Tatizo la simba siku za hivi karibuni imekuwa namna ya kupata kiungo mshambuliaji kariba ya clotus Chama ili timu iweze kutengeneza nafasi nyingi za magori kwa washambuliaji.
Tatizo haliko kwa washambuliaji waliopo, tatizo lipo kwa kiungo gani sahihi aliopo pale msimbazi kuchukua jukumu hilo...
Miaka ya nyumba kulikuwa na visa vingi vya watu kuuliwa ama kujeruhiwa na Simba wala watu.
Wengi wa Simba hao walitajwa kuwa si Simba halisi ila walikuwa ni binadamu waliojibadilisha kuwa Simba.
Miaka ya tisini katikati kuna binamu yetu aliliwa na Simba huko Mtwara.
Lilikuwa na story nyingi...
Jana na Juzi tulishihidia mitanange ya kufuzu kuelekea World Cup huko Qatar.
Nilikuwa na hamu na shauku kubwa kujua ni namna gani wachezaji wamezisaidia timu zao za Taifa kushinda. Hasa timu fulani hapa nchini ambayo ilijinasibu kupeleka wachezaji wengi kwenye Mataifa yao.
Ni timu moja tu...
MALI anayochezea Diarra wa Yanga imeipiga Kenya ya Onyango wa Simba bao 5
Uganda anayochezea Aucho wa Yanga imeipiga Rwanda ya Kagere wa Simba bao Moja
Na Malawi ya Banda na Nyoni wa Simba imekufa bao 3 kwa Ivory Coast
Simba na NBC ni kama kiuno na mkanda tangu enzi hizoooo jezi la mnyama simba likiwa limechafuka kama kawaida kitendo ambacho siyo rahisi kukuta kwenye team zinazofanya vibaya kuvutia sponsors wa kuchafua jezi.
Pichani ni Mnyama Pawasa akiwa ametinga uzi wenye twiga mwekundu vilevile ni vyema...
Nimewaletea latest FIFA ranking kwa nchi wanazotokea wachezaji wa Simba na Yanga ili kupanua mjadala wa kwanini timu gani wachezaji wake wanaitwa kwa wingi katika timu ya taifa.
Kwa mfano Taifa kama Malawi hata Gadiel angekuwepo angeitwa karibuni wachangiaji.
Taifa
Nafasi Africa...
Uraia alionao na tuliompa after the fact unaweza kupingwa kwenye mahakama za juu za mpira kama timu iliyofungwa na Simba au taifa stars ilimchezesha Kibu Denis kwenye mechi zake.
Kibu alisajiliwa na Simba kama raia wa Tanzania na kucheza mechi za ndani na nje ya Nchi kama raia wa tz wakati...
Inasemekana ni leo wakiwa mazoezini kiwanja cha boko veteran, kwenye picha namuona beki mkongo Innonga na Jonas mkude
Kinachonichanganya ni kwamba Innonga tuliambiwa kaitwa the leopards team ya taifa ya Congo ina maana bado hajaondoka? Mkude kapewa ruhusa maalumu kwenye team ya taifa kwamba na...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini.
RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba"
Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze...
Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha.
===
Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco
WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa...
Naona kuna kamjadala apa jukwaani kanakochagizwa na wajinga wachache ama kwa kutokuelewa au wanajua lakini wanapima kina cha maji, hii michezo ya timu pinzani kupewa motisha ya pesa kuikazia timu nyingine wahasisi wa hii michezo michafu ni simba.
Tunajua mwamed alitumia pesa nyingi nje ya...
Kama kuna Mechi ambayo kwa msiojua wengi wenu kwamba Simba SC imefanyiwa kila Hila na Kampeni ya Kimkoa na Kibunge ili iziache Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) zote pale Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma basi ni hii ya leo dhidi ya Dodoma Jiji FC.
Tokea Siku ya Jumatano mpaka Alfajiri ya leo...
1. Yanga SC wameamua kuwa kwa Msimu huu iwe Mvua au Jua na kwa Mikakati yoyote ya ndani na nje ya Uwanja wanashinda.
2. Kuumiza kwa Makusudi Wachezaji wa Simba SC ili Timu itetereke na ikose muelekeo katika Ligi.
3. Baada ya Yanga SC Kutolewa Alfajiri tu huko CAF CL huku wakiwa hawataki...
1. Mbona hawa Viongozi Wanafiki na wenye Uyanga 100% akina Ally Hapi ( Mkuu wa Mkoa wa Mara ) na Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde Biashara United FC na Dodoma Jiji FC zikicheza na Timu zingine huwa hawatoi Ahadi zao kama Vilabu hivi vikicheza na Simba SC?
2. Sikatai kutoa Motisha ila...
Ujumbe uwafikie nyie wachezaji wetu kuweni makini sana watu wameumia miaka 4 wkajiaminisha kwamba baada ya usajili wa lopolopo anayeogopa jua kwamba wanaenda nusu fanali ya CAF maana wanaamini ndiye aliyekuwa anaifikisha simba mbali huko CAf.
Hizi milioni 15 ni rasharasha tu na rafu zile...
Nimefuatilia kwa ukaribu mahojiano ya mwenyekiti mpya wa bodi ya club ya simba bw. Salum Abdallah katika kipindi cha sports HQ kinachorushwa na kituo cha redio cha E-fm, nimegundua kuna ukanjanja mkubwa kuhusu bilioni 20 alizotoa mwekezaji Mo Dewji katika club yake hiyo ya simba.
Kama...
Ni kauli ya Murtaza Mangungu ambae ni Mwenye kiti wa Simba,
Ikumbukwa kwamba jana Mo alijiuzulu, hili likitua wengi ila na leo kuna kauli mpya ya Mwenyekiti wa Simba
"Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki kwa sababu ni jambo ambalo tumekubaliana lisitajwe. Fedha zimetoka...
Kanuni za biashara na uwekezaji ndizo zilizomlazimisha mo kujiuzulu uwenyekiti simba au ni kwakuwa mo anasafiri sana nje ya nchi?
Wenye ujuzi kwenye hili atudadavulie. Kuwa mwekezaji na kuwa mwenyekiti ni sawa?