa zangu kwenye smartphone yangu? Msaada.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupiga simu nje ya nchi

    Wataalamu, naomba kufahamishwa namna ya kupiga simu nje ya nchi kwa bei nafuu kwa contacts ambazo haziko linked na call apps au sociaL media apps(whatsapps, line, viber..). MItandao ya simu ina vifurushi vya kimataifa ambavyo ni bei ghali, haviendani na uhalisia, na vina mawasiliano ya nchi...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini John Heche amekuwa akirejea kauli kwamba akipiga simu moja tu CCM anapata uwaziri, kuna ujumbe uliojificha anautoa?

    Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema. Hii inamfanya anatutambia kila wakati. Siku za karibuni palizuka tetesi kwamba Heche anatumia gari ya kigogo wa CCM katika...
  6. JamiiForums Tanzania Kero: Vyoo vya Simu 2000 ni vichafu sana

    Vyoo vya hii stendi jirani na kituo cha Polisi cha Simu 2000 ni vichafu sana. Unapoingia tu unakutana na masinki yale ya wakati wa COVID-19 ya kunawia mikono yana maji machafu yaliyotuama humo ni kama yamekuwa hapo kama mwaka hivi hadi yameoza. Ukitoka hapo unalipia lakini ukiingia ndani vyoo...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA!

    Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA! Katika zama hizi za kidijitali, kila swipe, kila app unayofungua, na kila sekunde unayotumia kwenye simu yako inaweza kurekodiwa — si kwa nia mbaya kila wakati, bali kwa ajili ya uchambuzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwa kwenye daladala na kuongea na simu kwa sauti ya juu ni UJINGA

    Kuna watu hawana soni kabisa unawezaje kuwa kwenye daladala ya umma halafu ukipigiwa simu unaongea kwa sauti ya juu sijajua lengo la watu wa aina hii kwamba wote tukusikie au ni kutafuta approval kwamba wewe ni nani. Utapeli tu
  9. JamiiForums Tanzania Je, Mitandao ya Simu Inawatumikia Wateja au Serikali? Hoja Kuhusu Kuzimwa kwa Mitandao Wakati wa Matukio ya Kisiasa

    Katika siku za karibuni, tumeendelea kushuhudia hali ya wasiwasi na maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu kuzimwa kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, YouTube, na X (zamani Twitter), hasa pale ambapo kuna matukio ya kisiasa yanayowahusisha wapinzani wa serikali au wanaharakati wanaoikosoa...
  10. JamiiForums Tanzania Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania

    Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania
  11. JamiiForums Tanzania Rostam: Kisutu, viongozi wakipiga simu hupati haki

    Leo nawiwa kutoa ushauri kwa watanzania wenzangu kuhusu hali ya utoaji haki nchini. Kwakuwa jambo lenyewe ni nyeti na lina uzito wa kipekee nitajenga maoni yangu kupitia kauli ya Ndugu Rostam Aziz, Mbunge wa Igunga 1994-2011, Katibu uchumi na fedha CCM 2005-2007, na Mjumbe wa kamati kuu CCM...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  13. JamiiForums Tanzania Simu yenye kamera nzuri kwa bajeti ya laki4 hadi 5

    Wakuu naomba mnipe mwongozo wa simu ambayo angalau inaweza nisaidia kupiga picha nzuri za kupost mtandaoni bidhaa za duka walau nikapata quality inayokubalika kwa bajeti hiyo, asante!
  14. JamiiForums Tanzania U busy na simu unafanya wamama wanaolea wasiweke umakini kumtazama mtoto

    WTF ! Wanawake siku hizi pasua unakuta mdada analea mtoto muda wote busy na simu ku chart online hana muda wakuweka umakini kwa mtoto matoke yake mtoto anapata madhara kwa uzembe wa mama kuendekeza mitandao zaidi
  15. JamiiForums Tanzania Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani

    Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani . Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata . Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana...
  16. JamiiForums Tanzania Connection ya simu za mkopo

    Habari wakuu, Nina goli langu moja la simu, sasa wateja wanaulizia sana simu za mkopo. Nimejaribu sana kuulizia ninapoweza pata simu za mkopo kwa bei ya Jumla nimekosa. Mwenye connection anijuze wakuu
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha CBE (Dar) hakijibu emails na simu hazipokeleki ukiwa nje ya nchi

    Mimi ni mwanafunzi niliyehitimu katika chuo cha elimu na biashara campus ya Dar-es-salaam Diploma ya INFORMATION TECHNOLOGY. Nimesoma cheti nikamaliza nikaendelea diploma ila cha ajabu sana ni kwamba kwenye mfumo inaonesha mimi bado nasoma cheti na matokeo yangu ya muhula wa pili cheti...
  18. JamiiForums Tanzania Matoleo mbalimbali ya simu za Nokia katika picha

  19. JamiiForums Tanzania Je simu tunazonunua madukani zenye kaneno"powered by android,ni salama na za kudumu?

    Naomba kujuzwa juu ya hili?, Tulizoea ukininua Nokia,au Tecno,au Samsung, wakati wa kuiwasha ,kwenye main screen ya simu lilikuja neno moja tu, TECNO!.
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi simu zinavyoua roho za Vijana wakiwa hai

    Tunazaliwa katika zama ambazo simu zimekuwa na akili kuliko watumiaji wake. Mitandao ya kijamii imepata ushawishi mkubwa kuliko wazazi au walimu, ikitoa maarifa yasiyoisha lakini bila hekima. Vijana kama Jaden, mwenye miaka 19, wanakaa usiku kucha wakichunguza Instagram, TikTok na Telegram...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…