Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,946
- 51,084
Yaani hadi inachosha, Simba waliandika barua Moja tu, Sasa baada ya hapo Yanga kila siku ni makelele na hawajui nani wa kumlaumu.
😄😆😀😃
😄😆😀😃
Hapa yanga yupo kwenye mtego. Siku tarehe ikipangwa halafu asipeleke timu ipo hatari kubwa ya kulimwa adhabu itakayo waacha vinywa wazi wadau wa soka nchini.Simba na bodi ya ligi wanajua walichopanga(mchezo waliocheza)!!...,kilichobaki ni lazima Yanga atafute haki yake!!
Walipanga nini nduguSimba na bodi ya ligi wanajua walichopanga(mchezo waliocheza)!!...,kilichobaki ni lazima Yanga atafute haki yake!!
Haki gani sasa?Simba na bodi ya ligi wanajua walichopanga(mchezo waliocheza)!!...,kilichobaki ni lazima Yanga atafute haki yake!!
Tupo tayari kwa loloteHapa yanga yupo kwenye mtego. Siku tarehe ikipangwa halafu asipeleke timu ipo hatari kubwa ya kulimwa adhabu itakayo waacha vinywa wazi wadau wa soka nchini.
Kwahio hizo barua zinakuuma?Yaani hadi inachosha, Simba waliandika barua Moja tu, Sasa baada ya hapo Yanga kila siku ni makelele na hawajui nani wa kumlaumu.
😄😆😀😃
Acha makasiriko mtani😀😀😃Kwahio hizo barua zinakuuma?
Hili jambo ni kama mvua ya masika inanyesha hivyo panapovuja pataonekana.Mwenyekiti wa bodi ya Ligi kuu ya Tanzania kasema barua za Yanga hazikafika ina maana yanga hawatumii kitabu cha barua za (dispatch), Wanaandika kama barua za mapenzi
No dispatch letters have been received by TPLB board from yanga sc. That means the board is only hearing a lot of noises from the media especially YouTube.Hili jambo ni kama mvua ya masika inanyesha hivyo panapovuja pataonekana.
Safari hii wahuni wote mtaumbuka. Mtajuta ni kwa nini mlikubaliana kwa siri na bodi yenu ya ligi kutengeneza lile igizo lenu.Yaani hadi inachosha, Simba waliandika barua Moja tu, Sasa baada ya hapo Yanga kila siku ni makelele na hawajui nani wa kumlaumu.
😄😆😀😃
Kwa mara ya kwanza filamu ya kihindi steering anakufa, halafu mwishoni hafufukiSafari hii wahuni wote mtaumbuka. Mtajuta ni kwa nini mlikubaliana kwa siri na bodi yenu ya ligi kutengeneza lile igizo lenu.
Kamwe aitowahi kutokea unachofikiriaHapa yanga yupo kwenye mtego. Siku tarehe ikipangwa halafu asipeleke timu ipo hatari kubwa ya kulimwa adhabu itakayo waacha vinywa wazi wadau wa soka nchini.
Kwa ivo wale mabaunsa ni wa Simba au bodi ya ligi?Safari hii wahuni wote mtaumbuka. Mtajuta ni kwa nini mlikubaliana kwa siri na bodi yenu ya ligi kutengeneza lile igizo lenu.
Muda utakapofika, itajulikana tu. Ila kwa sasa endeleeni tu kuweweseka huku mkitoa matamko ya kujichanganya.Kwa ivo wale mabaunsa ni wa Simba au bodi ya ligi?