simba

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe hatusajili kwa sasa kwakuwa Skauti wao Mkuu Simba SC anasajili Vyuma vya maana Kimya Kimya tofauti na Misimu iliyopita?

    Asante sana Poti wangu ( mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu ) Crescentius Magori ambaye nakukubali kama ambavyo nilikuwa nikimkubali Mapama ( Marehemu Zacharia Hanspoppe ) kwani nimeambiwa kuwa sasa Tajiri na Wewe mnamaliza Shughuli Juu kwa Juu na kimya kimya kwa Kusajili Vyuma huku waliokuwa...
  2. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Simba sasa wamgeukia mchezaji Debora ..

    Klabu ya wanywa wanzuki kariakoo simba Ipo kwenye mazumgumzo ya mwisho kunasa saini ya mchezaji raia wa zambia ndugu Debora . Kiungo huyo machachari kabisa anayemiliki dimba la chini atakuja kuongeza nguvu za kike pindi simba itakapokutana na yanga yenye wanaume shupavu na wenye ugwadu kama...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Simba wamemchoka Chama hawana haja naye Yanga tumchukue

    Viongozi wengi hasa Mo Dewji amekataa kumlipa zaidi Chama. Na anasema amechoka na kelele za kuhusu Chama. Akina Magori wanaunga mkono. Aachwe. Mashabiki wengi wa Simba wamemchoka. Wamebaki wachache. Umri nao unaenda nadhani tumchukue Yanga. Miaka mingi tumemtaka Chama. Huu ndo wakati wetu sasa...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Saido Kanoute anasubiria nini kupewa 'THANK YOU' Simba Sports Club? Aachwe upesi sana tafadhali.

    Nimecheza mpira na naujua mpira na nauchambua mpira pia Saido Kanoute si Mchezaji wa Hadhi ya Simba SC yetu. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya...
  6. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Simba aapa kujiua iwapo Chama akienda Yanga

    Shabiki wa Simba ameapa kujiua endapo mchezaji wa timu hiyo Chama atajiunga na Yanga kwa msimu 2024/2025. ==== Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ayoub Lyanga ni msaada mkubwa endapo Simba mtakuwa naye msimu ujao

    Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa nchini, pale azam amekumbana na akina Kipre junior, Nado, Nk lkn hakuwa chaguo la kocha ila Lyanga ni...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asanteni Simba SC kwa kumsikiliza Maoni yetu kwa Kuachana na Msaliti Inonga, sasa tunasubiria 'Thank You' ya Msaliti mwingine Chama

    Hawa Wachezaji Wasaliti Wawili wametuumiza pakubwa dhidi ya Washamba na Malofa fulani hivi wa Kariakoo 'Twiga Street' ndani ya hii miaka miwili mitatu. GENTAMYCINE ambaye ni Mstaafu Tukuka wa Michezo Michafu ya Ligi Kuu ya Tanzania baada ya kuwepo katika Shughuli hiyo miaka ya 2011 hadi 2013...
  9. D

    JamiiForums Tanzania simba usajili gani huu?? au 10%

    every player from Ghana league failed. ni nini hiki??
  10. H

    JamiiForums Tanzania Henock Inonga Baka ameondoka Simba SC

    Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC. Taarifa rasmi itafuata muda mfupi.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Chama ameachwa na Simba SC

    Ni rasmi sasa mchezaji Clatous Chota Chama ameachwa rasmi na Simba SC na muda mfupi kuanzia sasa atasaini Young Africans kama mchezaji huru.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba kuhusu Clatous Chota Chama

    Triple C bado ni mchezaji mzuri sana na kwa timu inayohitaji makombe ama kuwa na kiu ya mafanikio haiwezi kumtema mchezaji kama Chama. Maneno ya mashabiki kuwa Simba iachane na Chama akaangalie maisha mahali pengine ni maneno ya watu ambao wamejiunga kwenye tasnia ya soka miaka ya hivi karibuni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Simba hawastahili kuwalipa coastal hata senti tano

    Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa. Moja ya taarifa kubwa inayojadiliwa ni usajili wa mchezaji Lawi kutoka timu ya Coastal kwenda Simba. Hii ni baada ya timu ya Coastal kupitia kwa msemaji wao kukanusha taarifa ya Simba kumsajili mchezaji wao wakati walishindwa kutimiza malipo kwa...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Simba hakuna sababu ya kung'ang'ania wachezaji waliosaliti timu

    Ukweli lazima usemwe. Wachezaji wengi walilipwa kucheza chini ya kiwango na ndio sababu,hao waliowalipa, wanawataka kwa udi na uvumba. Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu tu na kuachana na wachezaji wote waliokosa kuipigania club. Tatizo letu kubwa ni uongozi.Hatujui ni kwa nini wachezaji wetu...
  15. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Simba wameingia cha kike coastal union mangushi wana wali ng'ombe hawajawahi kushindwa kesi ya usajili!

    Simba wajipange kama wamefanya ujanja ujanja kutaka kutangaza mke kabla ya kumlipia mahari wala kutambulika rasmi,tangu dahali na dahali coastal union hawajawahi shindwa kesi wamuulize Aden Rage aliwahi kuifungia na kusema ameifuta kwenye kwenye vitabu vy FAT.kama wamejipanga waende watakako...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mashabiki wa Simba tunavyosubiri kwa hamu 'Thank You' ya Murtazah Mangungu

    Kipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo. Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini bado amekalia kiti. Ewe shabiki mwenzangu wa Simba unaisubiri Thank You ya Boss wetu Mangungu...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haraka Simba SC itafute Msemaji mwenye kujua hasa nini maana ya Usemaji kuliko huyu 'Msemaji Comedian' ambaye haendani na Kasi ya Klabu na Mahitaji

    Simba SC ni Timu ya Wasomi kuliko ile nyingine ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala hivyo tunataka Mtu wa Kasi hiyo Oky?
  18. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Simba wakimpa thank you CHAMA ndio nitaamini wako serious na Mabadiliko, tofauti na hapo YANGA BINGWA 2024/2025

    Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu, vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale? Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh! Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu! Sasa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Sisi Coast hatujamuuza Lawi Simba, wakamnunue Mwamunyeto

    Habari wanagentamycine washabiki kindakindani wa Simba kindaki ndaki, nikiongea kutokea Tanga mjini maeneo ya Mkwakwani napenda kutoa taarifa kuwa taarifa za simba kumnunua mchezaji wetu Lameck Lawi si za kweli, na simba hawakufuata utaratibu tuliowapa. kwakuwa tumeshapata offa nzuri kutoka nje...
  20. D

    JamiiForums Tanzania coastal union wamesema awaja muuza lameck lawi, simba wame sign lawi gani??

Back
Top Bottom