simba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Yanga hawaitambui mechi vs simba ya tarehe 3 July..

    Watu weweeeeee watu utoooooo people sema utooopoloooooooooooo,dadeki hatari sana hawa watu yaani ile mechi ilihairishwa na wizara inayoongozwa na mwanachama wao waziri bashungwa lakini lawama zote wanaangushia jumba bovu wasiohusika jameni tarehe 3 hawa jamaa wanakimbia tena.
  2. JamiiForums Tanzania Simba SC ni matumaini yangu mmejiandaa vilivyo kuhusu Sakata la Yanga SC na Mchezaji Morisson kwani naona limekaa vibaya Kwetu huko CAS

    Kitendo tu cha Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani ( CAS ) kutupilia mbali Ombi la Mchezaji Bernard Morrison kuwa Wasiisikilize Kesi yake ni ' wake up call ' kwa Simba SC kuwa kuna ' HATARI ' inaenda Kutuangukia na huenda tusiamini na tukaja Kujuta pia. Tafadhali upesi sana Simba SC...
  3. JamiiForums Tanzania Mwamuzi alishangilia goli pekee la Namungo waliloifunga Simba?

    Katika hali isiyo ya kawaida, kuna tukio linaonyesha mwamuzi akiungana na benchi la ufundi la Namungo kushangilia goli ambalo Steve Nzigamasabo wa Namungo aliitanguliza timu yake mbele. Bila shaka ni mwamuzi wa akiba (fourth official), na nadhani ni suala la kibinadamu tu, alijisahau na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga waigeni Barcelona na Real Madrid katika mapato

    Hapa nchini timu mbili tu ndizo zinazowapa jeuri Azam tv,TFF. Yaani Simba fc na Young Africans (Yanga). Kwa kuwa viongozi wa timu hizi mbili wanachaguliwa na wanachama ni sawa na Barcelona na Real Madrid. Sasa ushauri kwangu kama ilivyo Hispania,viongozi wa timu mbili hizi wadai kuwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imemfuta kazi kocha wake mkuu Gavin Hunt kutokana na mwenendo mbovu wa timu

    Timu ya Mpira ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imemfuta kazi kocha wake mkuu Gavin Hunt kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo. Hunt alijiunga na timu hiyo kuanzia Septemba 2020, na kutokea kipindi hicho ameiongoza timu hiyo kucheza michezo 44 na kushinda michezo 12, sare michezo 17 huku...
  6. JamiiForums Tanzania Karia ameihangaikia Simba tu kwa kipindi chake chote

    Hatujui ni kwasababu gani Karia anajivunia mafanikio ya soka yaliyopatikana wakati wa kipindi cha cha miaka 4. Binafsi sioni mafanikio ya soka kwenye kipindi chake zaidi ya Karia kuhakikisha kuwa Simba inakuwa bingwa kwa kipindi chake chote na inafanya vizuri kwenye mashindano ya African...
  7. JamiiForums Tanzania Simba yaweka rekodi ya timu za Bara kwa kupiga pasi 873

    Katika mechi ya Simba vs Dodoma Jiji, timu ya Simba ilipiga jumla ya pasi 873 na kati ya hizo, pasi 730 zilifika zilikopangwa kwenda. Takwimu hizi ni kwa mujibu wa Anwar Binda wa Wasafi FM wakati akichambua mechi hiyo, na kusema tangu aanze kuchambua mechi za VPL na ASFC za timu za Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Simba SC ama mzishtaki hizi Timu au muendelee Kunyamaza ili Shutuma hizi zizidi Kuaminika na 'Brand' yenu Kuchafuliwa

    Sasa hapa nchini Tanzania imekuwa ni kawaida Timu yoyote ile ya VPL ikija kucheza na Simba SC uwanja wa Mkapa na ikifingwa tu Kihalali (Kimchezo) itasingizia kuwa walipuliziwa Dawa Vyumbani. Upuuzi huu waliuanza Timu ya Azam FC na baadae tena wakaja nao Namungo FC, kisha Kagera Sugar FC na...
  9. JamiiForums Tanzania Na sisi Yanga tukikua tutacheza Mpira kama Simba

    Simba mnajidai sana na team yenu. Naona jinsi mnavyocheza mpaka mnakera. Mnakera sana si kidogo. Na sisi Yanga tukikua tunataka kucheza kama Simba. Ila nawaambia na sisi Yanga team yetu ikikua itacheza kama ninyi. Nyie si mnajidai sababu mmecheza na team kubwa kubwa Africa. Mnacheza kwa dharau...
  10. JamiiForums Tanzania FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa

    Patashika ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC), hatua ya robo fainali, kupigwa leo Jumatano ya Mei 26, 2021 ambapo Mabingwa Watetezi Simba SC, wanawakaribisha Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mchezo unatazamiwa kuwa mkali sana kwa kila timu...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Simba Sports Club

    Najiuliza na kutafakari hivi thamani ya Simba Sports Club bado ni billion 20 au itakuwa imeongezeka kufuatia mafanikio waliyopata kwenye michuano ya Cafcl. Naamini thamani ya klabu za mpira huongezeka kutokana na uimara wa uchezaji na kukua kwa brand ya timu. Nawakilisha
  12. JamiiForums Tanzania Upepo wa Wiki hii si mzuri sana ' Kinyota ' Simba na Yanga chezeni ' Kiumakini ' mno mechi zenu za ASFC Leo Shinyanga na Kesho Dar es Salaam

    Yanga SC huko CCM Kambarage au Mwadui (Mkoani) Shinyanga ambako mtacheza leo na Timu iliyoshuka VPL ya Mwadui GENTAMYCINE nawaonya na kuwaomba ichezeni kwa Nidhamu na Umakini ili isije ikawa Aibu japo najua Ushindi Kwenu Kiuwezo na Kiufundi ni wa 99%. Simba SC Kesho mkiwa Benjamin Mkapa Stadium...
  13. JamiiForums Tanzania Wakala wa Meddie Kagere, Mnyarwanda Patrick Gakumba atoa siri nzito za Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa

    "Huyu Kocha nimejuana nae Siku nyingi hata kabla ya kuja hapo Simba SC. Anafanya mambo ambayo najua yatakuja Kumrudia na ataumbuka kwani hata Mwenyezi Mungu anayaona na atamuadhibu. Ana Chuki Binafsi na Mimi kwakuwa nilikataa Kumpigia Chapuo kwa Ushawishi wangu mkubwa katika Soka la hapa nchini...
  14. JamiiForums Tanzania Je, picha rasmi ya Rais Samia Hassan (Hijab Nyekundu) ilizingatia "Soccer Diplomacy" baina ya Simba na Yanga?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Official Portrait ya mkuu wa nchi/serikali sio lazima iwe ya rangi nyekundu. Watanzania acheni kukariri. ========== ========== Mama yetu anaweza kwenda na Hijab Nyekundu kutazama mechi ya Simba na Yanga? Ni nani alimshauri Rais wetu kipenzi mama Samia...
  15. JamiiForums Tanzania Wakati wana Yanga wakiwacheka wana Simba kwa Kutokufuzu, Mchanganuo huu Muhimu wa Alama unawahusu na wauelewe vyema pia

    Ufuatao ni Mchanganuo wa Alama wa kwanini Msimu ujao katika Michuano ya Kimataifa Tanzania inaingiza takribani Timu Nne. Simba SC imechangia Alama (Points) 24 kutokana na Kushiriki Kwake na Kufanya vyema kwa Kujitahidi Kufika hadi Robo Fainali kwa miaka Miwili. Namungo FC imechangia Alama...
  16. JamiiForums Tanzania CAF Team of the Week: Simba Sc waingiza watano

    Yumo Bocco, Chama, Miqsone, Kapombe na Tshabalala. Simba ni timu kubwa sana Afrika hii
  17. N

    JamiiForums Tanzania Simba SC ni baba anayeishi na mtoto snitch msaliti wa hali ya juu

    kwa mara ya pili in 3 years ligi ya Tanzania inaenda kuingiza teams 4 Afrika leo hadi biashara na kmc wanapambania nafasi ya 4 sababu lolote linaweza kutokea,lakini anayesababisha yote hayo anapigwa vita kwelikweli yaani ni vita kweli soyo ya maneno tu ni ya vitendo: Mwaka juzi kuna team...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Wanaojua kandanda wamesema Morrison ndiye aliyemaliza matumaini ya Simba kupindua meza

    Kwa nini wamesema hivyo? Kwa sababu ni yeye ndiye aliyekata move ya bao la pili, bila kufanya ile trick ya kipumbavu mpira ungeendelea na Simba walikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la pili kabla ya half-time. Inafanana kabisa na circuit ya umeme ukate kipande cha carbon basi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli leo nimewakubali wachezaji wa Simba

    Leo kusema ukweli wachezaji wametufurahisha sana japo mimi ni Yanga. Penye ukweli lazima tuseme ukweli. Hongereni sana wana Simba.
  20. JamiiForums Tanzania Tunawashukuru Kaizer Chiefs kwa Ushirikiano. Simba hatafuzu hata akisaidiwa kucheza na Mitume

    Tumeshirikiana na Kaizer Chiefs vizuri. Dawa zinafanya kazi. Waganga wetu na wao wamemaliza game. Simba leo Hatoweza kufuzu. Hata akiwaweka mitume kwenye team yake wamsiadie Simba ndo anaishia hapa leo. Nipo tayari kupigwa Ban ya mwezi mzima. HAIWEZEKANI SIMBA KUFUZU HATA WALETE MIZIMU WACHEZE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…