simba

  1. JamiiForums Tanzania Kataa CCM = Kataa Ushabiki wa Simba na Yanga

    Moja ya Vichaka ambavyo Chama Cha Mapinduzi,CCM Kimejifichia ni kupitia Ushabiki wa Simba na Yanga. Hiki Kichaka kimewatoa kwenye Mstari Wa Tanzania kuacha kufuatilia Mambo Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yao, mfano kuimulika na kuiwajibisha Serikali katika utendaji wake. Kwa sasa wa Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga, mpo tayari kutoka kwenye soka la ushindani, ili kumiliki uwanja

    Naona wachambuzi uchwara wakiwabaga Simba na Yanga kuwa ni wazembe wanashindwaje kumiliki uwanja Mashabiki kila msimu wanatoa pressure, wanataka timu zichukue ubingwa na kufanya vyema kimataifa Kumiliki uwanja ni laZima simu ipunguze matumizi ya gharama za usajili, mishahara na benchi la...
  3. JamiiForums Tanzania Mpira ushetani,??tulimlazimisha dereva wa gari yenye maiti apaki Mombo ili tuangalie mechi ya Simba vs Nkana

    Mwaka 2018 tulisafirisha maiti ya dogo mmoja shabiki wa Simba kwenda kwao upareni Lengo ilikuwa tuzike Kesho yake yaanu tarehe 24 siku moja kabla ya Xmas Coincidence Simba ikawa inacheza na Nkana tarehe 23 kumuenzi marehemu tulimlazimisha dereva asimamishe gari maeneo ya Mombo tuangalie...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushahidi huu, Simba hawakuwahi kufanyiwa vurugu popote mechi ya Dabi

    Ukitazama video hiyo hapo chini, hakuna mahali popote Simba walipofaniwa vurugu kabla ya mechi ya Dabi zaidi ya kuzuiwa tu kuingia uwanjani. Hakuna mtu aliyesukumwa, hakuna mtu aliyepigwa ngumi, hakuna mtu aliyepigwa hata kibao na wala hakuna jiwe lililorushwa labda likavunja kioo. Isitoshe watu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simba wamewahi kukaa misimu zaidi ya sita bila kombe la ligi kuu ?

    Is this True maana imeniwia vigumu kuamini kwa ukubwa wa Simba
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simba na Yanga wameshakuwa Machawa Pro Max, wanafanya nini kwenye mkutano wa uzinduzi wa Sera ya Maji?

    Wakuu Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, leo Machi 22, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, mshehereshaji wa tukio hilo Shaban Kisu, alionyesha jinsi Simba na Yanga zinavyotumika kisiasa kwa kupaza sauti "Oyee!" kwa vilabu hivyo kupitia...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Utabiri: ''Wanangu TFF, Yanga, Simba Mkayamalize" Kisha Naomba mnialike kwenye Mechi, Nitakuja

    Mambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka. Naamini Busara za Rais Samia , Zitatumika kuliokoa hili, na...
  8. JamiiForums Tanzania Ukisikia neno Fratenity ni kwenye Ushabiki wa Simba na Yanga

    hisia.Huku Profesa na ngumbaru wote ni sawa. Mhutubu na Maamuma wote ni sawa,Mpumbavu na Mwerevu ni sawa. Huku hakuna anayesingizia kwamba TLS hajafanya hili,au sijui Emmaus Bandekile Mwamakula au Father John Kitima hajafanya hili wala Bishop Kalikawe Lwakalinda Bagonza hajasema hili au Baba...
  9. JamiiForums Tanzania Natamani kuona mechi ya Simba na Yanga ikichezwa nje ya Tanzania.

    Imani za kishirikina ni moja ya changamoto zilizopelekea miaka hii ya soka kutokipiga kwa Mkapa mnamo mwanzoni wa mwezi March,japo kuwa hakukuwa na sababu za msingi kuhairishwa kwa mechi ya dabi. Hatuwezi kukataa maamuzi sababu yalikwishatoka ila limebakia swali tu,ni lini mechi ya dabi...
  10. JamiiForums Tanzania Sakata la Simba na Yanga SC halihitaji hekima za Serikali, Bodi ya Ligi na Tff Zifuate Kanuni na Siyo kuitumbukiza kwenye Tope serikali yetu.

    Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!! Hii ligi imekua kama Ya Simba SC na Yanga SC na Bodi ya Ligi wametumbukia kwenye shimo la hewa, imefikia hatua wanafanya maamuzi...
  11. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi inatafakari uwezekano wa kuzishusha daraja zote Simba na Yanga

    Kuna watu wanataka Kanuni zifuatwe ili ukiwasikiliza vizuri utagundua wanachagua kanuni gani zifuatwe na zipi zisifuatwe. Sasa embu tuliangalie hili suala la Kanuni na adhabu zake kwa umakini. Yanga wanasema adhabu ya timu kutotokea uwanjani ni kunyang'anywa pwenti 15 na/au kushushwa daraja...
  12. JamiiForums Tanzania Sakata la Simba ni sawa na lile la Nigeria dhidi ya Libya. Yanga msiende CAS.

    Timu ya Taifa Nigeria ilikataa kucheza na timu ya Taifa ya Libya, kisa hawakupokelewa vizuri na wenyeji wao. Kamati ya nidhamu ya CAF ikawazawadia Nigeria pointi tatu. Sasa hili sakata la Nigeria na wale mabaunsa wa Yanga tofauti yake ni ipi? Nashauri Mzee Magoma awazuie Yanga kwenda CAS.
  13. JamiiForums Tanzania Tofauti ya ukurasa wa Yanga na ukurasa wa Simba huko Instagram

    Amani iwe nanyi Huku Simba wakipost vitu vya msingi yanga wao wamekazania uchawa na kupiga picha ambazo hazina picha wala miguu Mimi yanga lakin huu wanaofanya yanga ni ushamba na ujinga
  14. JamiiForums Tanzania Simba inaendeshwa kwa akili kubwa

    Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi. Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi. Yanga...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Mnguto: Sakata la Simba si kubwa kuliko la Yanga la 2021, Yanga ilistahili kushushwa daraja

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Mzee Mnguto anadai hii iliyotokea juzi ya Simba sio kesi kubwa kuliko ile ya Yanga kugomea 2021 ile Yanga kama Bodi wangefuata sheria ilipaswa washuke daraja kabisa.
  16. JamiiForums Tanzania Je, kama Simba wangeruhusiwa kufanya mazoezi, TPLB Ingeahirisha mchezo kisa usalama na rushwa?

    Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa...
  17. JamiiForums Tanzania Simba waliandika barua Moja tu, Yanga makelele kila siku

    Yaani hadi inachosha, Simba waliandika barua Moja tu, Sasa baada ya hapo Yanga kila siku ni makelele na hawajui nani wa kumlaumu. 😄😆😀😃
  18. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga mtatumika kisiasa hadi lini?

    Mara nyingi mambo ya Simba na Yanga yametumika kuwatoa waTanganyika kwenye mijadala mizito yenye tija kitaifa. Wadadisi wa mambo wamenyetisha kuwa hata huku kuahirisha -ahirisha mchezo bila sababu ni kujaribu kuwahamisha waTanganyika kutoka katika ishu nyeti ya kitaifa ya No Reform No Election...
  19. JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia Derby ya wanawake Simba queen na Yanga Princess

    Yanga imeimarika sana na huenda miaka michache ijayo kama hawataharibu hii team basi wakachukua hili kombe la wanawake mara 5 mfululizo. Usajili wa dirisha dogo umefanywa na mtu makini sana na kuifunga JKt kwenye Samia cup na Sasa kuifunga Simba kwenye derby ni kipimo tosha Forward za yanga...
  20. JamiiForums Tanzania Simba asingesema kua Hatocheza Match, TFF na Bodi mngeahirisha Match?

    Nawaza tu hata wewe waza Bodi ilitoa hoja za usalama na Rushwa najiuliza. Hivi Simba walivyozuiwa kupiga mazoezi ingetoa wakaacha kutoa Taarfa ya kugomea kucheza Match! Bodi mngeahirisha game Kwa hizo hoja zenu?? Au ndio imekua corner stone? Hapo ndio watu wanapopat ukakasi wanajiuliza Hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…