simu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Bwana Yakub Bashir, mchakato wa kuyashitaki makampuni ya simu uliishia wapi?

    Tulikupongeza sana kwa move ya kutetea watu wasiibiwe na mitandao ya simu maana ni wezi wakubwa kupitiliza. Ukasema una maongezi nao. Ukaleta mrejesho wa kwanza kuwa wamekuita mnaongea lkn bado kesi inaendelea kufunguliwa. Kama watakubaliana na maombi yako, ni kiasi cha kufuta kesi. Sasa umekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji Simu haraka kwa bei 100,000

    Habari wakuu, Nahitaji simu original kabisa haraka sana iwezekanavyo, budget iliyopo ni pesa ya Kitanzania shilingi laki moja (100,000) Napatikana Dar es salaam Aina ya simu inayohitajika ni miongoni mwa zifuatazo: • Samsung Galaxy S4 •Samsung Grand Prime pro •Tecno Camon CX Air •Samsung Grand...
  3. JamiiForums Tanzania TCRA wakishazima line za simu waje mitaani sasa

    TCRA wakishazima line za simu waje mitaani sasa kuna kaujanja kanafanywa na hawa vijana wanasajili line mtaani. Tena ni hatari wanayofanya hawa vijana wasio waaminifu sijui ni tamaa ya pesa au njaa yao. Hapa tuwe makini tunaokwenda kusajili hapa kuna mchezo wanafanya usipokuwa makini unaweza...
  4. JamiiForums Tanzania Umuhimu ni kitambulisho cha uraia na siyo laini za simu

    Mh. Rais wetu John Pombe Magufuli, nijuavyo Mimi kama nitakosea unisamehe bure, tatizo tulilonalo la usajiri line za simu si muhimu sana kama kulinda usalama wa vitambulisho vyetu, kauli za zima moto za Waziri wa Mambo ya ndani zina athari. Wapo wengi hasa maeneo ya Magharibi wengine wapo hired...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Laini za simu kufungwa, akaunti za pesa kubaki

    Tunajua laini za simu szisizosajiriwa ikifika 31Desemba Kisha 20Januari 2020, zitafungwa. Tunajua serikali ilipitisha na kuridhia laini za simu kuwa akaunti za pesa pia Tunajua simu ikifungwa akaunti ya pesa haiwezi kutumika, maana unaanza kuwa na laini ndio upate akaunti ya pesa na sio...
  6. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea hapa Kawe Ofisi za NIDA, Mh. Rais tupe tu mpaka March tupambanie kitambulisho

    Nimewahi kulalamika kuna watu wanatakiwa wajiondoe wenyewe maofisini kama wameshindwakwenda na kasi ya Mh. Rais. Hapa Kawe ofisi za NIDA kumekuwa na udhalimu, rushwa kila aina; watu wanawahi, wengine wanakuja wanapelekwa mbele na walinzi wanaondoka munabaki. Hilo siyo shida; utaratibu wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania NIDA vs Immigration vs Makampuni ya Simu: Watalii nao kikaangoni

    Watalii wallopo ndani ya nchi ambao walichukua line za simu nao hali mbaya. Mfumo wa Immigration hausomeki kule NIDA na makampuni ya simu nao wanasema hawaoni kitu. Sisi ambao tuko kwenye sekta ya utalii tunashindwa kuelewa tatizo liko wapi. Watalii walipo ndani ya nchi wakienda kusajili line...
  8. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Simu ya TECNO Yaimarisha Ushirikiano wake na Google Kwenye Mkutano wa Maonesho ya Teknolojia 2020

    Toleo jipya la simu CAMON 12 Pro ya hivi karibuni imewekewa kitufe cha Msaidizi wa Google (Google assistant) ambacho kinaruhusu watumiaji kufanya mambo mengi zaidi kwenye mfumo wa Google. Kampuni kinara ya Kimataifa ya simu za rununu ya TECNO yenye simujanja yake ya Camon 12 Pro ya hivi...
  9. JamiiForums Tanzania Huduma za fedha kwa njia ya simu zinavyosaidia kukuza uchumi nchini

    Katika siku za hivi karibuni huduma ya kutuma fedha, kupokea na kulipa kupitia simu za mkononi imekuwa jambo kubwa nchini na kwa kiasi kikubwa kichocheo cha maendeleo yetu. Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa faida zinazohusiana na huduma za kifedha kwa njia ya simu za mkononi zinachangia sana kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Sekta ya mawasiliano ya simu inavyokua kwa kasi nchini Tanzania

    Mwaka mpya ni wakati wa kutafakari yaliyopita, tulipokosea, tulipofanikiwa na namna gani tufanye vizuri zaidi. Tumeingia pia muongo mpya (2020 hadi 2030) kwa hiyo pia ni miaka kumi kutafakari nini tumefanya miaka 10 iliyopita na nini tufanye miaka 10 ijayo. Bila shaka muongo uliopita (2010 hadi...
  11. JamiiForums Tanzania INAUZWA TABLET inauzwa

    Jipatie tablet ya vodafone vfd 1100 iko katika hali nzuri mno,haina shida yeyote ni nzima kabisa kama unavyoiona kwenye picha, inakwenda kwa bei ya 100,000 mazungumzo yapo. Napatikana Mbeya nicheki kwa 0767142928 karibu tufanye biashara.
  12. JamiiForums Tanzania Tarehe 20, Jan, 2020 line za simu hazitafungwa badala yake atatumbuliwa mtu.

    Habari wakuu! Hii ni forecast yangu tu, ninavyozijua siasa za Tanzania tarehe ambayo tunatangaziwa na mitandao ya simu kuwa watazima line ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole tukio litabadilishwa kutoka kufungia line mpaka kutumbuliwa mtu.
  13. JamiiForums Tanzania Alama "G" na "E" humaanisha nini kwenye simu pale unapotumia Data?

    WanaJF habarini! Mara nyingi niwapo Vijijini (sehemu ambazo network ni dhaifu) napendelea kutumia simu ndogo (ya batani/java phone) maana smartphone huwa slow kupita kiasi tofauti na simu ndogo. Pale nikiwa kwenye data huwa inatokea alama "E" lakini kuna baadhi ya maeneo nikiwa kwenye data...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampigia simu Diamond akiwa jukwaani, Diamond amuhakikishia ushindi 2020

    Hii imetokea usiku wa kuamkia leo, mkesha wa mwaka mpya wa 2020 baada ya Rais kumpigia simu akiwa jukwaani na kumpongeza Diamond. Diamond amemhakikishia ushindi wa kishindo 2020 kwenye uchaguzi mkuu October. Hii inaitwa double target kwa wale waliopitia courses za strategies kama mimi from...
  15. JamiiForums Tanzania Una namba za simu (contacts) ngapi kwenye Simu yako?

    Wakuu habari, Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, huwa najitathmini vitu mbalimbali kimoja wapo ni marafiki/ndugu niliokuwa nao karibu mwaka uliopita na ambao tumetupana mwaka mzima. Sasa leo nilikuwa nafutafuta baadhi ya namba za simu ambazo hatujawasiliana miaka nenda rudi, zipo tu kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania TCRA yazipiga faini kampuni za simu kwa kushindwa kutekeleza masharti ya huduma bora

    Dar es Salaam. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imezipiga faini kampuni saba za simu baada ya kushindwa kutekeleza masharti ya leseni na kukidhi viwango vya ubora wa huduma kwa mujibu wa Kanuni za Ubora wa Huduma za mwaka 2018. Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi na Utekelezaji wa Sheria wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini tusiboreshe uholela wa kuzagaa fingerprints?

    Kama kuna uwezekano line na mitandao ya simu kutenganishwa ingekuwa ni vizuri sana. Yaani anayetoa line na namba awe taasisi moja, halafu kuwe na teknolojia ya kuruhusu mtumiaji kutumia na kuhama kwenye kampuni atakayopenda wakati anapotaka kwa kutumia simu yake. Yaani line yako uweze...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea katika muda wa ziada. Fani ni IT pamoja na sehemu za mafundi wa PC na simu

    Kwanza naomba niwape pole kwa mapambano ya kila siku kuhakikisha maisha yanaenda. Mimi ni mwanafunzi wa Degree chuo kimojawapo hapa Dar katika course ya IT. Katika maisha kila mtu anakuwa na lengo lake kuwa baada ya muda fulani nataka kuwa katika level hii ya maisha. Personally naomba msaada...
  19. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania Uingereza walalamikiwa kwa kutopokea simu, huduma duni kutoka kwa wageni watarajiwa, je wahusika wanakwepa lugha ya kiingereza?

    Tangu kuanzishwa kwa huduma ya kufanya maombi ya viza mtandaoni kwa wageni wanaotarajiwa kutembelea Tanzania, huduma hiyo imezorota katika siku za karibuni. Muombaji viza anaetaka kutembelea Tanzania kwa kusudio lolote inanmbidi ajaze fomu ya maombi mtandaoni ambapo idara ya uhamiaji makao...
  20. JamiiForums Tanzania TCRA mtakapofunga Simcard za watu mjiandae kulipa madeni ya kwenye simu

    Ebwana eee kwa yule anayeweza kukopa kwenye simu muda ndio huu kopa kopa kopa kwa bidii mlipaji yupo kwa maana fedha zipo pale TCRA za kulipa hayo madeni ,hakuna kampuni itakayokubali hasara kirahisi, Mpawa tu wana kama bilions of money hazijarejeshwa, ebwana wekeni mikakati kupata vitambulisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…