Simba asingesema kua Hatocheza Match, TFF na Bodi mngeahirisha Match?

Simba asingesema kua Hatocheza Match, TFF na Bodi mngeahirisha Match?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Nawaza tu hata wewe waza Bodi ilitoa hoja za usalama na Rushwa najiuliza.

Hivi Simba walivyozuiwa kupiga mazoezi ingetoa wakaacha kutoa Taarfa ya kugomea kucheza Match!

Bodi mngeahirisha game Kwa hizo hoja zenu??

Au ndio imekua corner stone?

Hapo ndio watu wanapopat ukakasi wanajiuliza Hilo swali kama hamkuahirisha match kwa matakwa ya Simba ingetokea Simba wakapiga kimya Game isingekuepo?

#MEXICO🇲🇽
 
Ukishabikia sana simba na yanga Lazima uwe Mwehu
Inachekesha pale unajua Hawa ni wehu ila daily unawaandikia maandiko ukidhani watapona uwehu wao sasa kama wewe ushajua Hilo why daily unajibizana na wehu?
na unajibu Nyuzii za wehu?

Kama wewe Sio MWEHU MWENYEWE?
 
Nawaza tu hata wewe waza Bodi ilitoa hoja za usalama na Rushwa najiuliza.

Hivi Simba walivyozuiwa kupiga mazoezi ingetoa wakaacha kutoa Taarfa ya kugomea kucheza Match!

Bodi mngeahirisha game Kwa hizo hoja zenu??

Au ndio imekua corner stone?

Hapo ndio watu wanapopat ukakasi wanajiuliza Hilo swali kama hamkuahirisha match kwa matakwa ya Simba ingetokea Simba wakapiga kimya Game isingekuepo?

#MEXICO🇲🇽
Hilo jibu lake lipo kwenye taarifa waliyoijibu Yanga. Ni kwamba hawakuahirisha mechi kwa sababu ya taarifa ya Simba, bali kutokana na taarifa za maafisa wao walioshuhudia
 
😆😆😆 uto tunaomba mtupumzishe basi na hizo threads zenu hapa jf hatukujua kama ita wauma hivi tume nyoosha mikono sasa
 
Ila simba wamezingua sana. Ilikuwa tuwapige siku ile, halafu leo tungemalizia kipigo kingine kwa dada zao Simba QueenS
 
Inachekesha pale unajua Hawa ni wehu ila daily unawaandikia maandiko ukidhani watapona uwehu wao sasa kama wewe ushajua Hilo why daily unajibizana na wehu?
na unajibu Nyuzii za wehu?

Kama wewe Sio MWEHU MWENYEWE?
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA NI LAZIMA UWE MWEHU
 
Back
Top Bottom