simba

  1. Hoja kwamba eti Haji Manara bado ana mapenzi Na Simba ni uthibitisho kwamba watanzania wengi Wana uelewa mdogo Sana kuhusu" Human Psychology"

    An evarage Tanzanian person is presumed to possess a very little understanding about human phsycology. Yani kwenye uelewa kuhusu saikoloji ya binadamu, watanzania wengi ni bure kabisa.. Ukitaka kujua kwamba watanzania wengi Wana mafuta ya taa kwenye vichwa vyao Na kwamba Hawana hata uelewa wa...
  2. Nimeota Emmanuel Okwi anatua Simba dirisha dogo

    Usiku wa kuamkia leo, nimepata njozi ya Emmanuel Okwi "Emosting" kutua Simba dirisha dogo la usajili! Sijui hii ndoto ina maana gani?
  3. Simba tafuteni wachezaji vijana timu inawafia hii

    Kapombe 30+ Hussein 30+ Onyango 40+ Wawa 30+ Mkude 30+ Mzamilu 30+ Dilunga 30+ Boko 30+ Nyoni 40+ Kagere 30+ Mugalu 30+ Hawa wazee ndio mnawategemea kuifunga Yanga ?
  4. Tanzania hata kama tungekuwa na dhahabu kila mtaa bado umaskini ungekuwepo

    Habari za asubuhi waungwana! Nimeamka salama nimekutana na habari moja ya ugunduzi wa madini katika Kijiji fulani huko Mtwara a.k.a Ntwala. Nikajisemea moyoni kuwa bado hayataleta impact kwa taifa ingawa wananchi wachache watanufaika kwa kupata vibarua huko. Nimebahatika kufanya kazi kwenye...
  5. C

    Wana simba tukiingia robo fainali CAFL mwaka huu tuchinje tembo kabisa na kufanya party kubwa

    Yes ndiyo nimesema kwa sababu ya mechi ya utopolo, nimegundua tu kwamba mzungu wetu ni very stubborn yaani ana ka system chake fulani hakana plan b Tusijipe ugonjwa wa moyo kwamba eti nusu fainali WE SHOULD FORGET ABOUT IT hii ngoma inaweza kufia makundi kabisa hata robo fainali tukifika tuombe...
  6. Nimeamini Tanzania tuna vichambuzi uchwara vya michezo

    Tanzania tuna vichambuzi uchwara vya michezo. Eti mtu akishawafahamu wachezaji 10 wa timu za Ulaya eti anatafuta kiredio uchwara nae akachambue habari za michezo. Ni watu wanaokatisha Tamaa wachezaji, makocha, na wadhamini wa timu. Wanagombanisha wachezaji kwa wachezaji, wachezaji na makocha...
  7. Bundi wa Yanga SC wa Misimu Minne Iliyopita Amehamia Rasmi Msimbazi

    Simba SC imesajili wachezaji 11 lakini Sadio Kanoute pekee ndiye mwenye ITC. Wahenga wanasema ubora ni kheri ya Idadi. Simba iliona ishindane na Yanga SC kwenye kusajili wachezaji wengi ili hali wakasahau kuwa wanapaswa kuendelea na pale walipoishia. Mwisho wa siku wakajipata pale walioishia...
  8. Simba na Man Utd kufungwa weekend itakuwa tulivu sana

    Simba 0 Yanga 1 Man Utd 0 Villa 1
  9. C

    Simba tumefungwa lakini nimeridhika

    Leo tarehe 25 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Yanga SC wamefanikiwa kuwafunga Simba SC kwa goli 1-0. Pamoja na matokeo hayo binafsi nimeridhika Sana na kiwango pamoja na competitiveness waliyokuwa bayo Wachezaji wetu. Timu ilitengeneza nafasi za kutosha jambo ambalo ndilo la kuangalia. Pamekuwa...
  10. Sasa uhakika simba anapigwa leo hawezi kukwepa

    Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka. Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na hawa wenzetu wanajidai wao wanajiamini na team yao. Watapatwa na kitu Kibaya sana siku ya Leo...
  11. Simba mjiandae na red card leo, Yanga itashinda na 2+ goals

    Tukielekea derby ya Simba na yanga Nawaonya simba mcheze kwa nidhamu Kadi nyekundu ya kigoma na udhaifu wa kupewa red kd Onyango leo refa anaingia na akili zenu one mistake mtasoma namba msiseme sijasema Otherwise game nzito kipindi cha kwanza, cha pili yanga wanamaliza mchezo Ft gg&3+ wale...
  12. Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

    Asalaam Aleykum Dar es Salaam Asalaam Aleykum Tanzania Asalaam Aleykum Afrika Mashariki na kati Asalaam Aleykum Afrika kwa jumla. Ni katika Derby ya kariakoo Simba na Yanga watani wa jadi hawa ni leo hii ya tar. 25.9.2021 majira ya saa 11:00 jioni nyasi za uwanja wa Mkapa zitashuhudia mpambano...
  13. K

    Sababu ya TFF kuweka viingilio juu mechi ngao ya hisani Simba vs Yanga yabainika

    kunatetesi kwamba TFF wameamua kuweka viingilio vikubwa mechi ya leo kati ya Simba na Yanga ili kukidhi matakwa ya mdhamini wa mechi ya leo ni AZAM, ambaye inasemekana ndiye aliyeshinda tenda ya kuonyesha mechi ya leo (utaratibu wa kumpata nao ulikuwa ni kuzungumkuti) kwani uligubikwa na...
  14. Za chini ya kapeti hichi ndio kikosi cha simba kesho..

    Nikiwa mwanasimba kindaki ndaki nimepokea taarifa kutoka kwa kigogo mmoja ndani ya simba kikosi kitakochoanza ni hiki hapo kesho. 1:Azim dewji 2: Kasaam dewji 3: fatuma dewji 4:ahmed dewji 5: Barbra.. 6:thureya dewji 7: kuruthum dewji 8:mo dewji 9: mobetto 10: monalisa 11: dalali...
  15. Watakaochanja chanjo ya Corona kesho kuingia bure uwanja wa taifa, hii sio siasa?

    Wizara ya Afya kesho watatoa tiketi za bure za mechi ya Simba na Yanga kwa wale watakaokubali kuchanja siku ya kesho. Kwanza kabisa naipongeza Wizara ya Afya kwa ubunifu huu, ila kuna jambo litaonekana haliko sawa. Chanjo ya corona ikiendelea kuwekewa zawadi hizi ni kutengeneza zaidi mashaka...
  16. Wamekopa magari uko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

    Mkataba mwingine kwa mabingwa wa nchi wa udhamini kutoka kampuni ya Africarriers wenye thamani ya Tsh. 800 milioni. Mdhamini atatoa mabasi matatu; 🚍 Basi moja litatumiwa na Simba Senior Team 🚐 Basi la pili litatumiwa na Simba Queens 🚌 Basi la tatu litatumiwa na timu ya vijana (Simba Youth)...
  17. C

    PICHA ZA NJE NDANI BASI(MABASI 3)MAPYA YA SIMBA WALIYOPEWA LEO.KUDOS CEO

    Aisee naona ni double diff(sijui nimeandika sahihi?) naona pia ndani kuna screens kwa mbele muonekano mzuri kwa kweli tena sana tu Moja litakuwa kwa senior team,jingine kwa simba queens,jingine kwa u-20 Hongera sana Barbra na mkataba wa milioni 800 juu Jezi (nembo ya mdhamini africarriers)...
  18. Simba sc yaingia dili nono na Africarriers ltd

    CEO wa simba anazidi kuchanja mbuga na kuonesha umahiri wake katika kufikia mafanikio ya timu kwani leo simba imeingia mkataba wa milion 800 na wababe wa wauzaji wa magari Tanzania ambao utawanufaisha simba sc kupata mabasi 3 yenye hadhi ya kibingwa (GOLDEN DRAGON NEW MODEL) , baada ya...
  19. Kama Patrick Phiri alivyorudi Simba Mara Mbili, Je Cedric Kaze hastahili kurudi?

    Kuhusu Ujio wa Cedrick Kazelona. Kuna maoni na mtazamo wa kiduwanzi sana baada ya kuona Prof Nabi anapata Msaidizi mwenye viwango vya juu kabisa vya CAF. Ni watu ambao juzi juzi tu kocha wao mkuu alipokea barua kutoka CAF kuwa anatakiwa kurudi MEMKWA akatafute cheti. Cha kushangaza zaidi...
  20. Bila kukusudia Haji Manara ameitia hasara kubwa Simba, Inaugua ugonjwa wa Manara Syndrome

    Ili kukabiliana na athari za kuondoka kwa Haji manara Simba walilazimika kuingia mifukoni ili kufanikisha Simba day. Manara effect iliwaandama na inazidi kuwaandama Simba. Kila wanachofanya wanafanya ili kuzifuta nyao za Manara lakini wanafanya hivyo kwa kutumia nguvu kubwa zaidi ili kumkaribia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…