simba

  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mangungu: Siondoki Simba

    Mwandishi, "Tumesikia kuna kikao kimefanyika kuhusu kutaka kujiuzulu kuna ukweli? "Nani kasema nataka kujiuzulu? Mimi bado niko Simba na sifikirii kuhusu hilo. Mbona timu ikifanya vizuri hamuulizi kuhusu kujiuzulu! Ni mapema mno sana kuanza kuzungumzia hayo mambo" Mashabiki na Wanachama wa...
  2. NALIA NGWENA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi vitu akifanya Mangungu au Try Again tutawakuta muhimbili wamelazwa

    Huyu hapa Raisi wa Ball Eng. Hers na Azizi Ki (the top scorer) wakichezezea mpira na mpira ukiwatii kama wameutengeneza WAO. NB: Kwa ball hili la hers Mwakani Kolozidad bila 3.5 bilion hatuwapi Hers.
  3. Superbug

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForum Okwi Boban Sunzu ni Shujaa na klabu yetu ya Simba

    Kuna uzi unazunguka humu ukikosoa analysis ya mwanajamiiforum mwenzetu OKW BOBAN SUNZU kuhusu mchezaji Aziza Ki sisi kama wanasimba tunamuona Okwi kama shujaa wetu kwakuwa amepigwa mawe sana na bado ameendelea kuwa stable. Na ule uzi umempa heshima ya kuthaminika tofauti na wakosoaji wake...
  4. uhurumoja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga ingekuwa na kikosi kama cha Simba msimu huu wangekaribia hata kombe

    Yanga ingekuwa na kikosi kama Cha Simba na hela za Mo hizo hizo anazotoa kipindi kile Simba anachukua ubingwa mara 4 Simba wasingekaribia hata kidogo Hilo kombe Imagine una kocha mzuri wachezaji wazuri udhamini mzuri na unashika nafasi ya 3 kwa vimigogoro vya kutengeneza
  5. Majok majok

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba kipimo chenu Kombe la Shirikisho ni kufika Fainali na si vinginevyo. Mliwabeza Yanga sasa ngoja tuwaone

    Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni! Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi kama walivyokuwa wakiwabeza Yanga ambao walikwenda mpaka Fainali, tunawasubilia kuwaona namna...
  6. NALIA NGWENA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC

    Sasa ni rasmi msimu ujao Klabu ya Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC licha ya wote kuwa na pointi 69 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara iliyotamatika leo. Licha ya Simba kushinda mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania lakini...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba itashika nafasi ya pili, na Azizi Ki atakuwa mfungaji bora

    Geita hawajawahi kufungwa na Azam pale kwao, leo wakifungwa wanashuka daraja, leo wakisare wanashuka daraja, wana mambo mawili, wakubali kuisaidia Simba ifuzu nafasi ya 2 na kujinusuru wasishuke daraja au kushuka daraja na kuipa Azam nafasi ya 2. Wakubali kushirikiana na mnyama ili wasishuke...
  8. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 JKT Tanzania | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 28/05/2024

    Leo majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Mkapa, timu ya Simba itakuwa dimbani kuwakaribisha JKT Tanzania kwenye mchezo wa kufungia msimu. Mechi hii inategemewa kuwa na ushindani mkali sana kwa sababu ya uhitaji wa timu zote mbili. Nani kuibuka mshindi leo? --- Kikosi cha Simba...
  9. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumalize Ubishi hapa: Ipi bora kati ya Chama kubaki Simba au kwenda Yanga?

    Salaam Wakuu, Kama ilivyo ada inapofika mwisho wa msimu baadhi ya Wachezaji pia humaliza mikataba na timu zao, Miongoni mwa Wachezaji waliomaliza mikataba yao kwa nchi yetu ni Cloatus Chota Chama ambaye kwa sasa anakipiga mitaa ya Msimbazi Kariakoo. Kutokana na umahiri wa mchezaji huyu...
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chama kubaki Simba ni dalili mbaya

    Chama is an amazing player no doubt. but he doesn't give everything to the team. to let a foreign player act like a coward and still keep him at any cost, simba has disciple issues. #These foreigners come to our league to improve our players. the moment he act like, he is bigger than the...
  11. Smt016

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Azam wamedhamiria kuchukua nafasi ya Simba Klabu Bingwa au wanatuzuga tu?

    Ukiangalia namna viongozi wa Azam na wachezaji wake wana hali ya usimba na uyanga mle. Kitendo cha Azam kufungwa goli tatu na Simba kulileta tafsiri ya aina yake kwasababu Azam walihitahi tu point moja kwa Simba ili kujiwekea uhakika wa kucheza klabu bingwa ila cha ajabu tuliona jinsi Azam...
  12. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aucho katumwa na Chama. Simba jichanganyeni tena

    PR wa Chama wapo vizuri sana. Hiyo comment ya Aucho kuhusu Chama ni mchongo maalumu kwa ajili ya kuwapush viongozi wa Simba mfanye maamuzi kwa shinikizo mumpe Chama mkataba wa miaka mitatu na milioni 500 wakati hana thamani hiyo.. Mimi niko nimekaa palee
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi bora kwa mashabiki wa Simba

    Ipi ni nafuu kwa watu wa Simba kati ya possibilities hizi: Simba kushika nafasi ya tatu na Feisal kuwa mfungaji bora; au Simba kushika nafasi ya pili na Aziz Ki kuwa mfungaji bora
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba ndio basi tena?

    Nafasi ya pili hiyoo inayeyuka! Kwa msimamo wa ligi ulivyo Sasa, ndio kusema Ili Simba iwe nafasi ya pili basi mechi yake ijayo na JKT, ifunge bao 10 bila majibu. Wakati huo huo na Azam ishinde kwa bao Moja tu dhidi ya Geita. Sijui, ila labda kwa Simba hii ya Mgunda na Ahmed Ally, miujiza hii...
  15. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni nani mchezaji wako bora wa Simba SC kwa msimu huu wa 2023/24?

    Naaaje wazee, Ligi ya NBC inaelekea ukingoni huku Bingwa akiwa ameshafahamika tayari. Kwa sasa vita ipo sehemu nne tu: 1. Nafasi ya Pili 2. Nafasi ya nne 3. Kujinasua kucheza Playoff 4. Kujinasua kushuka daraja Tutakuwa tunakutana kwenye nyuzi kujadili mambo mbalimbali ya msimu huu unaoisha...
  16. Shark

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1 - 0 KMC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium -Arusha | 25.05.2024

    Leo Timu bora kuliko zote Africa Mashariki na Kati kwa mujibu wa CAF, Mnyama Simba Sport Club anakutana na KMC katika mchezo wa NBC Premier League. Simba inaingia uwanjani ikiwa inawania nafasi ya pili ambayo inaishikilia timu ya Azam hivyo ushindi pekee ndio utakaoiweka katika nafasi nzuri ya...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ndiyo leo bata la ubingwa wa Yanga, je upo tayari kuenjoy na kuwakera my wetu Simba?

    Leo ndiyo leo bata la ubingwa wa Yanga,je upo tayari kuenjoy na kuwakera my wetu Simba?
  18. striker mandingo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili?

    Nimepata kuwasikia baadhi wa mashabiki wengi wa timu tofauti tofauti wengine wakiwa miongoni mwa mashabiki wa Simba wengine nje ya Simba na baadhi ya wachambuzi wkisema TFF haopo sahihi kwenye uwamuzi wa kuipeleka mechi ya Simba na KMC kuchezwa Arusha kutokana na muda wa utoaji taarifa. Je, kuna...
  19. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Za ndaani: Sakata la Inonga na Simba limefikia hapa

    Enock Inonga amejua hana maisha ndani ya Simba na pia anajua alichowauzi Simba ila alikuwa hajui kuwa Simba wapo mbele yake kimawazo. Baada ya kugundua hili alianza kutafuta Timu hasa zile ambazo zilikuwa zinamujitaji sana akaweza kupata na mazungumzo ya Agent yalienda vizuri ila tatizo ni ile...
  20. Kurunzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi Kupelekwa Arusha: Simba na KMC lao Moja

    Kwa tuliosoma Cuba kuna mchezo unafanyika kwa kutupumbaza wa game fixing Simba na KMC kwa wale watu wenye upeo mkubwa Kauli ya Ahmed na taarifa ya KMC ni kutupumbaza tu. Kuna mtu anataka point za mezani hapa
Back
Top Bottom